Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Russia na wafuasi wake wote maskini.Nilikuwa nasoma comments kwenye rt, warusi original wenyewe wanahoji kwanini imekuwa hivyo, ila hawa warus wa bongo sasa.
Mwingine humu anakuambia et Zelensky ndio kalipua watu wake, humu wajinga ni wengi[emoji16]
Ndio jomba, akili ndogo haishangai michango ya Nchi 7 kubwa hivyo vijisent wakati Russia nchi maskini inaziingiza fedha zote hizo kwa week mbili tu kutoka kwenye mauzo ya Gas kwa hao mabwana zako.typo.., kwa hiyo umeona hiyo ndiyo point siyo - akili ndogo ni ndogo tu.
Bobby liked your comment [emoji23][emoji1103] Finland is ready to receive NATO troops
"If there is a need for a greater presence of NATO troops, we have asked to deploy them in Finland," said Finnish Defense attache Lieutenant Colonel Timo Hittin[emoji845]
Naona moscow times wametumia neno ' invasion' safi sana, tumeanza kuelewana.Urusi yasema itasitisha kugawa dozi nene Ukraine pale tu Ukraine itakaposalimu amri (kuweka silaha chini)
View attachment 2275541
NYUNDO YA MOTO is back......yipeeeeeeeeView attachment 2275532
The G7 countries have declared their intention to reduce their dependence on Russia in the field of peaceful atom and related products.
Ha ha nimeona bro!Bobby liked your comment [emoji23]
Mbona hujaruka coco reborn aliporudi!?NYUNDO YA MOTO is back......yipeeeeeeee
A+[emoji599][emoji599][emoji1151][emoji635] The largest attack in history:Russian KillNet paralyzed Lithuania[emoji599][emoji599][emoji599]
Earlier, the hacker group KillNet issued an ultimatum ,giving the Lithuanian authorities 48 hours to unblock the transport corridor to Kaliningrad.
Now there is a failure on more than 1000 sites.
[emoji777] "The paralyzed protected state network of Lithuania has not yet been restored. A bunch of useless Baltic specialists promised their Supervisor from the Cybersecurity Agency to restore everything by morning."
[emoji777]The Central State Archive of Lithuania and all adjacent online services went to Bandera.
[emoji777]The Supreme Administrative Court of Lithuania has fallen together with all the electronic services of the judicial system.
[emoji777] The websites of Lithuanian airports, together with the Internet resource of their directorate, continue to be in "isolation" and barely plow!
[emoji777] Minus the State Tax Inspectorate under the Ministry of Finance of Lithuania.
[emoji777]There is also Telia Lietuva, which provides telecommunications, information and television services.
[emoji777]BITĖ Lietuva is a mobile services company with more than 1.2 million
Nalog off Z
Bahati mbaya kwa hao hao G7, hilo azimio ni "non binding". Ndiyo, Maana Mwakilishi wa Ujerumani kawaambia lazima tupeleke azimio hili EU kupata uungwaji mkono.View attachment 2275532
The G7 countries have declared their intention to reduce their dependence on Russia in the field of peaceful atom and related products.
Ww n yuleyule sema we mjanja wa kununua nguo mpya.Mbona hujaruka coco reborn aliporudi!?
Anaficha silaha kanisani ili zikitumwa iskanders aseme Russia anapiga hadi makanisa ili wapate nafasi nzuri ya kutengeneza propaganda na kuteka hisia za watu kiimani, huyu zelensky na NATO kwa ujumla Hawa ndo wahalifu wa kivita wanatakiwa wapigwe vita siyo wa kuwasupport kabisa, mwanzon mwa hii Vita zelensky aliingiza raia na vijana wadogo kwenye vita hali ya kua hawana mafunzo yoyoteSahii kabisa,
Anawafanya Raia wake Kama ngao ya kivita. Huu Ni UPUMBAVU.
Angalia na Hii,
Anaficha silaha makanisani[emoji116]View attachment 2275510
View attachment 2275512View attachment 2275513
NYUNDO YA MOTO is back......yipeeeeeeeeView attachment 2275532
The G7 countries have declared their intention to reduce their dependence on Russia in the field of peaceful atom and related products.
