Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kabisa ila twende nae taratibuAmekuwa kundi maalum linalo hitaji attention ya ziada kama watoto na wazee. Ukikawia unaweza kuta washa-shit kwenye pant zao! Ndugu kuna ID hapa kabla na sasa unaweza fikiri kuna watu wengine sio wale wapo nyuma ya hizo ID zao.
Umri huu bado unataka kufundishwa namna ya kukataa misaada??...endelea kusubiri ndugu....Si tushasema mabeberu hawatupendi na awana maana. Waambie Russia watufundishe au kataa hiyo misaada ya mabeberu
Kama Msemaji Mkuu wa jeshi la US inabidi akasakue zaidi.Kabisa ila twende nae taratibu
Pengne anachanganya kati ya mkopo msaada na biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mahaba na nchi za NATO tu, baasi. Donbas siimeshakuchuliwa na Urusi au unaongea Ukraine ya Ukonga?Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.
NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.
Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.
Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.
Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.
Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.
Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.
Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
View attachment 2119949
Ngoja nimuite hapa ndugu yetu aje apate mawili matatuKama Msemaji Mkuu wa jeshi la US inabidi akasakue zaidi.
Msaada ni kile kinachotoka bila return yoyote... Yani unakitoa bila ku'expect chochote kwa yule uliyempatia. Kinyume cha hapo ni biashara!
Leo hii Bwana-U nakupa Sim yangu hii kesho nikitegemea nitachukua Laptop yako, Je huo ni msaada? (Mfano wa vidonge vyao pendwa vya ARV na dhahabu zetu).
Au leo hii, Napangisha vyumba kule mtaa wa mvokobuzaga, bila malipo wajua huezi kulala pale. Ukilipia ulale utauita huo ni msaada? (Mfano wa hizo financial system alizokomaa nazo)
Au kule mzee kanyeashogo anamiliki Epson, na karatasi zake... Anakwambia karatasi zake zina thamani zaidi kuliko rasilimali kama dhahab n.k tulivyopewa buuure kabisa na muumba wetu kwenye ardhi yetu.
Ajabu hakai na hizo karatas anazodai zina thamani sana, anatupa sisi tukae nazo... Ye anachukua mali za asili anazirundika kwake... Hiyo nayo ni msaada?
Life is too short kuji-stress lakini kuna watu wanayafanya yawe meaningless zaidi ya yalivyo.
Tutampiga bannedMrepoti ziunganishwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu ni pro wa wapi? mwenye kipaji maalumu.
Hamna haja ya kutukanana,humu tunahitaji hoja.Mnaanza wenyewe, kuna mtu nimemtukana from no where?
Mkuu tofautisha biashara na msaadaUpopoma unao wewe. Kumbe basi tuseme EU na Marekani wanataka biashara na Venezuela na Iran. Yanini kusema ni wapumbavu wakati wanaenda kufanya exchange, yanini kuwaita wapumbavu endapo watakataa kufanya exchange na kujihusisha na anayefanya nao.
Kama biashara sio msaada kinachowaliza SWIFT kufungwa ni nini? Si sio msaada ule
Nahuu ndio ukweli hata mie waziri waulinzi wa RUSSIA wahapa jf najua hili[emoji298]️Precision-guided weapons strike hit Ukraine Armed Forces hangars in Kremenchug Monday, used for storing military hardware and ammunition from West – Russia’s MoD
The strikes led to a fire in a non-functioning shopping center close by upon detonation, the Russian Ministry of Defense claims.
Nalog off Z
watajua hawajui, wanafisha silaha kwenye super markets⚡️Precision-guided weapons strike hit Ukraine Armed Forces hangars in Kremenchug Monday, used for storing military hardware and ammunition from West – Russia’s MoD
The strikes led to a fire in a non-functioning shopping center close by upon detonation, the Russian Ministry of Defense claims.
Nalog off Z
Mmmmmh!Hili onyo ni onyo la kikatiri sana kwa NATO.MEDVEDEV: “The Russian response to the ban on transit of products to Kaliningrad will be very tough, we are able to cut off the oxygen to our Baltic neighbours.”
eti non-functioning shopping cente !! fix baada ya kuona wametolewa macho na UN security council⚡️Precision-guided weapons strike hit Ukraine Armed Forces hangars in Kremenchug Monday, used for storing military hardware and ammunition from West – Russia’s MoD
The strikes led to a fire in a non-functioning shopping center close by upon detonation, the Russian Ministry of Defense claims.
Nalog off Z