Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yah, kifua ninacho sema inafikia wakati inakuwa too much... Sasa umeshaelewa kilichopo nenda tena kaisome ile reply ya kwanza baada ya kuzungumza ulichonijibu.
 
Ukipenda unaweza kuniweka pote, Itakuwa vizuri zaidi, As you wish, kwetu hakuna shida.
 
Tanzania upatikanaji maji safi ya bomba ni asilimia 72 vijijini na 86 mijini kama unaziamini takwimu za serikali.

Huwezi kuwa na akili nzuri Ukashangaa udhibiti wa maji Italia wakati Public toilets za nchi yako kwenye sehemu zenye mikusanyiko mikubwa ni aibu tupu kwa ukosefu wa maji!
 
Uko sahihu bro, Ujue hata kutamka kua ni Pro-NATO ni katika kusitiriana, sitaki na huwa sipendi kujionesha niko kwenye sokomoko na mtu. Lengo haswa ilikuwa ni kuclear jambo lenyewe bila kum-expose mtu.
Humu ni hoja tu sema watu wanachanganya na hulka zao.
ILA ndio ubinadamu wenyewe huo kama ulivyosema kuwa hatufanani
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Wewe ndio uliamua kuendeleza vya chumbani mi nilishatoka huko.

Kiroho Safi au sio nikawa na like kama hatujasukutuana PM mnakumbuka ww na mwenzio si ndio mara gafla naona code zinatembea kua sijui kupuuzwa.
Sasa mimi ningetulia tuu bila kurudisha majibu.
Na najua kua mara ya mwisho niliwaambia acheni mambo ya kuchambana tokea hapo nikawa na maindi business zangu silike wala siwakot kila mtu ashinde mechi zake.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ssa siku ya gundu ni gundu tuu kuna ubishani ulitokea wa dakika katika masilaha mm nikachukua upande yaani ni kama vita baridi kwa upande wangu sasa kumuita T14Armata yy ajui kitu ila nilitaka maoni yake ili kumkomesha Galip Vrl c ndio katika majibizano niliemuita kanijibu shit nikamuignore kitu nilichomuitia hajakifanya na sikuweza kuendeleza ligi na yy ilihali (nikasarenda) nawatemea shit nyie na chanzo n Wewe mm sikuyaleta hapa.

Hapa ni kijiwe cha kupumzikia tusichukulie vitu siriazi kiivo na kumuita machuma chumaa ni kutokana na yeye kunishit ivyo nikampa AKA afeel nilichofeel na ni baada ya kuona yameisha between mm na nyie kwa ww kulike comments zangu.

Mi pia silipwi kuchangia hapa ni sehemu ya kupumzikia watu huku ni vitu vya kawaida kuzinguana na n PM sasa Wewe kuleta jukwaani ndio unazidi kujichoresha.

Mimi mbona nimevumilia na mnanipiga spana wawili sijawayaleta hapa iyo inaonyesha kwamba hauna kifua puuza kama ulivyosema otherwise lamba jivu likate kiungulia.

Cc
Msuluhishi@mtimawachi
 
Alihisi unakosoa taarifa kumbe huna habari na Taarifa yenyewe
 
Mimi sitaki msaada wewe ndio msaada unauona ndio jambo la kutolea mfano Kwa huyo mume wenu USA
Haa unasema ,adding mwombee njaa .Njaa ikikupata utatulia.Currently arrond 1.8m HIV affect citizen of Tz wanapata ARV yaani dawa za kufubaza ukimwi bure kutoka US through USAID kwa zaidi ya miaka 5 sasa.Dozi ya mwezi mmoja ya mtu mzima ni shs kati ya Tzs 400k to 500k kwa mwezi .Na ya watoto ni more expensive. Kuna watu wanatumia na wanatunza familia .Sasa wewe sema hatutaki msaada wakati ukibanya hata bima uliyonayo haikusaidii .Hii nimetoa mfano tu mmoja .Sasa iwe urusi au US bado dunia inategemeana you can not have everything
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kule makanisani jomba wanatafutia kiki, ili kupigwe waseme Russia anashambulia Makazi na Raia.
 