Kwa sisi hatuwezi hata kidogo..Ndio hali yenyewe utake usitake mwenye nguvu mpishe.
Kama hautaki jipange sio kwa kutegemea fulani ni wewe kama wewe mfano ndio huo USSR ilisambaratishwa hawakukaa chini kulia,miujiza au kusubiri msaada wamejipanga wanarudisha heshima yao.
Ndio tujiulize wakina sie tumefanya nini kujiondoa kua tegemezi kwao.
Wametushikia chini toka wamepajua hapa.
Nimekielewa Jombaaa!Kuhusu USD mjomba mimi naona inatakiwa ikufe tu, kuendelea kua in high demand ndiko kunakompa mwanya US aendelee na karakasha lake la ku-print kila mwaka.
Ona mjomba, sidhani kama nchi zingine zitaangamia. Ni kweli nchi nyingi zimehifadhi reserve zao katika dollar, Euro, Sterling Pound n.k, Pia zipo nchi ambazo wame-peg fedha zao kwa hizo stable currecy kama Euro na Dollar.
Huu ni uhuni waliofanya wenzetu, kutushikiza vijibom ili in case vikilipuka basi tulipuke wote, so inapelekea USD ni currency ya Taifa lingine ila na sisi huku uchochoroni kutoka taifa lingine tunakomaa kuitetea na kuilinda kuliko fedha zetu wenyewe.
As far as I know, Central Banks hutunza au kuweka akiba zao kwenye "Values", wakiona zinashuka thamani wataz-dump chap tu kwa exchange ya vingine vinavyoweza kutunza thamani.
US dollar zile karatasi tu mjomba, na wao wanajua. Ila ndio washageuza mataifa mengine majalala. Mjomba US anaprint dollars ila hakai nazo kihiiivo. Katika nchi zinazoongoza kwa kua na Largest Gold Reserves ni yeye.
1. US tani 8.1k
2. Germany tani 3.3k
3. France tani 2.5k
4. Italy tani 2.4k
5. Russia tani 2.3k
6. China tank 1.9k
7. Switzerland tani 1.1k
8. Japan tani 846
9. India tani 754
10. Netherlands tani 612.
Hii list ya Top tena utaona US kachimbia kibindoni dhahab nyingi kuliko wa pili, wa tatu na wa4 kwenye list Combined.
Kwenye hio list nchi ya10, Netherlands. US kaweka kibindoni dhahabu karibu mara 12 ya Netherlands. Kuna nchi zaidi ya 200. So you get a point wamehifadhi nini kwenye central bank zao. Ni karatasi za hawa mabeberu, huku wao wamezitunza hizo mali.
Na Gold kua scarce or limited in Quantity ndicho kinachoipa thamani. Gold ingekuwa inapatikana kama Mawe au kokoto mtaani isingekua na thamani hiyo iliyonao leo.
Kitendo cha gold kupatikana in a limited quantity ndio kunaihakikishia ukuaji wa thamani yake miaka nenda rudi. Na iko stable haiathiriki kwa inflation kama hizi Fiat curencies tunazotumia.
Forex huikuiti dhahab ikizungumzwa kiivo kwasababu kule kuna Ma-Trader kibao sio Investors wengi. Mfanya biashara hutaka faida papo kwa papo so ile buy and sell zimewatawala. Na hii buy and Sell kwenye Gold haina faida. Kwasababu Gold Iko very stable, zile shake za apa na pale ili ununue au kuuza chap chap ni za nadra.
Case ambayo iko tofauti kwa Investors, wanaofanya Buy and Hold kwa mda mrefu, unanunua unatunza. Hapa Gold ndio huwa taam. Kwenye long run inagain Value, tumeanza mwaka 2012 1,oz ya dhahabu ikiwa dola 1,600, miaka ya kati ilishuka mfano kama 2016 ilifikia dola 1100 lakini sasa 2022 1,oz ya dhahabu ipo kwenye 1,826.
