Russia atasaidiwa na China na North Korea na hio ni kumsaidia nguvu tu ila kwa vifaa anavyo sana tuYani hii vita ni ya Russia + Wabaya wote wa Marekani unaowajua wewe lazma waingize watu wakawafyeke hapo hapo UkraineKumbuka kuna nyingine zinauzwa kwenye black market kutoka UKRAINE so izi figure tunazipokea ila uhalisia wanaujua wao kwa pande zote mbili.
Propaganda ni nyingi pande zote na ni mbinu za kimedani mfano wanavyosema tumetumia @18% ya nguvu zetu lazima uogope ukiwa kama rival wake na ndio maana unaona NATO wanazidi kuvuta mda ili kufikia matarajio yao. Kissinger namkot alisema wanatarajia total war with RUSSIA kuanzia katikati ya mwezi August.
Piga hesabu kuanzia Feb-sasa karibu siku 130 na zaidi wametumia 18%kwa mujibu wa Russia tusogee hadi August mid ni jumla ya siku 40,unakuta ni asilimia 3 imeongezeka labda (nimekisia ) inaenda kua n 21% kwa august.
Wamarekani sio wajinga tuache ushabiki kutoa ile kauli wanajua watakua wamemkausha /kumlegeza kiasi gani ndio maana unaona kauli za kina Madvedve za kutumika NYUKI na upande wa pili wanajiandaa kwa total war.
Yangu macho namuombea Russia atoboe mziki sio mwepesi kiivyo.
Russia atasaidiwa na China na North Korea. Yani hii vita ni ya Russia + Wabaya wote wa Marekani unaowajua wewe lazma waingize watu wakawafyeke hapo hapo Ukraine
mkuu naomba unieoekeze jinsi ya kushare threadSaudia na Uturuki zaamua kujiunga na 'BRICS' ili kuimarisha usalama na amani kwenye nchi hizo
Saudi Arabia, Uturuki na Egypt zimeamua kujiunga na BRICS ambyo ni muunganiko wa nchi za Urusi, China, Brazil, India na South Africa. Maombi yao yatajadiliwa kwenye kikao cha BRICS kitachofanyika South Africa. Katika malengo ya BRICS ni pamoja na kudumisha amani na usalama (security). =====www.jamiiforums.com
Nimewalinganisha kati yao wawil
Kanjibai anaongozaBibi yetu Liss Truss kapigwa chini
In the UK, the second round of the election of the head of the Conservative Party has ended.
Results:
[emoji3502]Rishi Sunak (ex-head of the Ministry of Finance) - 101 votes;
[emoji3502]Penny Mordaunt (Junior Minister for Trade Policy of Great Britain) - 83;
[emoji3502]Lise Truss (Foreign Minister) - 64;
[emoji3502]Kemi Badenoch (former Minister for Equality and Local Government) - 49;
[emoji3502]Tom Tugendhat (Chairman of the Select Committee on Foreign Affairs of the House of Commons) - 32;
Out: Suella Braverman, Nadeem Zahavi and Jeremy Hunt.
Wakimbizi wetu mkuuKanjibai anaongoza
Ikitokea mrusi akasarenda kituo kinachofata kitakua beijing.Russia atasaidiwa na China na North Korea na hio ni kumsaidia nguvu tu ila kwa vifaa anavyo sana tuYani hii vita ni ya Russia + Wabaya wote wa Marekani unaowajua wewe lazma waingize watu wakawafyeke hapo hapo Ukraine
Umesomeka [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] natumai wataalamu wengine watakuja kujazia nyama kwa mtazamo mwingineMimi ninachofahamu kuhusu ukweli wa hii vita (operesheni ya kijeshi ) ni uchumi. Karibu vita vyote duniani vimehusika kwa namna moja au nyingine kuhusiana na uchumi.Siku zote shughuli za kiuchumi hufanyika katika ardhini kwa sehemu kubwa.
Shughuli nyingi za kiuchumi hutumia nishati kwa sehemu kubwa sana kama siyo zote.Kwa maana hiyo msingi mkuu wa shughuli za kiuchumi ni nishati ambayo kwa sehemu kubwa inapatikana kwenye ardhi.
Vita kubwa kwa sehemu kubwa zimehusiana na umilikaji na utawaliwaji wa nishati.Ukimiliki na kuitawala nishati utakuwa na sauti na nguvu kubwa kwenye uchumi ambayo itakupa vilevile nguvu ya kisiasa.
