Acha propaganda wewe mrussi anapata wapi pesa za kuwekeza kwenye teknolojia? Hzo bombs zote thamani yake unaijua? Eti urussi hawezi weka kambi kwa wiki3 mkono serious kweli? Ulishawai sikia wapi urussi analalamika njaa??
Achana na western propaganda hao jamaa wameshajua hawamwezi urussi wameishia kumwekea vikwazo na propaganda kibao ila bado anadunda tu. Anzisheni vita mwone moto wake
yaan mi mtu akini kot na kunisingizia kuwa nimekariri propaganda za west automatically ninapuuza.
ngoja nikujibu kwasababu nipo katika Mode ya kujibu upuuzi.
ujaona vifaru vya Urusi vikikokotwa kwasababu havina mafuta?.
unajua umbali wa Urus na Ukrein ni sawa na Mbagala na Manzese?.
unajua hata wiki hajaisha Urusi iko vitani ila tumeona madhaifu mengi ambayo hatujawai ona kwa mpinzani wake mkubwa?.
Sote tunajua marekani ni dhaifu ila hatujawai ona udhaifu wa kutisha kama anaoonyesha Urusi.
unajua kutoka pentagon had Iraq ni maili ngapi?.
unajua ni miaka mingapi US amekuwa aki oprate mission zake Dunia kote? ngoja nifupishe, nipo darasa la kwanza 1999 ninasikia habari kuhusu marekani today is over 2 decades.. sijasikia US akiishiwa mafuta akiwa ndani ya operation/vita ya namna yoyote ile.
uenda Mrusi ni mzuri zaidi kwa mission ndogo ndogo na fupi kama vile kwenda kuwapiga ISIS kule Syria Etc ila si mzuri katika total war kama tunavyoona.
umejiuliza ni kwanini tunaposema vita ni:,
JESHI
UCHUMI/PESA.
PROPAGANDA.
WASHIRIKA etc?.
unajua kati ya hivyo vyote Urusi ana viwili tu JESHI na PROPAGANDA ila vingine vyote n 0 kabisa.
washilika wake nao ni choka mbaya.
ukiondoa kitisho cha nyukilia Japan leo anaweza ingia Urusi na kunyakua baadhi ya eneo kama alivyowaifanya uko nyuma na Urusi asiwe na cha kufanya.