LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ze comedy haya inatosha muachie nchi tu anko vladimir mana ukija kustuka utakuja kukuta unaongoza panya na magofu tu mixer mende sio kwa vinu vizito vinavyoshuka hapo we kuna bomu limetua huko mpaka huku kibaha mwanalugali tumesikia
Hahaha. Acha tu.
 
Na hilo liwe funzo kwa westernazi maana usa kafanya Libya iwe ka magofu ...
Mi nafurahi maana anaepasuliwa ni mzungu tena racist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin baba we piga tuu si huku hayatuhusu asee
Kweli kabisa , na siyo wapigwe tu bali wapi mpk wachakae hapo ndio watajua umuhimu wa kuwepo amani maana kapigwa mzungu mwenzao.
 
kwa hiyo aweke hayo ma chuma ya hao wapuuzi ili warusi waje kuumia mbeleni....akuuu!!!!..hata mimi ningelianzisha kinoma noma
 
Hii vita wa kulaumiwa ni Ulaya na US kuleta chokochoko na kumvimbisha bichwa komedian,
Na hapo Vita haijanoga maana urusi lengo lake anasubili Nato Waingilie hao ndo anao wataka.
NATO wanajulikana walipo boss. Hiyo si nia yake, nia yake alishaisema alipotangaza sababu ya kuivamia Ukraine.
 
Russia ni mbwembwe tu ila kwa sasa ni swala la muda asubiri Kichapo
 
Alleged video of an explosion in the area of a military airfield in Chuguev near Kharkov
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…