Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Inasikitisha saana kwa kwelHii operation ya warusi hukoo mbali ila kuna watu bongo land wamepeana mpaka vyeti vya kutambua mchango wao katika mgogoro huo[emoji23][emoji23][emoji23] kaazi kweli kweli
Hahahahah kwamba Urusi ni dhaifu? JiongopeeChina mjanja sana kama humjui, hapendi mavurugu ya kumtia hasara, hana ujinga kama huo wa Urusi wa kujipeleka kichinjioni kichwa kichwa.
Kwanza Mchina kwa sasa hivi anafurahia sana kuona udhaifu wa Urusi umedhihirika, hivyo amebaki mwenyewe kama mbabe wa kutunishiana misuli na Marekani.
Sijajua kwanini umemtaja Iran, huyo hana lolote, siku zote amewekwa busy na kataifa kadogo ka Israel
Wazee wa kazi hahahahaha🤣🤣🤣 aise! Naomba mcheze hiyo clip ya speaker wa Chechnya,wanasema Putin asipowasimamisha wataenda mpaka BERLIN Ujerumani 🤣🤣🇷🇺🇷🇺🙌
Sawasawa..China mjanja sana kama humjui, hapendi mavurugu ya kumtia hasara, hana ujinga kama huo wa Urusi wa kujipeleka kichinjioni kichwa kichwa.
Kwanza Mchina kwa sasa hivi anafurahia sana kuona udhaifu wa Urusi umedhihirika, hivyo amebaki mwenyewe kama mbabe wa kutunishiana misuli na Marekani.
Sijajua kwanini umemtaja Iran, huyo hana lolote, siku zote amewekwa busy na kataifa kadogo ka Israel
⚔️⚔️⚔️British Home Secretary Victoria Atkins has resigned⚔️⚔️⚔️
Huko moto unawaka.
Wote waliopitia mafunzo yabkijesh kgb wapo hivyoKwa Putin ni kwa sababu muda mwingi wakati yupo Drisden alikuwa anabeba silaha. Sasa alikuwa anaibana na mkono unakuwa upo stationary.
Wanadai KGB officers wengi wanatembea hivyo na sababu ndio hiyo ya kutembea na bunduki muda wote.
Hata Dimitri Medvedev na yeye anatembeaga hivyo hivyo Kama Putin
Idadi si nguvu ya kiuchumi ama ya kijeshi.Ten Countries with the Highest Population in the World. are China, India, United States, Indonesia, Pakistan, Brazil, Nigeria, Bangladesh, Russia and Mexico.
Hapo waliopamoja na Russia:-
China, India, Indonesia, Pakistan, Brazil, Bangladesh, Mexico,
Waliopamoja na USA hapo hakuna.
Walio nusu kwa nusu:- Nigeria,
Huwa sijadiliani na wakenya.Idadi si nguvu ya kiuchumi ama ya kijeshi.
N mafuta yao kwenye sikioWazee wa kazi hahahahaha
Nalog off Z