LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
wanakwambia mtoto akililia wembe mpe naam urusi ilikuwa inatumia silaha za kawaida mno basi jana putin kaamua kutumia silaha za kiutu uzima angalieni raman ya urusi ilivyo ongezeka kwa ghafla hicho ni kipigo cha usiku wa leo tafute video kuna pigo utafirikir limeshushwa bomu la nyuklia ukraine imebaki na kuund propaganda
 
mkuu umeeleza vizuri sana ila hata wewe inaonesha ni mhanga wa propaganda za magharibi, unawezaje kusema hamasi ni wabaya unaweza kuthibitisha hili?
Hamasi wabaya kwa maoni yangu mimi binafsi lakini haizuii wengine kuwaona tofauti. Hata hao Taliban kuna watu wanawapenda.
 
Kumekucha sasa,Kiev ishakuwa majivu Mkuu? Wengine hatuna access na TV tunawategemeeni mtupe update za uhakika.
 
Hii Chai haina sukari
 
Master wa Komedian ameanza kuchachawa huku kichapo ndio kwanza kimeanza atulie hahaha mpaka Amesahau kutaja “Ukrainian” ameita “Iranian”[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Au matamshi mbona nimesikia ukrenian people
 
Kumekucha sasa,Kiev ishakuwa majivu Mkuu? Wengine hatuna access na TV tunawategemeeni mtupe update za uhakika.
Achana na propaganda za huyu mduanzi.
Kama Ukraine inaisumbua Russia,kama NATO ikiingilia kati Warusi wangeomba poo .Sanasana Putin atakimbilia KuActivate Nuclear,mikwara ya kizamani!
 
Nadhani CNN wamesha ku brainwash hayo mambo ya air cover wewe umeona wapi hawana kweli unataka kuniambia Makamanda wa Russia hawajui vita vinapiganwa namna gani? Kama hawana air cover kwanini Ukraine jana wameomba UK na USA kufunga anga, unajuwa jibu walilopewa? No hatuwezi kufunga anga ni hatari. UK Prime minister tena alimjibu yule mama nakwambia ukweli tu hilo ni gumu kufanya litaleta balaa zaidi. Hivi mnasahahu vita vya Iraq ilikuwa jumuiko kubwa la nchi kuwahi kutokea pamoja na walikuwa superior air power lakini 43 days walipigana.
 
PRO NATO mnaweweseka sana kojoa ulale mtaonea wote ila sio urussi uyo kashindikana. Kama mnajiamin ingieni kati.
Umeshindwa kujibu hoja yake umekimbilia mipasho,nilitegemea upangue hoja yake aliyokuuliza,jeshi zima la Rassia lipo Moscow kutokana na umbali wa google uliotuletea,hapo ndipo tunaomba ushushe nondo zako,achana na maneno ya reja reja Mkuu.
 
Achana na propaganda za huyu mduanzi.
Kama Ukraine inaisumbua Russia,kama NATO ikiingilia kati Warusi wangeomba poo .Sanasana Putin atakimbilia KuActivate Nuclear,mikwara ya kizamani!
Hao USA kumtoa Assad syria tu walishindwa. Afhganstan tu pale walipigana mpaka kamasi unadhani vita unatembea tu. Ukraine ni nchi ya pili ukubwa ki size katika eastern Europe. Sasa nitajie vita alivyopigana USA vikaisha wiki 2? NATO miezi mingapi walipigana Libya?
 
Sasa hivi ukienda site ya CNN wamebadili gear wamejaza picha za watoto Ukraine wanalazimisha kuonesha watu kuwa Russia wanauwa watoto wanatumia nguvu sana kuaminisha watu wamejaza picha za vichanga uhalisia wanajuwa sio hivyo wanatafuta huruma za watu. Hawa CNN ndio maana Trump aliwaita fake. Siku hizi hawa report ila wanatoa maoni yao na ukiona mtu kaalikwa basi ujuwe ana mawazo kama yao wamekuwa kama TBC tu kama sio kada huitwi kumbe tulikuwa tunawalaumu TBC bure tu.
 
kwanini wasiingilie kati na waliapa kuingilia kati kijeshi? Nato walimuogopa ayatullah wa iran ndo wamvagae mrusi?
Vita sio best option ukichukulia nchi nyingi zimetoka kupambana na uchumi ulioporomoka sababu ya Covid 19 . Putin ameingia choo Cha kike.Baada ya muda akiendelea na hii mipango yake Russia itakuwa kama North Korea!
 
Mkuu unacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…