Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Atakwambia huyo mzee ni mwali wa Putin.
 
Solidarity yao iko wapi ha ha ha mbona mapema sana [emoji23]
 
Duh, kumkomesha Galip Vrl ha ha ha ahya bn.
 

Mimi ndio niliye mfata PM hapa ulikua mrefu wala sikujishughulisha nao ila nilikua msomaji na lengo langu ni dogo tuu kumtoa kwenye neno lugha kuja kwenye ubinadamu.

Sasa mm nilimmindi maana naona analeta ligi na mm sikua kilig ingekua ivyo ningeendeleza hapa jukwaani.

Kwani akibaki na anavhokielewa na mm nikibaki na changu kuna tatizo.
 
Umesema kinyume chake....south America, Africa na Asia wanaweza wakaunda shirika lao la soka na kuiacha Europe na North America...
It is quite possible....na hili limeanza kujadiliwa
 
Earlier in Kremenchug along the Dnipro river bridge crossing, a Russian missile destroyed a machinery plant filled with foreign weapons and ammunition.

Russia amejiandaa na space star war ameshajaribu silaha za kudungulia satellite na za kuneutralize nuclear missile . Kwa sasa ameweka askari 100000 mpakani baada ya kubaini NATO anapanga ku invade . Jamaa amajiandaa kila engo ni amazao ama zangu . Musioijua Russia mtabaki na ishu ndogo za fulani kajiunga NATO nk hao wanaojiunga hawana cha maana katika vita isiyofuata sheria yaani vita ya kihuni hiyo ndio vita yenyewe. Russia anawajua Nato hadi utumbo visatelite vyao anavijua.

Vikosi vya star war vipo tayari na mifumo yake . Tunashabikia lakini dunia itaingia engo ngumu ghafla kwa sababu ya taifa linalopenda raha halitaki kufanya kazi ni music ushoga na drama mwishowe kuprint pesa . Halafu Wana watumwa wapo Africa wanawasapoti .
 
Ha ha ha na mimi nitunzieni hizo ARV na hamu naaaaazo... Ukimwi wanimalizzzza dada UPOPO [emoji23]
 
Duh, kumkomesha Galip Vrl ha ha ha ahya bn.

Ni baada ya kuona mnaleta ligi maandazi ebu kuwa wazi kabisa tokea mnaambizana hajui kupuuzwa mlitgemea mm nichekelee kama mjinga.

Ulikua ujui supavaisa huwa anatafutiwa boss wake ili anmyee vizuri 😂😂😂😂.

T14 Armata yuko vizuri kwenye silaha hilo halina ubishi kuzinguana na mtu hakuondoi fact kua anaweza.

Natema nyongo
 
Mambo ni Magumu mno - Kwa maneno haya ya mkuu wa majeshi wa Uingeleza - ni balaa tupu, ni kwa asiyejua masuala ya vita na ujasusi ndiyo anaweza kubeza maneno haya.

“In all my years in uniform, I haven’t known such a clear threat to the principles of sovereignty and democracy, and the freedom to live without fear of violence, as the brutal aggression of president Putin and his expansionist ambitions,” he is expected to say.

“This is our 1937 moment. We are not at war – but must act rapidly so that we aren’t drawn into one through a failure to contain territorial expansion.

“I will do everything in my power to ensure that the British Army plays its part in averting war.”

The development came after NATO declared it would would increase its high readiness forces from 40,000 to 300,000 troops and send more heavy weaponry to Ukraine.

NATO Secretary-General Jens Stoltenberg described the move as “the biggest overhaul of our collective defence and deterrence since the Cold War”.
 
Umesema kinyume chake....south America, Africa na Asia wanaweza wakaunda shirika lao la soka na kuiacha Europe na North America...
It is quite possible....na hili limeanza kujadiliwa
sawa, sasa ya nini yote hayo ujitenge na Dunia ndugu!! hilo kombe nani ataliangalia. Nchi za Africa si za kuamini eti zitajiunga na shirikisho la Urusi.
Kwanza africa nani anaangalia ligi ya URUSI by the way !! South America hawawezi kukubali ujinga wa kujitenga na wanaojua kandanda sahau.

Wachezaji mahili wa Urusi wanaocheza Ulaya watapewa uraia ili kuendelea kucheza soka kwa viwango vya Dunia. Mrusi kayakanyaga sheikh.
 
Hapana Shangazi kwanza kaandika mashudu tu, hebu achana nae huyo dogo hajielewi sawa eeh?

Samehe 7 mara 70... Mpuuze tu pimbi mmoja huyo. Maria Zakharova wetu hebu tuendelee kubaki kwenye mada. Assume ni upepo tu umepita.
 
Kuna mawili nayaona kwnye comment zako,kutokujua kunakoletwa na kutosoma ama ubishi unaoletwa na kujua sana.
Nmeshakwambia Finland amejiunga pindi wenzie wanapigwa so vgumu Urusi kuishambulia at the same time yaishambulia Ukraine, si jambo la imani kwamba imevamiwa kwa ajili ya kutaka kujiunga NATO but fact maana mwenywe Putin aliweka hlo wazi (nmekupa link hapo usome why kashambulia hujasoma waja kuhoji hoji kwa uvivu wako wa kusoma).
Whether intelijensia ilisema ama la ila uvamizi wa Ukraine ulikuwa hauepukiki maana asingewafanya alichowafanya wangemdharau majirani wote na wangejiunga eventually maana wangemuona No Action Talking Only.
 
Kuna huyu mwamba alizungumza jambo nikacheka kinoma
 
Sawa shangazi we ziteme zote ziishe. Ukimaliza niambie tuendelee na mjadala wetu.
 
Hapana Shangazi kwanza kaandika mashudu tu, hebu achana nae huyo dogo hajielewi sawa eeh?

Samehe 7 mara 70... Mpuuze tu pimbi mmoja huyo. Maria Zakharova wetu hebu tuendelee kubaki kwenye mada. Assume ni upepo tu umepita.

Wala sio suala la ushindi uhalisilia ni upi? Maana kalileta hapa mimi mara zote huwa najibu mapigo rudini nyuma msome chat zenu mm sio mgomvi ila tusichokozane.
mtimawachi

Soma alafu toa itimisho mi ndio nilianza kuchokozwa pitia comment zangu tokea nilipo kukoti ndio utapata picha ili uweze kubalance mzani wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…