Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Cheki NATO wajivyojitanua karibu na kwa Putin...jamaa kashtuka dk ya 90, bado ya yeye atajiunga tu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


View attachment 2281779
Kitu huelewi ni kuwa kuna BRICS ambayo sasa itadhibiti uchokozi wa NATO. Hapo jirani ya Russia kuna nchi Belarus ambayo ni mshirika wa Putin na ni ukuta na Poland ambayo NATO wanataka kuweka base yao. Hivyo bado ni kizuizi kwa NATO. Pili, kuchukuliwa kwa ukanda wote wa Donbas ni pigo kwa NATO na Ukraine. Russia haita irudisha hiyo ardhi jumla. Hii ni strategy ya kumdhibiti Ukraine na NATO kusogeza pua Urusi.
 
Your browser is not able to display this video.


[emoji631] Joe Biden's rating is ready to fall below the psychological mark of 30%.

And this means that not only right-wing conservatives, but also left-liberals like Mint Press are now working for the president, for whom the largest number of voters in the history of American meteorological observations (living and not) voted.

They make him offensive videos about allocating billions to Ukraine while some American cities look like scenes from the post-Apocalypse.
 
Mkuu acha kufananisha ng'ombe na vitu vya kijinga.
 
kuna uongo mwingine lazima ujishtukie ila upande wa pili kwa uongo na kukariri mmmh hawajambo.
 
safi sana mkuu
Kuwa na amani kabsa na cheti utapata pamoja na skolashipu ukasomee ethical hacking au cyber security siunawaona killnet walivyo sio Kama hawa kina killtour(nato).
 
Mambo yameiva huko ulaya magharibi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ‡¬πŸ‡§ Boris Johnson's opponents inside the Conservative Party are preparing to give him a new vote of no confidence - The Telegraph
 
bwana bwana tutake radhi.
Kuolewa huko kwa sisi ni me kwa ke tu ila nyie sasa me kwa me, me kwa ke, ke kwa ke utadhani shule ya kata yenye michepuo kibao karibu yote kuna mda hadi mnadiriki kupitiliza kabisa mnavuka mwisho wa reli kigoma binadam kwa mnyama
 
The more they impose sanctions to Russian federation the more the success of Russian federation. [emoji635] that is how super power country be analyzed it's power capability.
 
Who is stronger NATO or BRICS?


Over the years, the membership of NATO has increased extensively and so has its powers. Whereas BRICS is merely an association of the 5 national economies for financial as well as infrastrucutural development. To conclude, yes NATO is much more powerful than BRI
 
heheheheh
 
Cheki NATO wajivyojitanua karibu na kwa Putin...jamaa kashtuka dk ya 90, bado ya yeye atajiunga tu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


View attachment 2281779
Hata kama bara zima la ulaya likijiunga NATO ikabaki Russia pekee ake, bado tu nchi wanachama za NATO hazitaweza kuingia vita ya moja kwa moja dhidi ya Russia hata kama Russia ikiishambulia nchi moja wapo mwanachama.

Ulaya wanaishi kwa Mahesabu makali sana na huwa ni future oriented, hakuna hata nchi moja ya ulaya inayo ombea mabovu ya nuclear yatue nchini mwake, siyo Urusi, siyo UK, siyo latvia wala siyo Estonia hivo basi ni ngumu sana kuja kutokea nchi kama UK, German, French, Italy, Spain na turkey ziruhusu kuingia vitani dhidi ya Russia kisa inapigana na Estonia utaishia kusikia makelele kwa nje na vikao visivyo na kichwa wala miguu kama wafanyavyo sasa kwa Ukraine.

Hivo hivo, Urusi hawezi kuingia vitani kizembe na nchi ya ulaya inayomiliki nukes kama UK na French na nk, ataishia kwenye nchi zinazomiliki silaha za kawaida tu, na hata ikitokea NATO Wakataka ku-deploy nuclear weapons kwenye nchi zilizo jirani na Russia let say Finland, Sweden, latvia au Estonia basi tegemea kichapo heavy kutoka kwa Russia kabla hizo nuclear hazijawekwa karibu yake.

