LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
North korea imeweza, Iran imeweza, Cuba for more than 60yrs imeweza ije kuwa russia?
Aliyemuomba Urusi ayatoe makombora aliyoweka Cuba ni nan?
No public interest , na ni ujinga US kufanya full military invasion , Russia , hasara gan hasa us itapata mpak kufanya vita, thousands of miles away...!! Achokonoe moja ya majimbo ya US aone...kama alivyofanya Japan , Pearl harbor 1941
 
Kwa hiyo hizo aircraft zitafanya Nini?!?! Hizo aircraft zinatumika kupiga nchi Kama Libya, Tanzania, Venezuela na kadhalika...hizo aircraft ni sitting ducks kwa nchi Kama Russia na China..
Unajua ukifanya combat kama huna air cover huwezi shinda vita
 
Adui mkubwa na mbaya sana ni jirani yako. Ukraine ni jirani wa karibu sana na Russia.

Lengo kuu la NATO na Marekani ni kaziangusha Russia, China, N.Korea, Iran na Venezuela ili kuondoa mizania duniani. Hizi nchi zikianguka kutakuwa hakuna kikwazo kwao kwenye kila jambo, na hata ukoloni utarudi upya.

Ukraine jirani mkubwa na Russia anapokuwa na uswahiba na NATO na Marekani ni hatari sana kwa Russia, China, n.korea, Iran na dunia.

Marekani anapeleka silaha nzito Ukraine kwa kisingizio Cha kuihami Ukraine dhidi ya Russia.

Muwahi Adui yako kabla hajamaliza kujipanga, hicho ndicho anachofanya Putin kwa Ukraine. Naungana na Putin kwenye safari yake, dunia atakuwa salama zaidi kama urusi itakuwa na nguvu pia.

Putin anataka kuionyesha dunia vita ya kigiditali.
 
No public interest , na ni ujinga US kufanya full military invasion , Russia , hasara gan hasa us itapata mpak kufanya vita, thousands of miles away...!! Achokonoe moja ya majimbo ya US aone...kama alivyofanya Japan , Pearl harbor 1941
Kwan anapovamia Sysria, Iraq nk huwa hiyo hasara haioni?
Urussi pia anaangalia maslahi yake.
 
Adui mkubwa na mbaya sana ni jirani yako. Ukraine ni jirani wa karibu sana na Russia.

Lengo kuu la NATO na Marekani ni kaziangusha Russia, China, N.Korea, Iran na Venezuela ili kuondoa mizania duniani. Hizi nchi zikianguka kutakuwa hakuna kikwazo kwao kwenye kila jambo, na hata ukoloni utarudi upya.

Ukraine jirani mkubwa na Russia anapokuwa na uswahiba na NATO na Marekani ni hatari sana kwa Russia, China, n.korea, Iran na dunia.

Marekani anapeleka silaha nzito Ukraine kwa kisingizio Cha kuihami Ukraine dhidi ya Russia.

Muwahi Adui yako kabla hajamaliza kujipanga, hicho ndicho anachofanya Putin kwa Ukraine. Naungana na Putin kwenye safari yake, dunia atakuwa salama zaidi kama urusi itakuwa na nguvu pia.

Putin anataka kuionyesha dunia vita ya kigiditali.
Pre emptive self defence.
Under international Law, inakubalika. Article 51 of the United Nation Charter, 1945.
 
Wanajeshi wa Urussi wakiwa wameshikwa matek
Screenshot_2022-02-24-18-04-55-693_com.instagram.android.jpg
 
Ndege ya aina ka52 ikiwa imedunguliwa na wanajeshi wa Ukrain
Screenshot_2022-02-24-18-22-26-648_com.gbinsta.android.jpg
 
Kwan anapovamia Sysria, Iraq nk huwa hiyo hasara haioni?
Urussi pia anaangalia maslahi yake.
Kule alikuwa na maslah , ...ni mjinga tu anayeamin US itapigana vita na Russia kisa Ukraine , unless Russia aanze kuexpand na kutishia usalama wa nchi za ulaya washirika wakuu wa US au Russia direct atishie usalama wa US kitu ambacho hata Russia huo ujinga hawez fanya .... Yaani US apeleke wanajeshi wakafe Ukraine Kwa sababu ipi hasa na faida ipi hasa , ? Kuwafurahisha nyie watazamaji ....?😀. Hyo haipo na haimaanishi kuwa Russia ni powerful kuzid US, hawajakutana tu kwenye point of crash. Japan alimpiga Russia akawa powerfull , akaipiga na China akafkr atampiga na US ...!!! Kilichomkuta 😀😀 , Kinachoendelea ni kama Tanzania iipige Zanzibar ambayo mwanzo ilikuwa sehemu yake na hvyo anaogopa security interest kutumika against ...Russia mwenyewe ashawah kuwa victim wa US
 
Unachekesha kweli..
Russia analinda maslahi yake pale kama alivyofanya Sysria.
Hawezi kwenda sehemu ambayo maslahi yake hayapo.
US ndio wanajua umhimu wa ukraine ndio maana wakataka ijiung nato.
 
Take it from me, hakuna vita hapo!

Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.

Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.

Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
😂😂😂😂
 
Adui mkubwa na mbaya sana ni jirani yako. Ukraine ni jirani wa karibu sana na Russia.

Lengo kuu la NATO na Marekani ni kaziangusha Russia, China, N.Korea, Iran na Venezuela ili kuondoa mizania duniani. Hizi nchi zikianguka kutakuwa hakuna kikwazo kwao kwenye kila jambo, na hata ukoloni utarudi upya.

Ukraine jirani mkubwa na Russia anapokuwa na uswahiba na NATO na Marekani ni hatari sana kwa Russia, China, n.korea, Iran na dunia.

Marekani anapeleka silaha nzito Ukraine kwa kisingizio Cha kuihami Ukraine dhidi ya Russia.

Muwahi Adui yako kabla hajamaliza kujipanga, hicho ndicho anachofanya Putin kwa Ukraine. Naungana na Putin kwenye safari yake, dunia atakuwa salama zaidi kama urusi itakuwa na nguvu pia.

Putin anataka kuionyesha dunia vita ya kigiditali.
Mradi wetu wa bwawa la nyerere ndo wanaotukwamisha hao NATO nawachukia sana Putini tusaidieni baba kuwanyoosha 🇬🇧🇺🇸
 
Back
Top Bottom