Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona wao hawaingii kuisadia Ukraine waone
 
Pamoja na mbwembwe zote za kutumia Cruise missiles kwa raia,Kichapo kwa Warusi toka kwa Ukraine pia kinaendelea🤔
Recent updates as of 29.06 👇
 
Nilikuwa naangalia live footage kupitia Russia today documentary tv ni kama 100m hivi kutoka walipotarget na hiyo mall kubalance story lazima uwe na vyanzo vyote viwili uzuri channels za Russia huku zinafika na wamagharibi pia na ni bure kama hiyo Russia documentary ipo nss12 57° free wanaweka mpaka live footage
Frequency 11105h 45010
 

Tutie kwenye ignore list alafu unasema unachanganywa ivii unajisikiliza kabla ya kuandika.

Hayo mashudu aliemleta machuma machumaa ni nani ?katika huu mvurugano mimi na ugomvi nae kivyangu ila Patna wako kamchanganya kutafuta huruma niache kumuongelea ntalisemea wap wakati partner wako kalianzisha.

Msivyojitambua mipaka yenu mnakusanya kila kitu.

😂😂😂😂😂😂 Mambo ya chumbani mmeleta sebleni na kuhusu T14Armata nilizungumzia hapahapa nani wa kupimwa IQ.

Ndio Maana nawaita mashudu sio bahati mbaya.

Sheria za JF haziruhusu kutoa mambo binafsi kuyaleta kwenye uwazi ndio Maana ya Private massage (PM)

Sasa kama mmejulia social network uzeeni sio kosa langu am sorry mjombaaaa.
 
Sahih[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Waanze kwanza Pro Russia waliojazana balozi za US na EU wakisubiria maombi yao ya Visa.
Waukrein waubungo katoni msaada mstari wa mbele acjheni kelele wenzenu wanakwisha huku
 
Watu wengi ufahamu wao ni mdogo sana mkuu,they believe everything they here from the Mainstream Media,which is fake news.Mimi taarifa zangu zote napata mostly from the Independent Media.Mara chache sana naangalia Mainstream Media, taarifa zao nazichukulia kama fake news.RT mimi siipata on normal TV channels,for obvious reasons:Cable TV in Tanzania is owned by NWO morons and stooges.Naingaliaga kwenye smart phone yangu.It's a little bit balanced.
 
Kaficha nini na nyie mligunduaje kua nawaita mashudu na ulijibu nini na Wewe unamuambia haijaisha tuu kama sio misuguano inaendelea kimyakya and hakuna alinotes ni sisi watatu tuu.

Au ndio kujificha kwenye shamba la karanga.

Huna cha kushtaki sanasana ni mimi nishtaki kwa kuanika privacy yangu.

Sema huo muda sina na kuhusu kuignore huna haja ya kuniambia just bonyeza button imeisha.
 
Labda ni kweli sijaelewa but nina hakika na wewe hujaelewa. Uliyoyasema kuhusu Medvedev hajazungumza hata kimoja. Maelezo ya Medvedev yako bolded, hakuna mahala alipojisifia wao kutengeneza meli miaka ya 1667 wala hakuna sehemu aliyojilinganisha na taifa lolote. Hilo Mosi,

Pili, Maneno ambayo hayapo bolded ni ya kwangu mwenyewe, hakuna sehem niliyoitaja UK, wala Ureno wala nini.

Tatu, Kama kauli ya kukurupuka ni mbaya kukupea basi nisamehe, kilichopo ni kama umekurupuka. Kwanini? Ni kwamba leo kampuni X ya serikali ikianza kutengeneza vitenge. Miaka 55 baadae wakiazimisha hilo haina maana kua itakuwa ni miaka 55 tangu waanze kutengeneza vitenge.

Nne, Hiyo state department inatimiza miaka 355 sasa, Ukirudi nyuma unakuta ilianzishwa 1667. Umekiri wakati huo hakukua na taifa linaitwa US bali koloni la UK ambalo lilikuwa na jina tofauti kabisa na hili la leo. Of course its just like hapa Tanzania, 1961 hakukuwa na Taifa linaitwa Tanzania bali Tanganyika.

So you can't deny the fact that hiyo state ship building ipo in existence century ahead kabla ya taifa linaloitwa United State of LGBTQA+ kujulikana kwenye raman za dunia.

So ushabiki uendelee mdau 😂
 
Lakini Mkuu, kuzitizama hizo media si vibaya, nahisi kibaya ni kuamini kila kinachozungumzwa kwenye hizo media, Kuwe na chujio za hizo taarifa. Sio kuzibeba bila kuzitafakari uhakika wake.
 
Independent media zako ni zipi?

Halafu RT ina tofauti gani na TBC?

 
Ilipoishia jana kwenye speech ya 2007 ya Mzee Putin.

Putin 🌀 I consider that the unipolar model is not only unacceptable but also impossible in today’s world. And this is not only because if there was individual leadership in today’s – and precisely in today’s – world, then the military, political and economic resources would not suffice.

What is even more important is that the model itself is flawed because at its basis there is and can be no moral foundations for modern civilisation.

Along with this, what is happening in today’s world – and we just started to discuss this – is a tentative to introduce precisely this concept into international affairs, the concept of a unipolar world.
 
Putin 🌀 And with which results?

Unilateral and frequently illegitimate actions have not resolved any problems. Moreover, they have caused new human tragedies and created new centres of tension.

Judge for yourselves: wars as well as local and regional conflicts have not diminished. Mr Teltschik mentioned this very gently. And no less people perish in these conflicts – even more are dying than before. Significantly more, significantly more!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…