DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Raia 1000 untrained ni sawa na 10 fully trained commandos.Tuache masihara Rais wa Ukraine inabidi alipie na Vita ikiisha anyongwe hadharani.....
Huwezi kuleta mzaha namna hii,kuwadanganya raia wasio na mafunzo yoyote kuwa wanaweza kupambana na wanajeshi.....
Ona kilichowakuta hao pamoja na motolov cocktail zao
Hapa Lazima raia waumie.