Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ujui lolote lile kuhusu snake island
 
Bravo!
Nyama ulizoongeza "stake" tupu, hakuna mfupa ha ha hata tulio na udhaifu wa meno hatupati shida kuziweka kinywani. Ni kweli kabisa, maamuzi magumu ndio ukombozi wetu ila tukiendelea kuwaza watatufikiriaje tutaishia kua watumwa wao milele.

Wao wanafanya bila sisi, ila sisi tumejitia udhaifu kua hatuezi thubutu bila wao. Ujio wa multipolarity utaleta chachu kubwa sana kwa maendeleo ya nchi nyingi duniani zilizopewa jina la ubatizo la "Dunia ya tatu"... Third World Countries.

Naamini itakuwa Globalization yenye manufaa kwa wote sio hii Globalization ya sasa ya kinyonyaji iliyo kama circle ambapo point zote zina-align kuelekea center alipo huyo shibenywe wa blue and red!

Mkuu unaonaje hili la Ukraine liingizwe kwenye mitaala ya skuli watoto wetu wajifunze ukombozi wa fikra [emoji23] with "vivid" references live kutoka Donbass ha ha ha.
 
Grand Master Yuko vizur sana,
Anabishana kwa hoja, penye kukubali anakubali.

Sio wengine wamekua Kama Zelensky,
Nchi inaangamia, afu mtu anapost kifaru kimoja kutuaminisha Hii Vita wanashinda.

Yaani ushabiki umezid, Sasa umekua ushabiki maandazi.
 
Naaam[emoji4]
Hizi ndizo sanctions za kiume Sasa[emoji106]
 
Jamaa anashangaza sana
Yaani bando langu natafta kwa nguvu zangu analiita msaada
Pengne hata wali nnaonunua na kula atasema napewa msaada
Jamaa kawajw cjui aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ulitegemea nione wakat umeniziba macho!!!??
Nieleweshe MKUU kuhusu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa Yuko deep Sana Hadi Raha, ukimsoma unafurahia mwenyewe[emoji106][emoji4]
 
Kwani amekataa taarifa au kasema umeamka na BBC

Mbona mnajishtukia sana wanetu [emoji38][emoji847]
usikariri kijana, watu tuna source nyingi za information kuhusu vita - acha tabia za kiPutin za kupiga hadi kwenye supermaket.
 
Jamaa anashangaza sana
Yaani bando langu natafta kwa nguvu zangu analiita msaada
Pengne hata wali nnaonunua na kula atasema napewa msaada
Jamaa kawajw cjui aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuwa kundi maalum linalo hitaji attention ya ziada kama watoto na wazee. Ukikawia unaweza kuta washa-shit kwenye pant zao! Ndugu kuna ID hapa kabla na sasa unaweza fikiri kuna watu wengine sio wale wapo nyuma ya hizo ID zao.
 
Huyu mshikaji sijui kawa je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…