Plz; Usilete habari za Adolf hittler hapa, kumbuka yule alikuwa na jeshi kubwa tu ila hakuwa na silaha za maangamizi kama alizo nazo Urusi, USA, n.korea, UK, ndo maama mataifa ya ulaya yaliuangana kumpiga vita yakijua wazi athali za vita hiyo zitakuwa za muda mfupi tu ukilinganisha na athali zinazopatikana kwenye vita ya silaha za maangamizi kama nukes war.

Swali: Ulishawahi kujiuliza kwanini N.korea chini ya bwana mdogo kabisa Kim Jong UN inazinyima usingizi S.korea, Japan na USA na hakuna kitu wanachoweza kuifanya zaidi ya kupiga makelele tu. Je unajua kama bwana mdogo huyo wa n.korea alimtoa rais wa marekani (D.trump) white house nakumpeleka Singapore kwajili ya maongezi na bado akaishia kumuvimbia rais D.trump?

Tuhitimishe sasa: NATO ipo kwaajili ya nchi masikini duniani na nchi zile zinazo miliki silaha za kawaida tu, hutasikia NATO imeingia vitani dhidi ya Urus, N.korea, China, Israel, Iran na India. Na Urus ana uwezo wa kuivamia Poland, latvia, Ukraine, Lithuania, Estonia, Finland au Sweden kama ikizingua bila kujali ni mwanachama wa NATO au siyo mwanachama na hakuna kitu NATO watafanya. Kwahiyo usitishwe na bara zima kuwa NATO. Hukusikia Lithuania alichoambiwa na EU dhidi ya kuchezea sharubu za Urusi licha ya kuwa Pro-NATO?

If you want to prove me wrong, tell NATO members(30) to intervene direct Russian special millitary operation in Ukraine as they did in libya and Yugoslavia despite none of the mentioned countries were NATO members.
 
Faida tutakayopata NATO kwa Urusi kwenye huu mgogoro ni kuweza kuwaaminisha Finland na Sweden kua Urusi ni mbaya, wanapaswa kujiunga NATO kujilinda dhidi yake. Now Russia will share a longest border with us nchini Finland if accession of these two neighbours to NATO will be done.

Unfortunately, hili litawezekana at a very huge price:-
1. Tunapoteza ushawishi kwa mataifa mengi duniani.
2. Umoja wetu wa kujihami now unachukuliwa kama umoja wa vurugu duniani.
3. Tumesogea mpakani mwa Urusi kwa kuuharibu sana uchumi wetu.
4. Isssue ya kutukuza LGBTQA imechochea kuvunja uhusiano wetu kwa mataifa au jamii za watu wasiopendezwa na hizi tabia. Am talking about Jamii za watu walio staarabika.
5. Kuzuia free flow of information, censorship of our mainstream media imekua moja ya doa kubwa sana la kuichafua democracy tunayo ipigania kwa waungwana.

We are heading down a hill at a very high speed, who gonna save our f*cking sinking ship? I guess no one, But when we will be ready to admit a defeat? Nobody knows because a failure of Ukraine against Russia will be the failure for all of us, the failure of collective west.

Someone here atashangaa why am saying these. After all people like me never get nervous with the way things are up to, Normally Power Game is dirtiest you can imagine.

Let's enjoy the show!
 
waambie hao, hadi glucose wamepewa lakini ngoma bado ngumu.
 
Cheki NATO wajivyojitanua karibu na kwa Putin...jamaa kashtuka dk ya 90, bado ya yeye atajiunga tu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


View attachment 2281779
huoni aibu kua hao wooote ni wanamshindwa mwamba mmoja tu Russia
Yni inaonesha udhaifu kua hao wooote hawamuwezi Russia ndo mna wakaungana

Russian federation the Nation with Population and with ammunition
 
Mwenzako Yoda alikurupuka akaja na mlinganisho wa Brics vs EU badala ya Brics Vs G7, tukampa shule aka ufyata, wewe nae umekuja kulinganisha muunganiko wa kijeshi NATO vs Brics[emoji23][emoji23]Hivi huwa mnatumia kiungo gani kufikiri ndugu zangu?

Kwani ungetumia comparison sahihi ya NATO vs CSTO usingeweza kujenga hoja yako uliyo kusudia?

How can you dare to compare millitary alliance and economy alliance? For what aspects? For what facts? For what parameters?
What kind of fool you're?

Wazazi zaeni ulimwengu ulee na hivi vichwa vya kina FUSO ndo products za mafunzo ya ulimwengu badala ya wazazi na shule[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…