Hawa mafalaa wanafiki sana mamaee zaoo mbwaa hawaaa....faken kabisa!Boris Johnson wa Uingereza asema hakuna nchi yoyote ya NATO inayofikiria kuseti No-fly zone (kuzuia ndege kuruka) ktk anga la Ukraine. Kwani kufanya hivyo kutapelekea vita kati ya Russia na NATO. Hayo kajibiwa Zelensky baada ya kuomba msaada huo kwa NATO ili kuzuia mashambulizi ya anga yafanywayo na jeshi la Russia
View attachment 2135776
Wakirusha hayo mabomu na maskari zaidi 75% watakufa piaUrusi kaanza kurusha cluster bomb huko kyim mji utabaki magovu muda mchache ujao
Kwa hiyo yale mabomu yanayopiga majumba ya watu tuseme Wanajeshi wa Russia wanapigana kizamani? Lakini pia tulisoma kuwa Putin aliamuru Nukes ziwe standby,sasa hizo silaha zingetumika matokeo yake yangekuwaje,au na yeye anapigana kizamani Mkuu?Vita vya kizamani hivyo siku hizi unapigwa mduara basi unapewa notice weka silaha chini maisha yaendelee hakuna vita siku hizi vya kupiga majumba hovyo silaha zina thamani kuliko hilo jumba.
Fake hakuna sucha a thing et ghost of kyivView attachment 2135881This legendary Ukrainian fighter jet pilot shot down 10 Russian enemy aircrafts. His nickname is "Ghost of Kyiv".
You see the big boy. Haya NATO na USA waweke majeshi yao itakuwa vita kati ya Russia china na USA NATO hapo sijui itakuwaje. Naona wananchi wanaojaribu kurusha risasi uko Ukraine Majumba yanaharibiwa kabisa utafikiri Syria.Tatizo watz tuna ujuaji wa kinonko sana.
Urusi ikiamua itaivamia Ukraine na Marekani hatofanya chochote zaidi kulialia na kuweka vikwazo.
Marekani na vibaraka wake wangekuwa na nia ya kweli kuisaidia Ukraine wangeisadia kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Inashangaza eti jeshi ambalo limeshindwa na kukundi cha waasi chenye wapiganaji wasiozidi 50,000 eti kije kukabiliana na moja wapo ya jeshi kubwa duniani.
Iwapo vita itatokea nakuhakikishia jeshi la Ukraine halitaweza kuhimili nguvu ya jeshi la Urusi hata ndani ya wiki mbili.
Ubaguzi wa rangi wa kujiona wao ndiyo Binadamu wengine nyani tu. Ngoja the big boy awaonyeshe kazi.Haya matabaka wanayoweka watu wa Europe ndio yanafanya wengi wazidi kuombea mabaya kwa ukraine... Ubaguzi umewajaa watu wa ulaya wanajiona wa muhimu kuliko wengine
Unaandika comment hiyo ukiwa maeneo yapi!? Kwatumbo au kwamtogole!?Ukrainians are not fighting a war. They are fighting a defending battle for their freedom from an invading dictator.
Putin has attacked Ukraine without declaring war, without casus belli, with the only purpose of annexing the teritory of a free, neutral, democratic country!
Au matamshi mbona nimesikia ukrenian people
hakuhalalish.ila kunya anye kuku....Mwenzako nilimjibu hapa ila ni kama mko wengi, kwa hiyo Marekani kufanya uhalifu kunahalalisha Urusi na yeye kufanya uhalifu?
Kama movie eeehhh haya bwana wamekusikia watatekeleza boss..Nawapa mbinu ya medani Ukraine,wagawanyike kwenye vikosi vidogo vidogo vya watu wasiozidi 30 na watawanyike mitaa ya mijini wakiwa na silaha za kawaida achana na mavifaru..
Wawaache Russia waingie mjini na migari yao nk ,sasa inayobakia ni ambush na gorrila war huku wakiungwa mkono na Raia wao.
Watawamaliza hao pimbi wa Russia na kuyatia moto magari yao maana ukimiminiwa risasi huwezi kimbia na hayo magreda na makatapila..
Simple as that,ila wakijidanganya kujitundika kwenye battalion za watu wengi ndio hivyo ni rahisi kuwa identified na Warusi na kushambuliwa kwa mabomu na kuuwawa kwa wingi kama Jana wameuwawa wanajeshi 70 at par..
Hiyo mbinu hapo juu ni ngumu kwa Russians na ni mapambano ya Usiku mitaani.
you nailed itI agree with you humu kuna baadhi ya amateurs wanafanya mtazamo kwa kushabikia nchi fulani. Urusi kaonesha performance mbaya sana ukizingatia anapigana na competitor mdogo. Zile columns za magari ya jeshi zinazoenda bila air cover, kukosa supplies, kupigana bila kwanza kuharibu airforce ya adui na viwanja vyake, etc.
Urusi hajanishawishi kama anaweza wage an all out war with NATO. Hata asipowekewa vikwazo akawa na uchumi uleule na support kubwa kwake ila uwezo wake kwenye field ni hauridhishi. Unapigana na jirani, alafu some of your troops wanakosa mafuta wanatelekeza silaha. Ukisafiri 10,000 km itakuaje si majeshi yanakuwa isolated.
Tatizo la Urusi ni logistics. Vita na Japan napo Urusi ilifeli kufanya mobilization ya wanajeshi na silaha kutoka central na Western kwenda far East. Vita ya kwanza walikuwa poor hivihivi walipigwa na Ujerumani karibia battle zote, ila Ujerumani ya WW1 ilikuwa inapiga hakuna mfano. Vita ya pili ndio walifanya mass production pale Stalin alipodai "Quantity has a quality all its own" wakatoa units nyingi za silaha ila ubora wa kawaida na walishinda kwa hili.
Wanajeshi wa Urusi kufa sana haiwatishi kivile. Vita zao zote huwa wanakufakufa. Nchi inayoogopa zaidi wanajeshi kufa ni Israel
Hii ni mbinu simple ya kutumia kama huna jeshi kubwa na lenye vifaa kama Russia kujibu mapigano ya directly..Kama movie eeehhh haya bwana wamekusikia watatekeleza boss..
Hao waliopiga makofi nao walisikia vibaya?Kwahiyo Forbes wamezusha?
are you foolish ! Putin kawaonya mara ngapi kawasihi mara ngapi kuhusu hatua wanazotaka kuchukua kujiunga na Nato?, Kasogeza jeshi mpkani kwa kuonyesha usiriasi bado wanaleta kiburi, Ukraine ndo wametangaza vita kwa kukiuka makubaliano na Urusi kwanin alete adui mlangoni kwake,Ukrainians are not fighting a war. They are fighting a defending battle for their freedom from an invading dictator.
Putin has attacked Ukraine without declaring war, without casus belli, with the only purpose of annexing the teritory of a free, neutral, democratic country!