Iran ana kipi Cha kuizidi russiaHadi mnaomba msaada Iran, kweli hali mbaya
Naona hapo supapawa ni mmoja tu. Wengine ni makanjanja ya NATO
Kabisa mkuuHapo kwenye "...has decided to sidestep..." He he kweli WinterIsComing
Waliona raha kumpiga vikwazo Russia, sasa hawana budi kula JEURI YAO. Namwona Boris Johnson akijutia sana makosa yake ya kiherehere dhidi ya Russia.Uingereza yasema kiama chaikumba Ulaya, kuingia winter pasi na gesi ya Urusi
Urusi toka jana imezima gesi yake iliyokuwa ikimiminika kwenda Ulaya. Sababu kuu ni maintenance ya miundombinu ambayo hufanyika kila mwaka kwa siku 10. Ila Ulaya wanapata wako na hofu kubwa kama Putin atawasaidia tena kuwawashia gesi au ndio Super Power kaamua kuwachinjia baharini🤣🤣😆😆😄😄😄
View attachment 2287892
Hii ni ngebe ya kiwango Cha SGR[emoji38]Hawa jamaa wana sifa sana aseee[emoji23][emoji23][emoji1316]
Russia sio Zimbabwe [emoji38][emoji777][emoji573]Elon Musk's SpaceX rocket caught fire on the launch pad at the start of testing[emoji777]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa sasa Ukraine ni eneo la kutestia vifaa mbalimbali vya kivita.What a joke [emoji848]
Iran kuipa Urusi ndege zisizo na rubani ili kuisambaratisha Ukraine
View attachment 2287802
Hivi "Wild geese"[emoji298]Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (Part 2)
[emoji3544] Russian Defence Ministry monitors and records by name all foreign mercenaries who have arrived in Ukraine to take part in combat operations.
[emoji3503] As we have already mentioned, contrary to the false claims of the Kiev regime about allegedly 20,000 of foreign mercenaries arriving to Ukraine, their actual number is much lower. Moreover, it is steadily declining.
[emoji3503]Over the past three weeks, the number of mercenaries in Ukraine has decreased from 3,221 to 2,741 as a result of the offensive actions of the units of the Russian Armed Forces and people's militia of Lugansk and Donetsk republics.
[emoji3503]During this time, despite the arrival of another 151 mercenaries, 391 militants have been killed. Another 240 "wild geese" rushed to flee outside Ukraine.
[emoji3503]Poland again tops the list in terms of the speed and number of fighters killed during the period, with 166 Polish fighters killed. Among the Georgian representatives, 50 "soldiers of fortune" were killed, UK lost another 23 mercenaries in Ukraine. Also, 21 Romanian and 15 Canadian fighters were killed in three weeks.
[emoji408] Updated data on the count of foreign mercenaries currently in Ukraine has been published on the Russian Defence Ministry's information resources on the Internet.
[emoji3503]Once again, the Russian Armed Forces are identifying foreign mercenaries even as they prepare to enter Ukraine.
[emoji839]I will give one example.
[emoji3503]On July 6, two British citizens, Colin Scott and Adrian Davis, and three US citizens, Michael Vujkovic, Andrew Fox and Oliver Short, arrived at the foreign mercenary collection and accommodation centre located at 1 Kozmian street in Poland's Zamość city. We advise these citizens to come to their senses and return home alive.
[emoji779]️Let me remind you that under International Humanitarian Law, all foreign mercenaries are non-combatants and the best that awaits them if captured alive is a trial and maximum terms of imprisonment.
Part 1 [emoji407]
#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Sahii kabisa,Hakuna aliyemkoromea mwingine hapo. Kitendo cha Boris Johnson kutupwa nje kimewaamsha wengi sana. Akili zinaanza kuwakaa.
Hapo wanasema short-term, haina tofauti na kauli ya Zelensky kwamba ile retreat yao ilikuwa ^tactical move^--kwamba soon wangewaangukia Russia kama mvua ya radi, upepo mkali wa dhoruba, na mawe mazito. But where are they?
Sahii kabisa[emoji4][emoji106]The LOGIC is clearly pertinent: If they have negotiated with Putin, and they never negotiate with terrorists, then, simply and concisely, Putin is not a terrorist!
Sahii kabisa mkuu,WE NEED MORE SANCTIONS
Na wamesindikiza na picha ya [emoji199] akiwa kwenye theluji.
Sisi ni kina nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kuna la kujifunza kwa sisi ngozi nyeusi tuna himili maradhi,joto kali,baridi kali,dhiki kuu na njaa kali.
Vs weupe tunaambiwa ni nyoronyoro hawaimili kitu kuanzia maradhi,hali ya hewa,dhiki kuu na njaa.
Tegua kitendawili hiki.
Hawa jamaa baridi itawaua,Uingereza yasema kiama chaikumba Ulaya, kuingia winter pasi na gesi ya Urusi
Urusi toka jana imezima gesi yake iliyokuwa ikimiminika kwenda Ulaya. Sababu kuu ni maintenance ya miundombinu ambayo hufanyika kila mwaka kwa siku 10. Ila Ulaya wanapata wako na hofu kubwa kama Putin atawasaidia tena kuwawashia gesi au ndio Super Power kaamua kuwachinjia baharini[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 2287892
Batamzinga - turkeyHivi "Wild geese"
kwa kiswahili ndio Bata pori au ndio Bata mzinga?[emoji38]
Ha ha ha.....Batamzinga - turkey