Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aisee sikuwahi kuwaza hilo, kumbe wajeda wa Ukraine wapo mara mbili zaidi ya wajeda wa Urusi, lakini kila day wajeda wa Ukraine wanatekwa/ wanafurushwa na kutelekeza miji yao🤣🤣😇😇😇

Russia wana mbinu bora + silaha za maana. Unaambiwa Putin anawamiminia wanajeshi wa Ukraine mizinga takriban 20,000 kila siku, wakati wao Ukraine wanajibu kwa mizinga 6,000 tu!

Pia Ukraine inategemea munitions za donations/sadaka toka kwa Mabeberu, hadi zisafirishwe toka Marekani + NATO, wakati Putin ana munitions za kupigana miaka tele na kusaza! Hayo yanaripotiwa na Marekani (19 Forty Five)

 

​

VERY IMPORTANT ALERT​

Russian Ministry of Defense: We are on the verge of an immediate armed conflict with the United States.​

WORLD HAL TURNER 12 JULY 2022
The Russian Ministry of Defense issued a very late night Press Statement saying "We are on the verge of an immediate armed conflict with the United States" after Ukraine used U.S.-supplied HIMARS weapons to attack a Russian base. As of 7:12 PM EDT, at least 7 Russian troops are dead and at least 40 are injured. Those numbers are rapidly rising and changing fast.
In addition to the Russian MoD, the Russian Ministry of Foreign Affairs has also issued a statement:
The United States and its allies are teetering on the brink of an open military conflict with Moscow, which would be fraught with nuclear tensions, Russian Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova said in a statement on Tuesday.
"After provoking an escalation of the Ukrainian crisis and unleashing a violent hybrid confrontation with Russia, Washington and its allies are dangerously teetering on the brink of an open military confrontation with our country, which means a direct armed conflict between nuclear powers. Clearly, such a confrontation would be fraught with nuclear escalation," the statement reads.

UPDATE 7:19 PM EDT --
Henry Kissinger just said on Fox News that we should expect direct conflict with Russia by mid-August.

More details on tonight's Hal Turner Radio Show. You can tune-in FREE on either radio or the Internet as follows:
Set an alarm in your cell phone to tune-in
9:00 PM EASTERN U.S. TIME
(9:00 PM Eastern Time, 8:00 PM Central Time, 7:00 PM Mountain Time, 6:00 PM Pacific Time, 5:00 PM Alaska Time and 4:00 PM Hawaii Time)
WBCQ (Global Shortwave) on Frequency 7.490 or 6.160 (AM)
WRMI (Global Shortwave) on Frequency 5.950 (AM)
KYAH 540-AM Utah
Or here on the Internet at the link below. (NOTE: That link does not go live until about one hour before show time. During that hour, it streams commercial-free music until the show begins)
http://stream.halturnerradioshow.com:8000/ (Then click LISTEN or hit the PLAY BUTTON on the small player on that page)

UPDATE 8:15 PM EDT --THE INTERNET AUDIO FEED IS NOW UP AND STREAMING MUSIC UNTIL THE SHOW STARTS IN 45 MINUTES.
http://stream.halturnerradioshow.com:8000/ (Then click LISTEN or hit the PLAY BUTTON on the small player on that page
 
Ķichapo!!!
Askari 52 wa Urusi wauwawa 70 wajeruhiwa🤔
The strike on Nova Kakhovka in the Kherson region killed 52 Russian personnel, Ukraine's military said Tuesday. The town's Russia-installed authorities said at least seven people had been killed and around 70 injured, Russia's TASS news agency reported. Tap the article for more details.
 

Si tuliambiwa "night belong to HIMARS"😂😂😂😂😂 20,000 vs 6000 kweli Pro nato hawana shughuli ndogo au ni FATAKI mnapewa jaribuni kuchunguza NATO sio watu wazuri.
 
Nyie
Mtakuwa mmewehuka...
 
Lakini leo mitambo ya Kimarekani ya HIMARS zimefanya mashambulizi makubwa eneo moja la Russia, na baadhi ya majimbo 10 ya Ukraine kwa mkupuo (yaliyokuwa yametekwa na Russians)! Tutegemee chochote kuanzia sasa kuhusu Putin kukubali yaishe. (Just to encourage the so-called Pro-NATO)!

Source: Trust me!
 

Hao Pro-NATO walishawehuka kitambo sana. Assistant CEO wao BJ ameshaondoka. Nadhani tuendelee kuwafariji badala ya kuwavunja moyo, ili wasipotee.

Kelele yao pekee ni kwamba ^Mlisema in just 3 days mnaichukua Ukraine!^ Mie nawauliza: So what? Hata Russians wakitumia miaka 1,000 kama wanashinda kila siku, wanamega ardhi ya Ukraine, it doesn't matter!

Wapeni taarifa nzuri nzuri na moto moto wazipendazo, hata kama ni events kutoka huko ^Планета Венера^ (Planet Venus)! Mtakuja kuwaua wenzenu kwa pressure bure!
 
Sio kukubali yaishe. Kiev ijiandae kwa mashambulizi makubwa na mazito.
 
Nawakumbusha wale wanaosema eti Russia ameishiwa silaha ama hata nguvu tena na blah blahs zingine: Marekani na NATO wenyewe wanaujua ukweli.

But watafanyaje basi ili kuwahimiza wanajeshi wa Ukraine waliokata tamaa? Wanaoangamia kila siku kwa wingi? Watapataje basi msaada wa silaha na fedha kutoka Ulaya na Marekani kama wakisema ukweli halisi?

Nimesoma makala fulani ya CNN (naona wameanza kusema ukweli): ^The Ukrainian soldiers with their tiny weapons left are waiting for advancing Russian troops). Usiombe kuona picha zao. They really deserve to be pitied.

Zelensky ndiye mchawi wao. Mganga wao mkuu ni Marekani na NATO.
 
🇺🇲❗War in Ukraine exposes Western defense gaps - Financial Times

Americans are amazed at how it happens that with Russia's $66 billion defense budget and NATO's $1.1 trillion defense budget, the West is running out of weapons and equipment to transfer to Ukraine, and Moscow continues the operation and grinds up all this untold military aid.
 
‼️ 🇺🇦 🏴‍☠️ Report from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

In the Kharkiv direction, Russian troops strike at the positions of the Armed Forces of Ukraine

In the Slavyansk direction, the Russian Army inflicts fire damage on the positions of the AFU from barrel artillery and MLRS;

Russian troops are conducting assault operations in the Bakhmut direction

In the Avdeevsky, Kurakhovsky, Novopavlovsky and Zaporizhia directions, Russian calculations of barrel and rocket artillery continue to strike at the AFU.
 
Na bado mpaka akili ziwakae sawa
Nalog off Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…