Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

bila misaada Africa haiwezi kusogea, bila ARV sasa hivi maiti tungekuwa tunaziokota mabarabarani
Sasa mliomba uhuru wa nini Sasa kama hamuwezi kujitegemea?
Nisawa na kijana wa kiume aoe, atoke kwao na kuamua kujitegemea kwake harafu kila siku anaomba msaada wa pesa ya matumizi kwa wazazi wake ili Alishe familia yake. Si kama hakuwa tayari kujitegemea angeendelea kubaki kwao kuliko kutengeneza mji dhaifu usioweza kujiendesha wenyewe.

Je kabla ya Mtu mweupe kuja Africa, Afrika ilikuwa haisongi mbele? Na maisha yalikuwa hayaendelei? Au Wazungu ndo walikuja kugawa uhai kwa watu weusi kiasi kwamba bila wao mtu mweusi hawezi kuishi wala kupiga hatua yeyote ile ya kiuchumi, kijamii na kisiasa?

"Africans are poor because they own poor brains" Beberu.
 
Hahhah huyo ni ujerumani tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bado china na India halafu mnategemea mtu kama huyo ashindwe ku fund vita πŸ˜€
 
Mama mgese sana huyu wese bei poa urussi tunge ongea na mr putin tupate wese

Hatuna Rais hii nchi. Ipo wapo democracy tunayoambiwa na west? Kama wanatukataza kununua wese la Russia where is demecracy?? Africa tunaogopa kununua wese Russia kisa sanctions?? au kupewa misaada kweli aliyeturoga Africa alikufa wallahiii.
 
Mambo yanaendelea huko

View attachment 2282656

[emoji298]️Five UK ministers send joint letter resigning from Johnson's government
Ayarerrooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasikia raha Sana
 
AMRI

Kesho saa 2 asbuhi kwa saa za Africa Mashariki ufike bila kukosa ofisini kwangu hapa Moscow ili nikufanyie IQ score verification kwani roughly IQ yako inasoma 27(Severe)

Russia ana waumbua sana
 
Hivi Tanzania tuna ujinga wa kuendelea kuteseka ili kumfurahisha Marekani? Magufuli angekuweko kwenye nyakati hizi nafikiri Meli ya wese toka urusi ingekuwa njianiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Apumzike kwa amani.

Mzee angetupa burudani sanaa kipindi hiki na huu uzi ungebamba kwa hotuba zakeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
6
Unaandika too much rubbish. Get back to your sense and speak like a matured one! You guys mko desperately want to show the world you are winning. In turn mnaonekana like a bunch of Idiots msio na reasoning yoyote.
Mkuu,wala husiwashangae ukweli they are winning big time kwenye mitandao ya kijamii namely: twitter, face book, telegram and what have you!!

Repeat, vita ya mitandaoni ndiyo wanavyo shinda sio ya kwenye warfront.
 
Hawa wanatamani Putin afanyeje?


Mbona wanapewa likizo/off.

Kinatoka chuma kinaingia chuma cha mjerumani.

Alafu unaambiwa Russia maskini endeleeni kusubiri meli airport πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mchechnya kashasema ikiwezekana watoboe mpaka Berlin(NATO).

Hao maparata wanaosema kila siku aguse ka nchi kadogo cha kinato haoni mwanaume anadili na big fish tuu dagaa anawaachia kina US na mashost zake.

Alafu napenda wa Russia wamefanya MAPINDUZI ya kivita wametumia technology kuwaanika maspy wa zelenks hatari so kuhack mifumo tuu balii na siri zenu tunazijua.

Uk utawala unasambaratika due to this OP alafu unaambiwa Russia n maskini, huu mvumo hautaishia hapo US na yenyewe itasambaratika kuna state zishaanza kuomba kujitegemea,Nato watapoteana

Kila kitu A+ A+ A+.

Mungu akijaalia kwa africa,asia na latin america (S.America) ni wakati wa kushaine kwenye uso wa dunia.

Na nikupitia sera za supa pawa mrushia hakupi msaada ni utoe jasho upate huduma au chochote hivyo itachochea maendeleo kwa mataifa yetu.

Urraaaa
 
Leta idadi ya wanajeshi wa Hitler waliokufa Africa na sehemu nyingine alafu mi naleta idadi ya waliokuwa URUSI.

Asilimia 70 ya jeshi la Hitler lilimalizika kwenye ardhi ya WARUSI,kama unabisha niambie
 
H
Sababu ni Krasukha S-4. Huu mzigo unazifanya vibaya drone
 
HatuPoi yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ combination ya mrusi na mchina itakuwa muPera muPera akiongezeka Kiduku lazma NATO wakae. Ila mrusi anafurahisha sana yani huwaga show zake anaPiga kimwamba sana
 
HatuPoi yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ combination ya mrusi na mchina itakuwa muPera muPera akiongezeka Kiduku lazma NATO wakae. Ila mrusi anafurahisha sana yani huwaga show zake anaPiga kimwamba sana

In style πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni vita ila ina swags kama hip hop za kina off set.

Wanajiamini anapiga ile style ya mwana ukome , sio kofi ni mabanzi.
 
Wanaume wa Tanzania jamani nendeni mkaokoe jahazi huko Ukrein wanaume wamekuwa bidhaa adimu
Your browser is not able to display this video.


We will see more and more war exhaustion videos emerging in Ukraine...

In Transcarpathia, women raised a riot and did not let the policemen and soldiers from the military enlistment office, who wanted to issue summonses to the male population of the village. This is due to the fact that over the past few months the male population of Transcarpathia has become an endangered species
 
NATO wamechanganyikiwa sana. Hii OP idumu tu, tujue mengi [emoji16][emoji16]
 
Your browser is not able to display this video.


πŸ‡»πŸ‡ͺVenezuelan army, on Twitter, the video diverges:

β€œListen, Yankees, what can I tell you: you will never invade my country. Listen, gringo, we're ready. We are waiting for you with Russian weapons. We are Caribbean people - and ready to die. We will be your Latin American Vietnam!"βš”οΈβš”οΈβš”οΈ

Cheerful guys.⚑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…