Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
As I expected, Angekuwa first one to react kwenye comment yako. Probably atakuwa first one kureply kwenye hii comment too. You know what bro, I know each and everything that it's out of topic.Kwani hayo maswali yanahusiana vipi na hii mada yetu!?
Anatupotezea muda,ye kama hajasoma form I shauri yake.
Hapa maswali yajikite kumu husu PUTIN wetu URUSI na viongozi wake na haka KA-OP kanakoendelea.
Unajua hawa akina Qibsy,Jesus mlokozi,Sikirimimimasikini,Nyundo ya moto,Mathanzua,!Galip vrl,Chrome na wewe Ngaboru mnatumia muda wenu kwa faida ya wengi hasa sisi pro Russia.Mbona kigugumizi mkuu aliyeleta hapa ndio anataka kupotezea watu muda.
Amalizane na Pro nato hukohuko inaonekana yeye Pro Russia ndio kimbelembele kulileta hapa.
Bahati nzuri JF wanafomat zao kwamba ya chumbani huishia chumbani(PM).
Kidunia pia kuna msemo.
What happens in ROME stays in ROME.
NB.
Sijamtetea Pro Nato kwa sababu formality ya maswali ni invalid ila yanajibika.
Nadhani rival wake anabusara kutokulileata hapa maana anajua kuna jukwaa la elimu Mexemelo sijui nimepatia jina alijua kugawa majukwaa ili kuondoa muingiliano wa mijadala.
Timu mashudu hoyeee umepuuza ila bado unateseka 😂😂😂😂au nitumie kamusi kutafsiri kupuuza.
Hhh[emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu hiyo ni mocking (utani) wakimaanisha mda wowote wanaweza kuvurumusha iskander au kalibr missile kwenye hizo coordinates. Russia ana satelite yake hayo mambo ya wewe kuangalia nyumba ya bibi yako kwenye Google map wao walifanya kabla hujazaliwa.
Kuna facts & failures kwenye maelezo yako. SPECIES ina maana pana zaidi ya ile ya kibaiolojia.
iskander katika ubora wakeMkuu acha kukaza fuvu kwa vitu vinavyoonekana kwa macho,
Wewe uliwahi kwenda mlimani city au Rock city mall ukakuta Vifaru vimepaki na wanajeshi wakiwa sehemu za juu na chini?
Kwa taarifa yako, Iskanda zitapiga sehemu yeyote ambayo kuna rangi ya bakabaka na hakuna kitu mtafanya.View attachment 2276247
Uko sahihu bro, Ujue hata kutamka kua ni Pro-NATO ni katika kusitiriana, sitaki na huwa sipendi kujionesha niko kwenye sokomoko na mtu. Lengo haswa ilikuwa ni kuclear jambo lenyewe bila kum-expose mtu.Unajua hawa akina Qibsy,Jesus mlokozi,Sikirimimimasikini,Nyundo ya moto,Mathanzua,!Galip vrl,Chrome na wewe Ngaboru mnatumia muda wenu kwa faida ya wengi hasa sisi pro Russia.
Nisingependa mchoshwe hovyo hovyo tu na vijiswali nje ya mada hii kwani mna kazi ngumu ya kutuletea habari,uchambuzi na kuelimisha.
Mtu akitaka ya nje ya mada afungue uzi tumjibu.
ILA kwa kuwa kaenda PM hamna shida
"the alliance is dealing with the threat and strengthening our posture"together the alliance threatens its positioning... deals with
Sasa nimekuelewa kaka,ila kuna watu wapo/tupo hivyo cha msingi endelea kuwa na kifua.As I expected, Angekuwa first one to react kwenye comment yako. Probably atakuwa first one kureply kwenye hii comment too. You know what bro, I know each and everything that it's out of topic.
Ngoja nikupe story fupi, It's a week now. Tulitoka nje ya mjadala mimi, bro Galip Vrl na bro kisiju pwani. Tulizungumza mengi mwisho tukaamua kutokukubaliana maisha yaendelee, Hatukupeana maneno ya kashfa, up to day tunaheshimiana na kaka zangu hao.
Someone akanifata PM kuhusu ile issue tuliokuwa tunaizungumzia. Alivyonifuata kule nikaona ni busara pembezoni bila kukera wengine.
Mjadala ukaanza key terms miongoni mwazo ni hizo, mwisho wa siku tukakubaliana kukutokubaliana. So what happen? Kanibandika majina kadhaa ambayo anayatumia sana kwenye huu uzi moja wapo "Mbwiga".
Of course sio Pro-NATO ni pro-Russia na tatizo kubwa lililopo ni u-much knows, kuna watu wana kasumba hapa kwa kuona kua Pro-Russia wapo sahihi kila kitu mkipishana we ni mweupe.
Ambapo in facts kote alikuwa chaka, Yes if am wrong mtaniambia. Nawapa mifano kadhaa.
1. Akaniambia Race ni species za binadam
View attachment 2276251
🔸Infact sio kweli, we all knows kua Race na Species ni term 2 tofauti.
View attachment 2276249
2. Akadai kua kuna species za binadam ya kizungu na kiafrika na nyinginezo.
View attachment 2276257
🔸 Hapa napo akaingia chaka, we all knows kua kuna only one human species to date. Ambae ni Homo sapiens sapiens, all modern human being tupo kundi hili.
View attachment 2276272
Eti kwamba kuna Species 4 za binadam kweli????
View attachment 2276312
Hivi kweli leo hii wadau mtu asimame awaambie species za binadam ni waafrika, wazungu, Mongolian n.k mtamuelewaje?
Halafu mtu kama huyo kisa yupo upande wa Russia anajiona kama anajua kiviiile nje ya mawazo yake basi si kweli.