Russia hawezi ku fight on our behalf my dear,wangekuja kutusaidia huku kongo tuwe na amani kama kweli wanatusqidia
 
Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.
Tena hii vita haiishii kwenye Uchumi, Mrusi aanze kujiandaa kufanya yafuatayo:-
  • Kuanzisha mashindano yake maana FIFA hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha UEFA yake maana hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha Olympic yake maaha hatutaki kumwona sura yake.
  • Michezo yote inayohusisha Umoja wa Ulaya na NATO hatutaki sura yake.

Yaani ni hivi ndugu zangu Dunia ya leo usijifanye mtemi utaumia - huwezi kujitenga na wenye nguvu wenzako, atapata madhara mengi mno huyu anayejiapiza kwamba ni mtemi wa Dunia subirini anguko lake.
 
Duh, anyway sio geni kwangu. Ila nikuombe kitu Mdogo wangu Q endelea kupanua kifua. Puuza kama ulivyoanza, ukiona jau sana hiyo Ignore button unayoizungumzia na wewe ifanyie matumizi.

Life is too short kuhifadhi yasiyo na maana kichwani. Wapo waelewa kama mithili ya Mr Tyang walioamua kukaa upande wa NATO, sio kwamba hawajui ila wamekaa upande usio sahihi. Na wapo wengine mfano kama mimi copy ya Fuso bin Canter, Hatujui kitu ila tumekaa upande ulio sahihi.

So unapokutana na akina mwanamkiwi wa Urusi piga moyo konde endelea na issue zingine.

Mada yetu ni ile ile Russia na Ukraine. Ukitoka nje ya mada hapa utakuta kuna CCM vs Chadema, Wafia Dini vs wapagani, wasukuma na wahehe yani kila aina ya mitizamo. So kausha tuendelee na Mada kama ikikupendeza.
 
Yah, kifua ninacho sema inafikia wakati inakuwa too much... Sasa umeshaelewa kilichopo nenda tena kaisome ile reply ya kwanza baada ya kuzungumza ulichonijibu.

Sheria ya JF hairuusu kuexpose vitu mlivyoongelea PM hilo ni la kwanza.

Cha pili watu wanaona wewe ndio mkosewaji kwa sababu umeripoti wa kwanza bila kuangalia upande wa pili.

Vip na mm nitume screen shot za wewe kukomalia waarabu ni lugha bila kufikiria ni mtu alikua anajadiliwa yaani bila kufungu mdomo kuzungumza unasema huyu ni muarabu.

Hivyo vyote nilivyokuambia ni katika kutaka kuona jinsi ya kukuelekeza wala sio kuingia deep na ndio maana ulivyosema homo sapiens na homo erectus ni mambo ya origin ya binadamu.

Nikakuambia mimi siko uko nataka kutumia terminology izo kuonyesha mmgawanyiko wa jamii watu/ binadamu.

Kwamba kuna wenye utashi(mwamfika,muarabu,machina)
Alafu kuna wasiokua na utashi (sokwe,nyani,tumbili,etc)

My point was kukutoa kwenye arabs as lugha balii umfikirie anaeongea au mmiliki wa hiyo lugha chotara au wakujifunza au kuhamia hakumfanyi kua muarabu.

Sasa kidunia haitumiki neno homo sapiens kuelezea jamii za kibinaadamu bali neno race.

Kidunia ndio wamegawanya nne ila kila taifa linamaamuzi yake kutokana na jamii za kibinaadamu zipo nyingi.

Sasa hapo nimeonyesha umwamba wapi kama sio kunionea.

Mimi kutumia neno species,genes sijui animali kingdom ni katika hali ya kutaka kukutoa kufikiria neno arabs as lugha balii mtu.

Mimi sina lig yyte na nyie ila naona mafumbo m nilijuaje kwamba Pro NAto ni mimi ni kwamba sijishtukii ni ukwelii battle ilikua bado inaendelea Kati yangu na nyie.

Wewe ukianzisha mimi namaliza katika hali ya wewe kuumia ukipuuza na mm pia sina muda nafanya yangu.

Kama ni muungwana futa reply za PM maana sitaki kukuchoresha kwa moderators.
 
Swadakta, nje ya mada uanzishwe uzi tufatane huko huko hadi kieleweke. Mie binafsi nakiri ile day tulikosea sana kuleta ule mjadala hapa. Lakini isiwe kesi muungwana akisahihishwa hutii na mie natii na kuunga mkono hoja kua nje ya mada zitengewe uzi hapa tubaki na Russia/Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…