Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa kaka πŸ˜€.
 
[emoji22][emoji22] Mwanamitindo huyo wa Brazil ambaye pia ni sniper ameripotiwa kuuliwa na vikosi vya Urusi huko Ukraine alikoenda kujitolea msaada wa kijeshi upande wa Ukraine

Thalito do Valle(39) amefariki ikiwa ni wiki tatu tu tangu afike Ukraine

Mwanamitindo huyo alishapitia mafunzo ya sniper ambapo kipindi cha nyuma alienda katika mapigano dhidi ya ISIS huko Iraq
 
Atakuwa alienda kuuza "K".....
 
Ila wewe jamaa huwa nakufananisha na Mwanafunzi anayejaza kurasa nyiiingi kwenye mtihani halafu ukisoma huoni kitu. Huwa naona comments zako nyingi humu hazina mantiki.
Na sio za hii conflict ya Ukraine tu bali hata za kisiasa unazochangia haupo Logical na hata wataalam wa kupima IQ itakuwa wamenielewa.

ulichobahatika tu humu ni kwamba ni kati ya watu maarufu sana sababu sio mvivu ktk kuchangia. Yaani ni kama Masanja aalikwe UDSM kwenye mjadala wa kuboresha mitaala, ATAONGEA KWELI SABABU NDIO NATURE YAKE.
 
Huyu nae wanataka kumng'oa sasa anatafutiwa sababu πŸ˜‚
Ninachokiona Kwa asilimia kubwa viongozi wa NATO na EU wataachia ngazi kama kukubali kuwa wameshindwa na kuna viongozi wapya watakaokuja kumaliza tofauti zao na Russia, na hili linatakiwa kufanyika mapema kabla ya majira ya baridi hayajafika, mpaka kipindi cha baridi kinafika tayari wawe na uhakika wa nishati kutoka urusi, naiona urusi ikienda kuvunja rekodi ya kuuza nishati duniani
 
Thibitisha habari yako. Source?
 
Nacheka ila Mungu tusaidie kwa kweli.Turudi kwenye mada Putin vipi bado tupo anapigana au ameshida maana sijamwelewa bado siku ya 130plus sasa anagawa uraia
 
Yeah,this is disturbing indeed.Gentlemen. I came across this information and thought I should not keep it to my self,but also let you know it.Yes,Smoky Joe Biden is not only suffering from Dimentia,but he is actually a Zombie.Yes,if you think you have not heard me well,I have said Biden is a NWO Zombie.Read and hear this to see it for yourself.

Supposedly this is a man who is the leader of the free world and the most powerful man on the planet!!!Really?Yes,a Zombie.The World couldn't be worse.The game is simply over for humanity.Yeah,Americans have a Zombie as their President and yet they strongly believe it's okay.Aren't they Zombies themselves?You be the Judge.


 

Hehehe!! Jikite kwenye mada wacha kunijadili, mimi nimeshindikana hata kwa Warusi na Waarabu kule Quora sembuse nyie waarabu wa hapo kwa Mtongole, Bongo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…