Yote 9 mi sikuona issue yoyote, alinipa majina kadhaa pale kama, "Mweupe" hamna kitu wewe, mara mbwiga n.k kisa nini? Kumuelewesha kua anachokifaham sio sahihi.
Ikafikia hatua ananiambia eti niende Quora nikasome, damn wadau hivi Quora na JF kuna tofauti gani? Lile ni jukwaa kama jukwaa hili la hapa any1 is free kuandika analojisikia.
Nikapuuza nikayaacha hapo hapo nikaendelea na wana hapa kwenye majadiliano ya Russia vs Ukraine
Mdau wetu katoka nayo kule kahamia kwenye thread hapa. Kila mda mtamskia oooh team mashudu. Nikavunga tu coz sipendi league na skirt. Inakaribia weak sasa halimuishi. Imekua kama uhasama hivi 😂.
Sasa leo nafungua page kadhaa hapa nakutana nalo tena, Kaanza hapo kutoa adress ya mbwiga kisha machuma chuma.
You guys mnamjua machuma chuma kua ni T14 Armata, yes Mbwiga kama hamkuelewa ni Qibsyl
Sasa em ifike hatua ukiheshimiwa jiheshim, Ukisitiriwa sitirika. Sipo hapa kuwania tuzo kwa mtu yoyote ya ujuzi. Sipo hapa kuwania Tuzi za likes wala compliment kua najua saaaana! NO
Naamini sijui kila kitu ila kamwe sitozungumza kitu nisicho na hakika nacho, ninaye mkera kuna button ya Ignore pembeni. Ani-block, Vijembe vya ******* sitaki.
Tubakini kwenye uzi, kua team flani hakutufanyi tuwe tunajua kila kitu, tuelekezane kwa adab as martured people. Na tukiamua kutoekuelewana, heshima iwepo hatufanani so tusilazimishe kufanana.
Unajua mkuu, binadamu anaye jitambua,hawezi kushangilia jambo kama hili,kwa kuwa huu ni ushindi for humanitys' adversary-Satan.Western governments are representatives of Satan or the NWO, while Russia is fighting on our behalf.Acha Uzuzu mkuu,wake up.Watch this👇,labda akili itazibuka.PIGO JIPYA KWA URUSI - MAJIRANIII HAOOO NATO NI FINLAND NA SWEDEN - UTURUKI YATOA BARAKA ZOOTE.
View attachment 2276108
Turkey has lifted its veto over Finland and Sweden’s bid to join the NATO military alliance after the three countries agreed to protect each other’s security, ending a weeks-long drama that tested allied unity against Russia’s invasion of Ukraine.
As I expected, Angekuwa first one to react kwenye comment yako. Probably atakuwa first one kureply kwenye hii comment too. You know what bro, I know each and everything that it's out of topic.
Ngoja nikupe story fupi, It's a week now. Tulitoka nje ya mjadala mimi, bro Galip Vrl na bro kisiju pwani. Tulizungumza mengi mwisho tukaamua kutokukubaliana maisha yaendelee, Hatukupeana maneno ya kashfa, up to day tunaheshimiana na kaka zangu hao.
Someone akanifata PM kuhusu ile issue tuliokuwa tunaizungumzia. Alivyonifuata kule nikaona ni busara pembezoni bila kukera wengine.
Mjadala ukaanza key terms miongoni mwazo ni hizo, mwisho wa siku tukakubaliana kukutokubaliana. So what happen? Kanibandika majina kadhaa ambayo anayatumia sana kwenye huu uzi moja wapo "Mbwiga".
Of course sio Pro-NATO ni pro-Russia na tatizo kubwa lililopo ni u-much knows, kuna watu wana kasumba hapa kwa kuona kua Pro-Russia wapo sahihi kila kitu mkipishana we ni mweupe.
Ambapo in facts kote alikuwa chaka, Yes if am wrong mtaniambia. Nawapa mifano kadhaa.
1. Akaniambia Race ni species za binadam
View attachment 2276251
[emoji842]Infact sio kweli, we all knows kua Race na Species ni term 2 tofauti.
View attachment 2276249
2. Akadai kua kuna species za binadam ya kizungu na kiafrika na nyinginezo.
View attachment 2276257
[emoji842] Hapa napo akaingia chaka, we all knows kua kuna only one human species to date. Ambae ni Homo sapiens sapiens, all modern human being tupo kundi hili.
View attachment 2276272
Eti kwamba kuna Species 4 za binadam kweli????
View attachment 2276312
Hivi kweli leo hii wadau mtu asimame awaambie species za binadam ni waafrika, wazungu, Mongolian n.k mtamuelewaje?
Halafu mtu kama huyo kisa yupo upande wa Russia anajiona kama anajua kiviiile nje ya mawazo yake basi si kweli.
Yote 9 mi sikuona issue yoyote, alinipa majina kadhaa pale kama, "Mweupe" hamna kitu wewe, mara mbwiga n.k kisa nini? Kumuelewesha kua anachokifaham sio sahihi.
Ikafikia hatua ananiambia eti niende Quora nikasome, damn wadau hivi Quora na JF kuna tofauti gani? Lile ni jukwaa kama jukwaa hili la hapa any1 is free kuandika analojisikia.
Nikapuuza nikayaacha hapo hapo nikaendelea na wana hapa kwenye majadiliano ya Russia vs Ukraine
Mdau wetu katoka nayo kule kahamia kwenye thread hapa. Kila mda mtamskia oooh team mashudu. Nikavunga tu coz sipendi league na skirt. Inakaribia weak sasa halimuishi. Imekua kama uhasama hivi [emoji23].