Maana yake nini, ni kwamba kama mtu angekua anamiliki dhahabu ujazo wa 3,527oz ambazo ni Kilo 100 za dhahabu. 2012 kipindi cha ounce 1 kwa 1,600 dolla alikuwa na asset ya dolla 5.6Mil, kwa kuitunza tu hivi sasa angekuwa na asset ya dola 6.45Mil. Hilo ongezeko sasa litafakari kwa Nchi ambapo wanaweza kununua nyingi zaidi.
Hapo usisahau kujiuliza vipi kwa wale waliozipata miaka ya 2016 ilipokuwa around 1,100 hivi dola. Ni kwamba waliwekeza 3.8Million dola sasa wana 6.45Mil dola. Of course hizo ndizo real assets ambazo Russia kayafungua macho mataifa mengine wajifikirie.
Tarehe kama ya leo mwaka jana Euro 1 ilikuwa na thamani ya 2,770. Kama ningeweka akiba ya Euro 50k bank, ambazo ningeweka bank Million 138.5 za kibongo ili account iwe updated with Euro 50k. Sasa endapo ningeitaka hivi sasa nitapata Euro zangu 50k kwa rate ya 2,467. Yani nitapewa Mil 123.5 za kwetu.
Hio ni Loss ya mwaka mmoja tu kwa kuhifadhi pesa hizo. Kutoka 138 up to 123, drop ya kama Mil 15 hivi. Je umewaza kwa mataifa yaliyo hifadhi Euro nyiiiiiiiingi zaidi hali ikoje? Ni mbaya na hizo hasara wanazipata kwasababu ya maamuzi ya kijinga ya hao Morons wa hapo EU.
Tukisema zibaki nje ya mipaka yao tutaendelea kua WATUMWA wao siku zote. Tutakuwa tunaathirika kwa kila ujinga unaofanywa na Viongozi wa mataifa hayo.
Binafsi naweza sema Hatuitaki dola wala Euro, zikufe tu [emoji23] au ziendeleee kua local huko huko kwao. Wakiyavuruga athari ziishie huko huko kama ambavyo hapa nchini tukizingua tunajiumiza wenyewe na Tanzania Shilling yetu... Inabidi itafutwe ama Tutafute another means of exchange kwenye International Trade. Sio hayo makaratasi yao. Hatukuumbwa nayo tuseme bila hizo hakuna kinachowezekana.
Hilo jengo nasikia lilikuwa limefungwa halitumiki. Google nao wanashiriki uongo dadeki. Screen ya kushoto ni saa tatu asbuh UTC, screen shot ya kulia ni saa 8 mchana UTC. Swali hapo, kwanini Google wafanye hivyo???Anaficha silaha kanisani ili zikitumwa iskanders aseme Russia anapiga hadi makanisa ili wapate nafasi nzuri ya kutengeneza propaganda na kuteka hisia za watu kiimani, huyu zelensky na NATO kwa ujumla Hawa ndo wahalifu wa kivita wanatakiwa wapigwe vita siyo wa kuwasupport kabisa, mwanzon mwa hii Vita zelensky aliingiza raia na vijana wadogo kwenye vita hali ya kua hawana mafunzo yoyote
Jomba jombaaaa [emoji38] ha ha ha poa poa Mkuu.Nimekielewa Jombaaa!
Hakuna Cha war panic hapo...hizi ni propaganda za west....vita havina macho...kiutalaamu hiyo ni 'collateral damage'....Wakati USA na NATO wakipiga makombora huko Serbia na, Iraq baadhi yalitua kwenye shule, ubalozi , hospitali na majengo au makazi ya raia na kuua maelfu ya raia....Wao walikuwa wanasema hiyo ni collateral damage na siyo makusudi.....Na huko Ukraine ni hivyo kwa baadhi na sehemu nyingine Russia inaangamiza wapuuzi wanaojificha kwenye majengo ya raia..ndiyo maana tunawaambia atalegea tu. hana nguvu za kijeshi kama mnavyotuaminisha kupambana na wamagharibi, its a matter of time tutayajua yote. Kama kweli unajua vita na mkomavu huwezi rusha bomu juu ya shopping mall... ni war panic.