Sasa la marekani lina error rate ya 70% hapo vp?Hiyo ni test mission, sio ajabu kufeli. Fuatilia Urusi walivyokuwa wanatest Poseidon underwater nuclear drone ilivyolipuka na kuua wanasayansi kwenye kituo cha majaribio. Ni kama mwaka juzi hivi ilikuwa
Jambo lisilo zuri sana ni kulipuka kwa rocket au missile ikiwa kwenye matumizi yake. Juzi kuna video ilisambaa mitandaoni ya Russia air defence yao ilifyatua missiles mbili zikalipuka kwa kufuatana. Na wiki hii hii kuna warship ilifyatua Kalibr cruise missile ikafeli. Ndio maana makombora yana error rate, unakuta ni kama 4%
Kwani huwezi kutoa maelezo bila kufanya reference ya Urusi mwamba? Au Urusi ni ubao kwamba madawati yote yanaelekea uko? 😂Hiyo ni test mission, sio ajabu kufeli. Fuatilia Urusi walivyokuwa wanatest Poseidon underwater nuclear drone ilivyolipuka na kuua wanasayansi kwenye kituo cha majaribio. Ni kama mwaka juzi hivi ilikuwa
Jambo lisilo zuri sana ni kulipuka kwa rocket au missile ikiwa kwenye matumizi yake. Juzi kuna video ilisambaa mitandaoni ya Russia air defence yao ilifyatua missiles mbili zikalipuka kwa kufuatana. Na wiki hii hii kuna warship ilifyatua Kalibr cruise missile ikafeli. Ndio maana makombora yana error rate, unakuta ni kama 4%
Nawe toa maelezo kwa reference ya Ufilipino au Botswana. Ukute hata ubalozi wa Urusi hupajui ila unateseka ikitajwaKwani huwezi kutoa maelezo bila kufanya reference ya Urusi mwamba? Au Urusi ni ubao kwamba madawati yote yanaelekea uko? 😂
Tunajua Urusi si chochote mwamba kwa hiyo unapofanya reference kwake inatutia mashaka.
😂😂😂😂😂😂😂
Kama Urusi angeamua afanye kama kile alichofanya US huko Ugoslav basi operation ingeisha within days!Nicheke au nilie ??
Basi
Tafadhali nionyeshe mwalimu au mtaalamu yeyote wa elimu ya "special operations" anayesema: poteza askari zako tu kwa sababu unawatuma na silaha zisizo bora!! Nani????
Hakuna. Kile ambacho ni muhimu katika "special operation" ni wanajeshi wako. Moyo yao, elimu yao, ujasiri wao.
Vita ni silaha imara na mbinu usituletee mambo ya kinjikitile utakufa kama kuku mwenye kideri.Huwezi kutenganisha vita na spiritual affairs.They are intertwined.Bila kuwa spiritual vita to you will be only materialistic,which is not.Ili uwe balanced in your thinking,you must be spiritual.
Ha ha ha Sikirimimimasikini kujaa ushuhudie maajabu 😂😂😂Nawe toa maelezo kwa reference ya Ufilipino au Botswana. Ukute hata ubalozi wa Urusi hupajui ila unateseka ikitajwa
Sema: Kama angeweza kuamua. Ila hawezi. Maana Urusi ilishindwa kupiga jeshianga la Ukraine na mifumo ya kujitetea dhidi ya ndegevita kwenye siku ya kwanza. Kwa nini? Nahisi hana uwezo huu.Kama Urusi angeamua afanye kama kile alichofanya US huko Ugoslav basi operation ingeisha within days!
Umekariri vizuri ulichoandikiwa na westWengi wanona kuwa Urusi itaendelea kuona matatizo katika jeshi lake. Tukumbuke Putin alikuwa na makisio kwa jeshi lake mara 15 ya Ukraine: mwaka 2020 bilioni 61 kulinganishwa na bilioni 4 za Ukraine. Kwa pesa hiyo nyingi alipata nini? Alipaswa kukimbia Kyiv, alifaulu kusogea mbele mwanzoni kwenye pwani, sasa kwa kupoteza askari wengi anasogea mbele polepole sana katika Donbass, akitegemea hasa mizinga na grenedi za enzi za Kisovyeti.
Pamoja na hayo: vipuli muhimu wa silaha zake za kisasa alipata kutoka magharibi. Hapa sababu kwamba kifaru maarufu T-14 Armata hakifikii uwanjani.
Itakuwaje sasa?
Ona:
Is it true that in Ukraine, the Russian army is wasting more weapons and vehicles than the Russian industry can produce?
Originally Answered: Is it true that in Ucraine, the Russian army is wasting more weapons and vehicles than the Russian industry can produce?
“Ukraine”
First, Russia is decades behind in advanced military electronic components and hopelessly relies on the West for those supplies for its heavy weapons. That is now a huge problem with the sanctions in place.
Russia is also losing weapons at a rate beyond its capacity to replace. Russia is visually confirmed, by video or photo evidence, to have lost at least 800 tanks in 120 days of the war.
The real losses is over 1,500 tanks destroyed or captured. Russia cannot even manufacture 10 new tanks in a month and is losing like 200 in a month. That’s for tanks only.
Before invading Ukraine in February, the Russian Army was believed to be far stronger, much more effective, and technologically advanced. But in this war, the Ukrainian Army, despite being outnumbered more than 10-to-1 in heavy weaoons, has battered the reputation of Russia’s military.
Uwezo wangu wa kuhariri ni Top!! Tatizo ni tu, wale wa West jinsi wanavyoandika, wakati mwingine nashindwa kusoma. Maana wanaandika kwa mkono na kutuma kwa njia ya njiwa habari .....Umekariri vizuri ulichoandikiwa na west
Huyu dogo nae anguko lake lipo karibuni, tena ataangushwa na waUkraine wenzie,[emoji779]️Zelensky fired the ambassador to Germany and Bandera Cheerleader Melnyk.
Zelensky also fired ambassadors in Hungary, Czech Republic, Norway, India.
Usiamini kila kitu unachoona kwenye intaneti. Balozi hubadilishwa mara nyingi kila baada ya miaka 3-5. Huyu wa Berlin alikaa tayari tangu 2015. Si ajabu akibadilishwa.Huyu dogo nae anguko lake lipo karibuni, tena ataangushwa na waUkraine wenzie,
Na sehemu anapofeli nipale anapo lazimisha matatizo ya nchini mwake yawe ya nchi nyingine au dunia nzima. Na maana ya neno msaada naona bado inamchanganya.
Ujinga zaidi alio nao nipale anapolazimisha viongozi wa nchi zingine wachukulie matatizo ya nchi yake kama yao. Sasa naona ameanza kujichimbia kaburi mwenyewe kwa kuanza kutengeneza mpasuko wa kisiasa.
Mpaka hii operation ije kuisha, Mrusi atakuwa ameng'oa wanasiasa wengi sana kwenye nyadhifa zao.
RUSSIA TAIFA TEULE
So unamaanisha wakristu tunapenda ushoga sio?
Nitashuka na wewe jumlajumla hadi utulize hilo Komwe.
Belarus ni Waislam eeh?
Kweli bila shaka, ushoga ni hali ya kuzaliwa nayo, asilimia hufanana kote duniani.Utakua sio Mristo, maana Wakristo hawawezi wakasema nchi yote ipigwe mabomu kisa kuna mashoga humo, ukizingatia hata Ukraine haina idadi kubwa ya mashoga zaidi hata ya Bongo.