No public interest , na ni ujinga US kufanya full military invasion , Russia , hasara gan hasa us itapata mpak kufanya vita, thousands of miles away...!! Achokonoe moja ya majimbo ya US aone...kama alivyofanya Japan , Pearl harbor 1941North korea imeweza, Iran imeweza, Cuba for more than 60yrs imeweza ije kuwa russia?
Aliyemuomba Urusi ayatoe makombora aliyoweka Cuba ni nan?
Ndiyo bila msaada Wa Marekani kumbuka hawa wanajitengenezea silaha.Una uhakika Russia alimpiga Hitler ? Bila full support ya western na US , Russia alikuwa anachochora tuuu
Unajua ukifanya combat kama huna air cover huwezi shinda vitaKwa hiyo hizo aircraft zitafanya Nini?!?! Hizo aircraft zinatumika kupiga nchi Kama Libya, Tanzania, Venezuela na kadhalika...hizo aircraft ni sitting ducks kwa nchi Kama Russia na China..
Kumbe hupo mkuu. NimefurahiRUSSIAN FOREIGN MINISTRY SAYS RUSSIA WILL RESPOND TO EUROPEAN AND U.S. SANCTIONS IN TIT-FOR-TAT MANNER - RIA
Kwan anapovamia Sysria, Iraq nk huwa hiyo hasara haioni?No public interest , na ni ujinga US kufanya full military invasion , Russia , hasara gan hasa us itapata mpak kufanya vita, thousands of miles away...!! Achokonoe moja ya majimbo ya US aone...kama alivyofanya Japan , Pearl harbor 1941
Pre emptive self defence.Adui mkubwa na mbaya sana ni jirani yako. Ukraine ni jirani wa karibu sana na Russia.
Lengo kuu la NATO na Marekani ni kaziangusha Russia, China, N.Korea, Iran na Venezuela ili kuondoa mizania duniani. Hizi nchi zikianguka kutakuwa hakuna kikwazo kwao kwenye kila jambo, na hata ukoloni utarudi upya.
Ukraine jirani mkubwa na Russia anapokuwa na uswahiba na NATO na Marekani ni hatari sana kwa Russia, China, n.korea, Iran na dunia.
Marekani anapeleka silaha nzito Ukraine kwa kisingizio Cha kuihami Ukraine dhidi ya Russia.
Muwahi Adui yako kabla hajamaliza kujipanga, hicho ndicho anachofanya Putin kwa Ukraine. Naungana na Putin kwenye safari yake, dunia atakuwa salama zaidi kama urusi itakuwa na nguvu pia.
Putin anataka kuionyesha dunia vita ya kigiditali.
Yes aliwaacha jamaa baridi liwanyooshe wakafa wengi hukoUna uhakika Russia alimpiga Hitler ? Bila full support ya western na US , Russia alikuwa anachochora tuuu
Ni kweli Russia ina nguvu kubwa mno za kijeshi, lakini nakuhakikishia kuwa Russia haitashinda hii vita mwisho wa siku nyuklia ndo litakuwa jawabu
Kule alikuwa na maslah , ...ni mjinga tu anayeamin US itapigana vita na Russia kisa Ukraine , unless Russia aanze kuexpand na kutishia usalama wa nchi za ulaya washirika wakuu wa US au Russia direct atishie usalama wa US kitu ambacho hata Russia huo ujinga hawez fanya .... Yaani US apeleke wanajeshi wakafe Ukraine Kwa sababu ipi hasa na faida ipi hasa , ? Kuwafurahisha nyie watazamaji ....?π. Hyo haipo na haimaanishi kuwa Russia ni powerful kuzid US, hawajakutana tu kwenye point of crash. Japan alimpiga Russia akawa powerfull , akaipiga na China akafkr atampiga na US ...!!! Kilichomkuta ππ , Kinachoendelea ni kama Tanzania iipige Zanzibar ambayo mwanzo ilikuwa sehemu yake na hvyo anaogopa security interest kutumika against ...Russia mwenyewe ashawah kuwa victim wa USKwan anapovamia Sysria, Iraq nk huwa hiyo hasara haioni?
Urussi pia anaangalia maslahi yake.
Unachekesha kweli..Kule alikuwa na maslah , ...ni mjinga tu anayeamin US itapigana vita na Russia kisa Ukraine , unless Russia aanze kuexpand na kutishia usalama wa nchi za ulaya washirika wakuu wa US au Russia direct atishie usalama wa US kitu ambacho hata Russia huo ujinga hawez fanya .... Yaani US apeleke wanajeshi wakafe Ukraine Kwa sababu ipi hasa na faida ipi hasa , ? Kuwafurahisha nyie watazamaji ....?π. Hyo haipo na haimaanishi kuwa Russia ni powerful kuzid US, hawajakutana tu kwenye point of crash. Japan alimpiga Russia akawa powerfull , akaipiga na China akafkr atampiga na US ...!!! Kilichomkuta ππ , Kinachoendelea ni kama Tanzania iipige Zanzibar ambayo mwanzo ilikuwa sehemu yake na hvyo anaogopa security interest kutumika against ...Russia mwenyewe ashawah kuwa victim wa US
viongoz km yy waliishi enzi za hitler wakasababisha vita za dunia, yy bado anaamini ktk siasa zile... Putin ni mwehu; the Hitler of our times!
ππππTake it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Vita sio mchezo zile javelin za Marekan zimeanza kazi hukoKwan anapovamia Sysria, Iraq nk huwa hiyo hasara haioni?
Urussi pia anaangalia maslahi yake.
Mradi wetu wa bwawa la nyerere ndo wanaotukwamisha hao NATO nawachukia sana Putini tusaidieni baba kuwanyoosha π¬π§πΊπΈAdui mkubwa na mbaya sana ni jirani yako. Ukraine ni jirani wa karibu sana na Russia.
Lengo kuu la NATO na Marekani ni kaziangusha Russia, China, N.Korea, Iran na Venezuela ili kuondoa mizania duniani. Hizi nchi zikianguka kutakuwa hakuna kikwazo kwao kwenye kila jambo, na hata ukoloni utarudi upya.
Ukraine jirani mkubwa na Russia anapokuwa na uswahiba na NATO na Marekani ni hatari sana kwa Russia, China, n.korea, Iran na dunia.
Marekani anapeleka silaha nzito Ukraine kwa kisingizio Cha kuihami Ukraine dhidi ya Russia.
Muwahi Adui yako kabla hajamaliza kujipanga, hicho ndicho anachofanya Putin kwa Ukraine. Naungana na Putin kwenye safari yake, dunia atakuwa salama zaidi kama urusi itakuwa na nguvu pia.
Putin anataka kuionyesha dunia vita ya kigiditali.
Mbona ni kawaida..Vita sio mchezo zile javelin za Marekan zimeanza kazi hukoView attachment 2129917View attachment 2129916