Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Union of Soviet Socialist Republic
 
Asante Kwa uono mzuri
 
wewe mwenyewe umisha sema ni Vita sasa kama ni Vita kama unavyosema unataka aanze kuchagua pa kupiga ili iweje??
 
Unajitahidi ila mantiki inashindwa na imani yako katka propaganba. Hapo juu wenzako wameleta takwimu za Urusi, kama ni kweli Ukraine haina askari wenye uzoefu tena ni wazee na watoto pekee. Sawasawa! Ila kama Taifa Teule inapigania wazee na watoto pekee, mbona haiwezi kusogea mbele? Badala yake inapaswa kusagasaga kila kijiji na kila mji hadi vumbi kwa mizinga yake (ambayo ni mara 100 kuliko ile ya watoto na wazee wa ukraine)???

Propaganda yako inakufanya kuamini Zelenski anaweza kutuma au kurudisha askari wake atakavyo. Si vile. Hapa kuna taifa linalopigania uhuru wake. Taifa ambalo halitaki kurudishwa chini ya ukoloni.
Sasa wewe Mtanzania gani anayesiama upande wa ukoloni? Kwa sababu ni ukoloni wa Taifa Teule Urusi? BAsi mababu yangebaki chini ya Uingereza, maana hata Uingereza ilikuwa na imani hiyo ya Taifa Teule?
Mkoloni mkubwa aliyebaki hadi leo duniani ni Urusi. Maeneo yake asilimia 86 hivi yalitwaliwa kama makoloni katika kipindi kilekile ambako Wazungu wengine walipanusha utawala wao duniani.
(lile eneo la kijani-nyeusi ni Urusi penyewe, yote mengine maeneo ya makoloni yao, sehemu kubwa wanashika hadi leo)
 
US hataki vita iishe kwakuwa raslimali nyingi ipo DONBASS sasa hayo madeni ya silaha yatalipwaje ndio maana wanapambania sana snake Island ili wapate nguvu DONBASS . Russia anaweza kuanza mashambulizi Kule kaskazini alikoteka awali akaachia Summy Chemihiv
 

Of course hiyo swing ya maneno haipo sawa...

Mfano hizo statement 2 ulizozing'amua
1. Kwamba "We are not against Russia"
Kama ni kweli kwanini wanaishambulia kiasi hicho nje ndani ili kuiangusha.

2. Kwamba "We are agaisnt Russia but we can not stop Russia"
Yah kama ni kweli hii haina kwanini cuz action zinazungumza kuliko maneno.
 
Unless if it gonna go for nuclear war, ndio utaelewa
Kwani nilisema sijaelewa au nimesema ni hope? Tafsiri ya hope ni matumaini....

Narudia, I hope alichosema Biden ni war technique na hakumaanisha otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa...... Hiyo statement imekupa shida gani?
 
Unajua boss si rahisi kwa nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia. Watafanya politics. Ni suala la wasikilizaji kufanya analysis. Mm hiyo sentensi nimeichukulia kama kukiri kuwa imeshindikana sababu ya same reason uliyotoa kuwa USA walikuwa wakishambulia pia. Otherwise iwe ni hadaa tu za kivita jambo ambalo nalichukulia kama hope tu.
 
Swadakta kwamba "Si rahisi nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia"...

Hicho ndio kilichopo mkuu later itasemwa tu kua "Ooh tunashauri Russia na Ukraine wakae mezani wayamalize" ila sio wao kutamka hadharani kushindwa.
 
Swadakta kwamba "Si rahisi nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia"...

Hicho ndio kilichopo mkuu later itasemwa tu kua "Ooh tunashauri Russia na Ukraine wake mezani wayamalize" ila sio wao kutamka hadharani kushindwa.
Ndio. Hio ndio sentensi ambayo naisubiri itoke niwatukane kiluga. Hope waniprove wrong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…