Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa Sasa USA ana organize Ulaya waweke Kambi Poland na nchi jirani na Russia, this is joke.

Source: BBC leo

Afu Russia akija na comeback anaacha kilio, Putin amesema Russia itajibu mapigo. Hawa NATO ni kama wana mihemuko hawafikirii wanakurupuka Russia anawasoma kwa akili sana aki bounce back anaacha wanahaha.

BOUNCE BACK ya RUSSIA haiwezi kuwa ya kitoto
 
Ataangushwa asipoangalia, Kwa Sasa wenzie Wana plan na mioangoya mapigano kimiundimbinu Hadi next year yeye Putin asijeina kesho vita iishe arekebishe uchumi wake.

Tuambie uchumi wake unatakiwa marekebisho wapi?? Kwanza mtu unajiita moron serious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
WASHINGTON β€”
The first American troops arrived in Poland Saturday to reinforce NATO allies in Eastern Europe, Poland’s Defense Ministry said, amid fears Russia may invade neighboring Ukraine
Hii itakuwa habari ya muda mrefu. Maana, demilitarization and denazification operation inakaribia miezi mitano Sasa. Hicho kikosi cha US kinafanya nini Poland.?
 
Anzeni kuzikataa dollar na Euro zenye thamani ya zaidi ya Tsh Trillion 1 zinazokuja nchini mwako kila mwaka kwa utalii tu.
Shida ya wanachama wa NATO ni kushikiwa akili na USA na hili ndio tatizo la kwanza tutakaloanza kuhangaika nalo kuwavuruga. Ni kuua ushawishi na nguvu ya USD kwenye biashara
 

Unahangaika sana na huyu dogo ukiongelea NWO sidhani kma anajua chochote zaid yeye anaamini US ndo kila kitu
 


Hayo yote unayoyataja, hayafanywi na west?
 
Unahangaika sana na huyu dogo ukiongelea NWO sidhani kma anajua chochote zaid yeye anaamini US ndo kila kitu
Iweke kwa upana wake isomeke hivi;

"What is at stake is more than one small country, it is a big ideaβ€”a new world order(NWO), where diverse nations are drawn together in common cause to achieve the universal aspirations of mankind: peace and security, freedom, and the rule of law. Such is a world worthy of our struggle, and worthy of our children's future"
-Bush Snr. January 29, 1991.

Usiogope big na ambitious idea kama hiyo.
Mtaendelea kuwa watu wa maisha madogo, duni na ya kuganga njaa tu kama hamfikri katika global levels.
 
Yangekuwa yanafanywa na West usingeona msururu wa Oligarchs na wanasiasa wa Urusi wakikimbilia kuficha utajiri wao na kuishi uhamishoni EU na US.
Hayo yote unayoyataja, hayafanywi na west?
 
Wanaume wa shoka...!! Wanakula bata kama wanavyo jisikia si kama yule kikizee wenu amejifungia ndani kinaogopaa hata kwenda uani...!!View attachment 2277015


Mwanaume wa shoka hutoka pekee yake kwenda kwenye mapambano,ukiona wanaume wanasindikiza kwenda chooni,ujue hao no mashoga tu,yes! A real man stands alone!!!- Russia πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ’ͺ
 
Anayejifanya ^mtemi^ mbona ajulikana kwamba ni US? Kibaya zaidi, hataki wengine washindane naye on a fair ground. Shame!
US ni paper tiger yule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa amekutana na mnyamakazi polar bear mrusi anashindwa kudhihirisha utemi wake kimabavu. Urusi yuko tayai hata wakitaka waungane atakomaa nao kiume
 
Putin kamfundisha bwana mdogo Boris Johnson historia ya Uingereza, kamweleza Margaret Thatcher aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza mwanamke aliamua kuanzisha vita mwaka 1982 dhidi ya Argentina. Somo hilo limejiri baada ya Boris Johnson kusema kuwa kama Putin angekuwa mwanamke, asingeanzisha vita Ukraine

Aibu iliyoje Waziri Mkuu wa nchi tena Uingereza kutojua historia ya nchi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…