MK254,
Mbona Marekani alipigana na jirani yake Mexico katika vita maarufu ijulikanayo kwa jina la "Mexican American War (1846-1848)" akaishia kuambulia tumiji vya Texas, Nevada, Utah, New Mexico, Arizona, Colorado, Oklahoma, Kansas na Calfonia?
Au unadhani hatujui?
Hoja zako ni dhaifu sana!Jipange maana humu jukwaani unadhihirisha ufinyu wako wa maarifa!
Labda NATO ishushwe toka mbinguni ila hii ilojaa mashoga? Hii NATO dhaifu inayoogopa kwenda front kupambana na Russia? Uyo US kakutana na Russia Syria, Venezuela au umesahau uyo shoga yako alikimbia?? Na sasa anakalishwa hapa Ukraine hakuna anachoweza kwenye vita.
Kubali NATO ni dhaifu
Nimekwambia taja hiyo nchi ya NATO inayoweza kuikalisha Urusi. Nikusaidie mfano mmoja,kwenye ww2 kama sijakosea,Urusi iliipiga Ujerumani,mwanachama wa NATO kindakindaki, mbabe wa NATO ni USA,lakini imepigana 20years, Afghanistan na wachunga mbuzi ikashindwa, Vietnam,Somalia kote imeshindwa. Ukraine imepata kila Aina ya misaada kutoka NATO unayoitaja hapa lakini bado zote zimeshindwa na Urusi.
Urusi kwenye WW2 asingeweza Ujerumani, ni vile huyo Ujerumani aliparamiwa na wote, hususan pale Marekani aliingia kwenye vita.
Hivi hawa Wa-rusia sio uzao wa Yakobo wa kwenye biblia kweli?
Napata hili wazo kichwani baada ya kuona matendo ya Waisrael wa pale mashariki ya kati hayaendani na masimulizi ya kwenye biblia.
Humo NATO kuna mataifa ambayo hayahitaji muungano kama wakitaka kumchakaza Urusi, pona yake kwa sasa ni manyuklia tu.
Mke wa Zelenscky nae aende frontNa wala wasitegemee kuwa wataonewa huruma, kichapo kiko palepale
Nalog off Z
Mshushie huyo ma iskander huyo!Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.
1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.
2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.
3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.
4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.
5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"
I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Mkubwa hafanyi ujinga wa hivi mkuu,watoto wanashiba kwanza ndio uwape wengine.Upo msemo wa Kingereza usemao,"charity starts at home." Wewe inaelekea you are suffering from kitu kinachoitwa "Mass Formation Psychosis" Kama walivyo wengi.Mkubwa anawajibika kwa ukubwa wake ingawaje anaumia[emoji41][emoji41][emoji41]
Wazee wa msaada tafuteni nanyie za kwenu ***** walipa kodi wa huko wateseke kisa ninyiMtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP
Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.
Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
'Psychosis' inamaana gani???Mkubwa hafanyi ujinga wa hivi,watoto wanashiba kwanza ndio uwape wengine.Upo msemo wa Kingereza usemao,"charity starts at home." Wewe inaelekea you are suffering from kitu kinachoitwa "Mass Formation Psychosis" Kama walivyo wengi.
Mass Formation Psychosis inatokea by design.It is a psychological problem inayoikumba jamii,na the whole of humanity is now suffering from this problem.Ni kwamba attention gets focused by a certain group,in humanitys' case the NWO to a series of events just like in hypnosis, so they literally become hypnotized and can be led anywhere.Case ya Covid-19 was a typical example.People did literally everything they were told despite it being wrong logically,rationally and scientifically without questioning!'Psychosis' inamaana gani???