Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

"Balozi hubadilishwa mara nyingi kila baada ya miaka 3-5" Mwanamkiwi
"Huyu wa Berlin alikaa tayari tangu 2015" Mwanamkiwi

Sasa ndugu mwanamkiwi, huoni kama sentensi yako ya kwanza na yapili zinapingana kwa mjibu wa maelezo yako kuhusu time interval ya Balozi kubadilishwa?

Kutoka mwaka 2015 mpaka 2022 ni miaka mingapi hiyo?
Sasa kama unabishana wewe mwenyewe mimi kweli ndo nitakuweza hata nikisema nijitolee kukuelimisha?

Ningeona dalili za uelewa, ningejitahidi tueleweshane ila kwasasa acha nijifanye kama sijui wala kuelewa tofauti kati ya kutumbuliwa(fired) na kumaliza muda wa utumishi (retired)
Ngoja nikuachie Twitty ya Ukraine [emoji1255] Upambane nayo, mimi nimeona dalili za kuto kukuweza Maana huna hoja.
 
#YURI WAR BRIEFING Kharkov. Ukraine’s General Staff, after about two months, admits Russian advance, and, moreover, notifies the Russian assault actions against the city of Kharkov, and its immediate surroundings. Slaviansk: unchanged. Battles continue for Krasnopolye and Dolina. Seversk: Notable success, Russian and Lugansk troups take Grigoryevka, moving several kilometers closer to Seversk. Also, advances towards encircling the city in order to lure its defenders into abandon its positions. Psy-ops: Ukrainian psy-ops flood the social networsks with the fake news about an alleged Ukrainian advances in Kherson. There is no such thing, it is not recognized even by Ukraine’s own General Staff, - news are being spread in order to terrorize the population of Russian-controlled Kherson oblast. Terrorism: Data leaked about the plans of terrorist attacks against about 30 members of the civil administration on the liberated territories.

State of the fronts as of 09/07/2022 19:00 CEST (20:00 MSK)
 
US MLRS HIMARS cost Ukraine one million dollars per minute

This was stated by the commander of the 103rd brigade of regional defense.
The full ammunition load of HIMARS is 6 missiles of 150 thousand dollars each. Rate of fire - the same 6 rounds per minute In total, we get almost a million dollar per round, American help is not free, Ukraine debt is growing higher
 
Ukiwa nayo, tumia akili ya wastani. Wapi umepata habari eti rais wa Ukraine alifukuza ("fired") mabalozi hao? Lete ushahidi!!!

Unauliza "huoni kama sentensi yako ya kwanza na yapili zinapingana". Najibu: Hapana, sioni. Kwa nini? "Hubadilishwa" kwa lugha ya Kiswahili inataja hali ya kawaida. Vivyo hivyo ni kawaida kwamba kuna mifano michache ya kinyume. (menginevyo tusingesema "kawaida" bali "daima")

Nasema : Kubadilisha mabalozi ni jambo la kawaida kabisa. Ukipinga - eleza misingi ya hekima yako.

Ukimfukuza balozi - unamwondoa katika utumishi. Ukimbadilisha: Utamhamisha kwenda kituo kingine au kurudi wizarani.

Lete ushahidi mabalozi hao waliondolewa katika utumishi.
 
Una maanisha nini, kusema ushoga ni hali ya kuzaliwa nayo?
 
Inasemekana vita ikiisha ukrein itakuwa imeingia levo za kufilisika

Upumbavu wao utawagharimu
 
Jamaa yangu T14 Armata huwa ananifurahisha sana. Ukimuuliza swali specific ktk silaha fulani kali ya Urusi, yeye kwenye kujibu atakujibu kuhusu Marekani hata kama Marekani + NATO hawana silaha hiyo ila Marekani yupo tu anapambana na tafiti zenye kufeli.

Ukimuomba atoe maelezo ktk udhaifu fulani wa Marekani yeye atakuja na maelezo juu ya udhaifu wa Urusi.
 
Ha ha ha hata mimi nimeliona hilo, hataki kabisa kutetea infos za Russia kabisa!
 
Bravo mkuu nimecheki jamaa anawajua wamarekani na missile zao ila kwa Putin hajui chochote....nikajiuliza tuu vita ni mambo yakiusalama huwezi kuanika silaha zako tuu waziwazi huku ukijua adui anatembea tembea huko,kiufupi anayeweza kuanikiwa silaha nje ni marekani ambae Russia ameanza kumsumbua katika udukuzi kwa muda sasa ,watu waamini tuu kuwa Mrusi sio mtu wakuanika silaha wala habari zao katika mitandao na hawatofautiani sana na Israel katika kuficha sayansi yao ya teknologia..
 
Yani watu wawili watatu wakiwa against na hii OP ndio nchi nzima unaona haifurahishwi.

Huko Quora unaandika nini kwanza usikute we ndio Unafanya waafrika tuonekane Mijinga kwa mashudu unayotema
 
Anayebadlisha mabalozi ni rais wa nchi atokayo( coming from) balozi siyo rais wa nchi aendayo(destination country) baozi.

Huyu amewafukuza(fired) au amewafurusha waondoke kwake kwa kuwa nchi zao hazimsaidii silaha.

Uwe mwelewa
 
Wewe mbona mbishi tu....angalia vyanzo vyako vyote unavoviamini kama hutakuta hiyo habari....wamefukuzwa kabisa, sio sijui kubadirishwa...
 
Ungekuwa na akili ungewasema Orthodox kwa kuwapunguza watu jamii yako pale uchokoni Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…