Raia 1000 untrained ni sawa na 10 fully trained commandos.Tuache masihara Rais wa Ukraine inabidi alipie na Vita ikiisha anyongwe hadharani.....
Huwezi kuleta mzaha namna hii,kuwadanganya raia wasio na mafunzo yoyote kuwa wanaweza kupambana na wanajeshi.....
Ona kilichowakuta hao pamoja na motolov cocktail zao
Alishawai shika urais kabla putin kumpokea tena...Medvedev bado mdogo sana (kwenye masuala mazito) ndo maana amepewa muda ajifunze kazi.
Kumbuka Putin yupo hadi 2034 baada ya kufanya marekebishio kwenye katiba ya Russia.
Live asee hilo nenojf watuekee voice notee .... [emoji1787][emoji1787]
ushakimbilia Gugo ilikuback up hoja zako wakati mimi hata sikumbuki mara ya mwisho kivist gugo[emoji1787][emoji1787].
unataka sema jeshi lote la Urusi lipo Moscow?.
Tanzania tuna kambi za majeshi Kigoma, musoma monduri etc.
ikitokea vita kati ya Tanzania na Kenya umbari wa kutoka musoma kuingia Isbania Dar Morogoro ni mbali jeshi letu linakuwa lipo ndani ya kenya..sasa wewe umekimbilia kugugo Moscow as if the rest parties of Russia haven't military facilities!!! bogus sana wewe.
Moscow wanakaa watemi, military facilities zilizopo nje ya Moscow ni kupewa oda tu kuwa vuken mpaka muingie Ukraine
Hakuna unachokijua wewNilipo si mbali sana na Ukraine so najua nachosema
Pro Ukraine wanashindwa mitandaoni, ila vitani Putin Anaupiga mwingi Sana[emoji2]SIWAONI WALE MA PRO UKRAINE AU MPO FRONTLINE?
nyuma ya keypad Urusi inapiga dunia nzima ndani ya masaa 24.PRO NATO mnaweweseka sana kojoa ulale mtaonea wote ila sio urussi uyo kashindikana. Kama mnajiamin ingieni kati.
Uyo Hana ndege, Hana vifaru, Hana drone yoyote.Hawa watu wanaosemaga vita za siku hizi hazihitaji watu watu mbona siwaoni hapa?
View attachment 2135653
nyuma ya keypad Urusi inapiga dunia nzima ndani ya masaa 24.
njoo kwenye reality sasa leo ni siku ya 4 na bado hana matumaini kuithibiti Ukraine.
Una uvumilivu wa hali ya juu mzee. Endelea kujitia vidole tu mwanangu.nyuma ya keypad Urusi inapiga dunia nzima ndani ya masaa 24.
njoo kwenye reality sasa leo ni siku ya 4 na bado hana matumaini kuithibiti Ukraine.
Una uvumilivu wa hali ya juu mzee. Endelea kujitia vidole tu mwanangu.
Mataifa yote yale yaliyotoa zana za vita kabla na wakati wa vita yanatoa nini kumbe!?Uyo Hana ndege, Hana vifaru, Hana drone yoyote.
Lazima TU ategemee raia[emoji4]
Ukraine wanaporojo Sana, Putin yeye Ni vitendo zaidi[emoji2]Sema Putin ana roho mbaya sana huyu mwamba khaa
Mzee bado unaendelea nao wanaobweka huku wakigonga cheers Washington DC.
Russia keshajua uhuni walionzisha Ukraine, anatumia ndege na missiles TU.Leo naona twitter kumepoa sana toka kichapo kianze kutembea zile stori za raia kuiba kifaru zilikua dharau kwa russia. Leo ni kimyaa kama sio Twitter [emoji28][emoji28][emoji28]
Mmeanza kua wapole tena eeh[emoji2]Hii sio poa wakuu ni hatari
Wakati raisi wao mchekeshaji anasema wameshaua wanajeshi 5000 wa urusi[emoji1787][emoji1787]Binafsi sasa, nahamia upande wa Ukraine kuwaombea msaada. Hiki kichapo cha Urusi sasa naona yuko serious na kazi hii. Kuna mtu nakumbuka alisema URUSI hajatumia silaha za kisasa, na akianza mtaona matokeo yake.
MUNGU WASAIDIE UKRAINE.
Fomu za kujiunga na jeshi[emoji848][emoji2960]View attachment 2135643
ona hili nalonyuma ya keypad Urusi inapiga dunia nzima ndani ya masaa 24.
njoo kwenye reality sasa leo ni siku ya 4 na bado hana matumaini kuithibiti Ukraine.
Utaratibu wa nauli ya kwenda uko tunapata wapi?wale stand with ukrein fomu hioo nawatakia kila lakheriiiView attachment 2135638View attachment 2135641View attachment 2135640