Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We jamaa nina uhakika utakuwa Toashi.

Eti naomba watumie akili 😀, Hivi huoni Nondo za Galip Vrl au unataka tusifie mapunga wenzio ndio akili hiyo unayozungumzia
 
Danger
 
Wili hii Russia inapata wakati mgumu, maghala yake ya Silaha huko Donbas yanalipuliwa sana na yale makombora yarushwayo kupitia mifumo ya HIMARS ambayo Marekani imeipa Ukraine na Marekani amesema atampa mengine zaidi.

Mnatumia nguvu kubwa sana kwenye kuzisifia hizo bati wakati ukweli zimefeli pale Ukraine.
 
O
Samahani nakumbusha tu " Aliemuweka putini madarakani ndiye aliwekwa na marekani kuivuruga USSR." Mwisho wa kunukuu utakikuta unachanganyikiwa wenye vichwa tu wanaelewa kinachoendelea kule kuwa ni Drama tu wenyewe mafuvu hapa hawaelewi chochote.
Acha kupotosha watu Yetsin aliondolewa na KGB na ni KGB/FSB ndo imemuweka Putin.

Ubaya wengi humu wamezaliwa mwishoni mwa miaka ya 1900 hivo HAMUIJUI KGB na kifupi miaka ya 80 KGB ilitaka kunzisha project kubwa na pana kuwahi kuwazwa kufanywa na mwanadamu, ilitaka kuanzisha project ambayo ingechunguza kila mtu ndani ya NATO
 
Mbona unawatetea wanaume wanaofanya mashoga ,inaelekea wewe ni mmoja wao kwani wakikamatwa wote
 
We jamaa nina uhakika utakuwa Toashi.

Eti naomba watumie akili [emoji3], Hivi huoni Nondo za Galip Vrl au unataka tusifie mapunga wenzio ndio akili hiyo unayozungumzia
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ha ha ha ila kwanini usimkaushie aendelee kuteseka tu huyo Popoma... mmh?

Kila qoute mnayompa ndio inazidisha pumba zake jamvini. Litie block jomba likaugulie uchochoroni uko.

Lenyewe lajiona lina akiiiiiili kuufagilia ugasho wa babu yake sasa utalielewesha nini hapo likuelewe [emoji276].

Litie kitanzi tu mkuu tupunguze text za kijinga kuzisoma.
 
Wili hii Russia inapata wakati mgumu, maghala yake ya Silaha huko Donbas yanalipuliwa sana na yale makombora yarushwayo kupitia mifumo ya HIMARS ambayo Marekani imeipa Ukraine na Marekani amesema atampa mengine zaidi.
Angalia tu usije chafua shuka kujikojolea kitandani, Hizo ndoto zingine mbaya sana kwa umri wako...
 
Mbona unawatetea wanaume wanaofanya mashoga ,inaelekea wewe ni mmoja wao kwani wakikamatwa wote
Ingekuwa sio haki za binadamu hao walipaswa kuswekwa vijinga vya moto huko kunakowawasha, mpaka wanafanya wabinue vijambio kama dada zao, na kushindana kwenye kioo kupaka make up. Siwatetei wanaume wanaofanya ufilauni ilikua kama joke ndiyo maana niliweza emoj 🙊 hapa
 
Turudini kwa nguvu zote,mi babu yangu alipigana vita ya pili ya Dunia na akaniambia uchawi ndio uliokuwa ukimsaidia huko vitani,bahati mbaya ni marehemu ningemuuliza maswali kibao nadhani angenipa hints
Nalog off Z
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Indeed mkuu[emoji120]
 
Pole sana mkuu, nipende tu kukutaarifu kuwa unacho omba kiwe hakiwezi kuwa kwa mjibu wa economy and millitary experts.
 
Still Yoda , MK254 , UPOPO , Mwanamkiwi , FUSO and their allies, they will tell you Ukraine is winning the battle, simply because they're not millitary experts.

Yaani mpaka leo haka kainchi saizi ya mkoa kamewashinda kufumua, tena kajirani kadogo tu hapo Urusi......miezi miine supapawa wa mchongo amepoteza hadi majenerali, meli kubwa ya kivita na kila aina ya hasara ila kainchi bado kapo tu, yeye ameambulia tumiji twa huko mipakani.

 

Hamlazimishwi, nawaumbua na kuwaelimisha mtumie akili zenu binafsi muwache kuendeshwa na uzombi wa kidini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…