Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Eti ni kweli Mh Putin kadokeza kwamba wana mpango wa kuchukua jimbo la Alaska kutoka marehemu, sorry, Marekani?
Medvedev ndo alietanabaisha ilo jambo, kuwa baada yakumalizana na Ukraine kinachofuata ni kurudisha alaska nyumbani...... Sasa sijui watawarudishia US mpunga wao au watakwenda kurudisha km wanavyoyarudisha majimbo yao ya DPR na LPR?
 
Kufananisha Utawala wa Russia na UK ni sawa kufananisha Makande na Pilau. Uingereza ni nchi ya demokrasia, mawaziri wake wakuu wamekuwa wakistaafu mara nyingi tu, bunge na vyama vya Uingereza vina nguvu za kwawajibisha viongozi wao. Hii ni tofauti na Russia kabisa ambayo ni utawala wa mtu mmoja kwa miaka karibu 20 sasa na bunge halina nguvu za kumuwajibisha kwa chochote.
 
Wananchi wa Uingereza wameamua kutukumbusha kwamba mwanasiasa ni mwajiriwa wa mwananchi kama ambavyo huwa anapita kuomba ajira (kura ) kipindi cha kampeni. Lakini kwa makusudi kabisa mwanasiasa amejigeuza kuwa boss wa wananchi na kufanya maamuzi kwa maslahi ya nafasi yake.

Uingereza ambaye tunaambiwa na historia aliwahi kuwa kiranja wa dunia kipindi flani zama zake zimepita ila anabwekea ubavuni mwa superpower USA ili aonekane na yeye bado wamo. Kujipendekeza huku kumepelekea wanasiasa wake kushindwa kuishi kwa ajili ya Waingereza badala yake wanatenda kwa ajili ya kuiangamiza Urusi.

Kauli za BoJo dhidi ya Putin na Urusi yake zilikuwa za kishamba sana. Ni miongoni mwa waziri wakuu wa nchi hiyo ambao sijawahi kuwaona ushawishi wao katika nyanja yoyote ile.
 
hivi unajua kuwa makande kwa wapare ni bora kuliko pilau!??so husifikiri kilicho bora kwako kinaweza kuwa bora pia kwa wengine kuliko unaotofautiana nao kimtazamo
 
Sisi mfumo wetu wa utawala unafanana na Uingereza au Russia?
Kwa sababu kama unafanana na wa Russia mfumo wa Uingereza hauwezi kutukumbusha chochote.
 
Alimsaidia kivipi?

Nachoona huyu mwanzilishi wa WikiLeaks alitoa platform ya hizo habari kuanikwa,
Ambao ndio uhuru wa habari wenyewe au siyo bwana Yoda.

Hii haivunji miiko na kanuni walizojiwekea wenyewe?

Kwa hapa whistleblower alikuwa ni huyo Maning na Wala siyo Asange .ambaye alikuwa anatekeleza kazi yake? Je huo uhuru wa maoni na habari wanaoupigia chapuo hapa upo?

Je? Ni KOSA Kutoa habari ya mabaya yaliyofanywa na askari wa Marekani?
 

GAME OVER IN THE UK: Boris Johnson TO RESIGN as Prime Minister Today.But what is the real issue at stake,is it because of the integrity issue,or is it because the sanctions he has championed to impose on Russia are hurting the UK more than Russia?​


The British government collapsed yesterday, with more than forty (40) UPDATE 7:40 AM EDT Fifty-Nine (59) Ministers resigning and refusing to continue serving under Boris Johnson's leadership. It is now said that Johnson will resign as Prime Minister today.
Integrity seems to be the issue . . . at least that's what is being put forth to the public.
It has to do with the COVID restrictions and how, during the restrictions imposed on the country, Johnson held parties where few if any wore masks or social distanced, as the rest of the country was instructed to do.
After images of the parties leaked out, scandal erupted and worse, the Johnson government DENIED breaking the COVID rules. Turns out, those DENIALS were lies. This raised a huge integrity problem for Johnson because people could no longer believe anything his government said.
Then, ANOTHER scandal erupted — allegations that Chris Pincher, his deputy chief whip, had drunkenly groped two men in a private members' club.

In the aftermath of Pincher's resignation, Johnson claimed not to have known about similar allegations when he gave him the job. That soon fell apart in another public example of him not telling the truth.
So "integrity" is the issue being publicly disseminated . . . however . . .
The REAL reason that Johnson is being ousted has to do with his government's response to Ukraine, the Sanctions imposed upon Russia, and how those economic sanctions have now backfired on the UK and on Europe as a whole.
The Sanctions against Russia are making it impossible for Europe to buy natural gas and without it, their economies cannot continue operating. As gas supplies in storage begin to run out, electric generation will have to shut down, and thus business cannot go on. Unemployment will skyrocket exponentially and countries will collapse.
We await the official announcement that Boris Johnson has resigned, and also await word on who is likely to replace him. 6:40 AM EDT, July 7, 2022
 


Naomba aongezee na Snowden.
 


Vp kuhusu utawala wa kifalme hapo Uingereza ambao Karne na Karne hawatako madarakani na Wana? Waziri mkuu na na ufalme wa Uingereza,nan mwenye nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…