Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We mkuu upo serious kua Russia ana mfumo dhaifu wa silaha!!!

Vipi kuhusu S-400 nayo dhaifu??
 
Sawa endelea kusherehekea Nazi wa Ukraine kunawa mikono kwa damu za wamama na watoto wa Ukraine! Yawezekana furaha yako imeegemea hapo, hivyo sina la kukusaidia

Mimi nasheherekea wabeba majavelin walivyofyeka msafara wote wa Urusi...
 
Mungu hapendi vita!!! Wewe jamaa hata biblia hujui. Yeye anaitwa bwana wa vita.


3 Bwana ni mtu wa vita, Bwana ndilo jina lake.
Kutoka 15:3
 
Umejiandaa lakini kwa hoja? Maana sitegemei tukimbiane. Ha ha haaaa!
Tuanze. Bold ni nukuu kutoka bandiko lako
==
1.Maana Mariupol na Severodonetsk hakuna dalili za kujali hata kidogo. Utusi imesaga miji hii hadi kuwa vumbi.
---
Wanajeshi wa Russia wakisaidiana na wanajeshi wa Jamhuri mbili kutoka Donobas walipofika maeneo ya Mariupol waliutangazia ulimwengu wote kupitia viongozi wao kuwa Russia itatoa siku kadhaa, wananchi walio katika maeneo hayo waondoke wapite kwenye njia zilizoanishwa. Kwa kukosa utu, Nazi wa Ukraine waliwashikilia mateka wa Mama na watoto wa Ukraine wasitoke kwenye maeneo hayo. Lengo raia hao wawe kama Kinga kwa hao nazi. Kudhihirisha neo Nazi walidhamiria kuonyesha unyama wao, walivunja daraja lililokuwa rahisi raia hao kuvuka Kwenda sehemu salama. Kila raia aliyejaribu kutoka kwenye maeneo hayo alishambuliwa na neo Nazi kwa risasi!!!

Russia sasa akawa anashusha mabomu ya wastani ya kuharibu sehemu ya juu ya nyumba bila kugusa sana basements. Alijua raia wengi wako chini kwenye basements. Aliposawazisha maeneo hatarishi, kasema Sasa hakuna kutoka bila kaguliwa kama wewe ni neo Nazi ama raia wa kawaida. Ni kwa staili hii Russia kwa utu wake aliweza kuepusha maafa ya watoto na raia wa Ukraine. Ushahidi wa maelezo yangu haya upo hata kama utaziba macho ili usiuone! Ha ha haaaa!
====
2. Severodonetsk hakuna dalili
---
Kilichofanyika Mariupol ndicho kilifanyika Severodenetsk. Tofauti ni kuwa kule Mariupol neo Nazi walifyekwa kwa uchache wakati huku neo Nazi wote waliojifanya kukimbia walifyekwa! Yaani kilikuwa kipigo kibaya "cha Rukaya"!!!
===
3.Urusi ina akiba kubwa ya mizinga na grenedi za zamani. Inazitumia kuvunja kila kitu mbele ya mstaru wa mapigano
---
Urusi amefanya modernisation ya Jeshi lake. Baadhi ya silaha zake aliziboresha kutoka uzamani kuja kwenye upya. Za Zamani nyingine ambazo ni very effective aliwauzia washirika wake nyingine alimuuzia Marekani mfano helkopita, ambazo Marekani alitaka kuwapelekea Afghanistan zikaishia kurudi Poland nadhani. Shehena nyingine ya silaha za Zamani ziko kwenye eneo la Moldova ambalo linapakana na Ukraine. Na aliziacha hapo wakati anarudi kutoka WW2.
Sasa Baada ya Marekani kushawishi washirika wengi wa Russia kujiunga NATO, anachokifanya Sasa anawalazimisha wapeleke silaha hizo walizonunua Russia huko Ukraine zikasagwe sagwe. Lengo la US ili baadaye wakisha maliza stock ya Silaha zao hizo aje awauzie silaha zake hao jamaa ambazo anasema ni silaha za kisasa, lakini baadhi ya hizo anachelea kuzitumia zisimuumbue! Hivyo, Kusema Russia ana silaha za Zamani, nadhani Sasa uzamani umeuelewa.
===
4.Urusi haia askari wengi hivyo inatumia mbinu wa kusaga kila kitu mbnele yake halafu kutuma sakari wanaoona kama adui bado yuko. Kama yuko na kujitetea, wanarudi na mizinga inaanza upya. Halafu wanarudi kwa miguu kuangalia...
---
Hapa Mkuu sijakupata, ebu fanya uhariri Tena. Labda nitaelewa ili nikupe majibu unayohitaji.

Karibu tusemezane.
 
Mungu hapendi vita!!! Wewe jamaa hata biblia hujui. Yeye anaitwa bwana wa vita.


3 Bwana ni mtu wa vita, Bwana ndilo jina lake.
Kutoka 15:3
You are contradicting yourself,halafu hujui hata relationship kati ya Agano la Kale na Jipya.Agano la Kale lilikuwa kwa ajili ya wana wa Israel sio sisi.

Read this👇

Wagalatia 3:23-25
23 Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.
24 Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani.
25 Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi.

Read also this👇

Waebrania 8:5-13
5 watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.
6 Lakini sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya ahadi zilizo bora.
7 Maana kama lile la kwanza lingalikuwa halina upungufu, nafasi isingalitafutwa kwa lile la pili.
8 Maana, awalaumupo, asema Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya;
9 Halitakuwa kama agano lile nililoagana na baba zao, Katika siku ile nilipowashika mikono yao niwatoe katika nchi ya Misri. Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, Mimi nami sikuwajali asema Bwana.
10 Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
11 Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
12 Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
13 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.
 
Mzee Mungu habadiliki ni yeye yule jana na leo na hata milele.

8 Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.
Waebrania 13:8
 
Ngoja nikuache na mahaba yako endelea kuamini hivyo nisijichoshe kukuelewesha we elewa hivyo hivyo..
Hebu mueleweshe mkuu, napenda kujifunza. usifiche hiyo knowledge Uliyojaaliwa. Natanguliza shukrani
 
Mzee Mungu habadiliki ni yeye yule jana na leo na hata milele.

8 Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.
Waebrania 13:8
Usitumie akili zako,digest spiritually mistari ya Biblia niliyokupa.Anyway kwa issue hii inatosha,believe what you want to believe.
 
Kuliko kipindi Cha kina nuhu?
 
Wengi wenu tumetibuana kwenye nyuzi za kidini humu JF, hivyo kukutana na nyie tena kwenye huu uzi wa Urusi na kuwaona mlengo wenu nyote mumerundikana kwenye upande wa Urusi na hoja yenu ni moja tu, kwamba Ukraine apigwe kisa mashoga.
So unamaanisha wakristu tunapenda ushoga sio?
 


‼️🏃‍♂️🇺🇦🏴‍☠️Ukrainian militants have heard the call to lay down their arms and are running en masse from the "🅾️twitchy"

Such a conclusion can be drawn if you look at the lists of military personnel who left the military unit without permission.
Only in the 79th Airborne Assault Brigade of the Armed Forces of Ukraine during the NMD there were 274 such people. This is just a huge figure, and this is not all the fugitives are officially filed by the command. If this is the state of affairs in an elite air assault brigade, then what happens in ordinary mechanized brigades.

And this is only a small piece of documents that the special forces of the "Brave" captured at one of the strongholds of this brigade.
Apparently there are fewer and fewer people who want to die for the Kyiv junta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…