LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tuache masihara Rais wa Ukraine inabidi alipie na Vita ikiisha anyongwe hadharani.....
Huwezi kuleta mzaha namna hii,kuwadanganya raia wasio na mafunzo yoyote kuwa wanaweza kupambana na wanajeshi.....
Ona kilichowakuta hao pamoja na motolov cocktail zao
Raia 1000 untrained ni sawa na 10 fully trained commandos.

Hapa Lazima raia waumie.
 
Medvedev bado mdogo sana (kwenye masuala mazito) ndo maana amepewa muda ajifunze kazi.

Kumbuka Putin yupo hadi 2034 baada ya kufanya marekebishio kwenye katiba ya Russia.
Alishawai shika urais kabla putin kumpokea tena...
Asee yule mwamba kichwa chake anakijua mwenyewe bora hata putin anafikilia kidogo Medvedev yule kinega sio poa
 
ushakimbilia Gugo ilikuback up hoja zako wakati mimi hata sikumbuki mara ya mwisho kivist gugo[emoji1787][emoji1787].
unataka sema jeshi lote la Urusi lipo Moscow?.
Tanzania tuna kambi za majeshi Kigoma, musoma monduri etc.
ikitokea vita kati ya Tanzania na Kenya umbari wa kutoka musoma kuingia Isbania Dar Morogoro ni mbali jeshi letu linakuwa lipo ndani ya kenya..sasa wewe umekimbilia kugugo Moscow as if the rest parties of Russia haven't military facilities!!! bogus sana wewe.
Moscow wanakaa watemi, military facilities zilizopo nje ya Moscow ni kupewa oda tu kuwa vuken mpaka muingie Ukraine

PRO NATO mnaweweseka sana kojoa ulale mtaonea wote ila sio urussi uyo kashindikana. Kama mnajiamin ingieni kati.
 
Una uvumilivu wa hali ya juu mzee. Endelea kujitia vidole tu mwanangu.
Screenshot_20220301-231812.jpg
 
Leo naona twitter kumepoa sana toka kichapo kianze kutembea zile stori za raia kuiba kifaru zilikua dharau kwa russia. Leo ni kimyaa kama sio Twitter [emoji28][emoji28][emoji28]
Russia keshajua uhuni walionzisha Ukraine, anatumia ndege na missiles TU.

Ukirusha baruti, anarusha bomu.

Hacheki na kima[emoji1787]
 
Binafsi sasa, nahamia upande wa Ukraine kuwaombea msaada. Hiki kichapo cha Urusi sasa naona yuko serious na kazi hii. Kuna mtu nakumbuka alisema URUSI hajatumia silaha za kisasa, na akianza mtaona matokeo yake.
MUNGU WASAIDIE UKRAINE.
Wakati raisi wao mchekeshaji anasema wameshaua wanajeshi 5000 wa urusi[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom