Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kazi ipo
 
Waliokua wanasema uingereza itapigana Vita ya 3 ya dunia Sijui wanajiskiaje na hili wimbi la mawaziri wa boris johson kujiuzulu mfululizo.

Sahivi wamefika 42,
Nnachokiona Hii Serikali inaanguka soon[emoji16]
Nahisi yule mjumbe wa Russia ktk umoja wa mataifa aliyekuwa anatupa mipango ya vita kuna kipande alisema ikianza ww3, wataanza kuipiga UK, nafikiri alimaanisha hiki kinachotokea sasa kwa malikia na si makombora
 
Waukraine wa Kaishozi wanajua kuliko Mshauri wa Pentagon.....
 
Mwaka huu tutaona mambo 🤣🤣🤣
‼️PEOPLE AVOID TO DIE FOR THE WEST‼️

A camp somewhere in the West🇺🇦 is visited by Ukraine’s recruitment officials accompanied by the police in order to deliver draft notices.

A naked resident flees to the safety of the forest, raising alarm with a tribal yell to alert others
Your browser is not able to display this video.
 
Mwaka huu mambo ni juu ya mambo , Hapa wayukrein wachapana wao kwa wao🤔🤔🤔

#stories A session of the town council of a town near Odessa. The mayor ends up in a fist fighti with the district head, calling him “a pervert and a fucking drug addict”

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa Ukraine walishachanganyikiwa sana, wanajeshi hawana hela hawalipwi kinachofuata wanauza silaha wanazoletewa misaada
 
Kazi kweli kweli
 
Wapiganaji kutoka Buryat na Tuva
Wazee wa budha yule mkuu
Wapo huko Ukraine wanakiwasha
Na hawana sifa.
Kongole kwaoView attachment 2283744

Mungu awajaalie vita sio babaako ni noma.

Jana niliangalia movie flan based on true story (balozi wa kimarekani aliyeuawa Benghazi Libya).

Aisee dakika tano vitani ni kama miaka mitano😂😂😂😂🙌 🙌.

Nitumie nafasi hii kuwaombea moyo mgumu, ujasiri na kutokukata tamaa wanajeshi wote wanaopambana popote pale duniani ili kutafuta haki.
 
Wachapane tu maana hakuna namna
Hawa Ukraine walishachanganyikiwa sana, wanajeshi hawana hela hawalipwi kinachofuata wanauza silaha wanazoletewa misaadahh


View attachment 2283684
Halafu wanajisalimisha kwa hao wateja wao,maisha yanakwenda.
Nalog off Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…