Russia (Urusi) ni nchi iliyojaaliwa na kubarikiwa kwa kumiliki na kutawala rasilimali za asili zenye kuhusisha nishati.Hali hii imeifanya kuwa na sauti na nguvu kwenye bara la ulaya kama siyo duniani kwa ujumla.Wewe mwenyewe utakuwa shahidi kwa kinachoendelea sasa hivi duniani kuhusu nishati.
Hali hii iliwakera na kuwauma watu wa Magharibi wakiongozwa na kiranja mkuu Marekani.Wamagharibi kwa miaka mingi walitamani huu utajiri wa rasilimali waumiliki na kuutawala wao peke yao.Mikakati ilipangwa na kupangwa lakini ikashindikana!!!
Wakajiuliza karibu nishati ya dunia nzima tunaimiliki sisi kwa nini hii itushinde???Nishati ya Mashariki ya kati,Afrika,Amerika kwa asilimia kubwa tunaimiliki na kuitawala sisi huyu ni nani mpaka atubabaishe na kutupora sauti na nguvu yetu kwenye nishati??Zikafanyika tafiti na tafiti kuhusu nishati huko huko Ulaya.
Tafiti zikaonyesha kuwa upande wa Mashariki wa Ukraine kuna hazina kubwa sana ya rasilimali za asili ambazo kwa asilimia kubwa zinahusiana na nishati!!Wamagharibi wakafurahi sana !! Tukiibeba Ukraine yote basi Urusi atapoteza sauti na nguvu (soko) kwenye nishati kwao Wamagharibi na dunia nzima kwa ujumla.!!!
Warusi wakapata taarifa (ujasusi) kuwa nguvu yao kuhusu nishati inaenda kupotea kutokana na ugunduzi huu!!! Wakati wanatafakari kibaraka wao waliomuweka hapo Ukraine akaondolewa kwa maandamano ya wanaotaka demokrasia!!
Baada ya Wamagharibi kupeleka kete ya kwanza, warusi nao wakapeleka kete yao ambayo ni kulibeba jimbo mojawapo ndani ya Ukraine.!!!Wamagharibi wakajua kuwa ngoma imeanza na inabidi waicheze!!Tunaichezaje?? Piga vikwazo na tulitengeneze na kuliboresha jeshi la Ukraine liwe la kisasa halafu tujiandae na kinachofuata!!!
Warusi wakaunda vikundi vya kijeshi kisha wakapeleka kete nyingine ambayo ni kuyabeba majimbo yote yanayohusiana na huu ugunduzi wa rasilimali!!! Hahah!!! Zikaanza kupigwa baina ya vikundi vya Kirusi dhidi ya vikundi vya Kimagharibi.Vikundi vya kirusi vikaonekana kuzidiwa na Ukraine ikafanikiwa kuyarudisha majimbo yaliyogunduliwa hizo rasilimali!!!!
Warusi wakajiuliza na kutafakari itakuaje kuhusu hatima yao mara baada ya haya majimbo kuchukuliwa!!! Wakaja na jibu moja 'kuwa tutakuwa hatuna tena nguvu na sauti'.!!!! Nini kifanyike?? Tulitumia vikundi vikafeli sasa ni lazima jeshi liingie!!!Sababu ipi zipi zitakuwa na mashiko???
Wakati huhuo vyombo vya kijasusi vya Kimagharibi vikapata harufu ya nini kinachofuata!!!
- Tunajilinda dhidi ya Nato.
- Tunalinda maisha ya jamii za Kirusi zilizo hatarini huko Ukraine.
- Kuna Wanazi huko Ukraine.
- Kuna maabara ya silaha za kikemikali huko Ukraine.
Ikatangazwa operesheni(vita??) ya kuipunguza nguvu za kijeshi ukraine pamoja na kuwaondoa Wanazi (Demilitarization and Denazification)!!!!!Hahaha!!!!
Swali: Nani ataibuka mshindi kati ya anayetetea sauti na nguvu ya nishati (Urusi) na wanaotaka kuipora hiyo sauti na nguvu(Wamagharibi)??? Muda utaamua!!!!
Nb: Unaweza kuona na kuhisi vita ni siasa au dini ndiyo inasababisha lakini ukweli ni rasilimali asili kwa kiasi kikubwa sana ndiyo msingi mkuu na siasa au dini ndiyo hutumika kama kichocheo.
Ni mtazamo wangu binafsi!!!!
Viongozi wa mataifa zaidi ya 30 waliungana kumuangusha kiongozi wa taifa moja badala yake wao ndo wanaanguka mmoja baada ya mwingine.ITALY'S DRAGHI: THE CONDITIONS ARE NO LONGER IN PLACE FOR ME TO CARRY ON || SAYS I WILL TENDER MY RESIGNATION TO THE PRESIDENT THIS EVENING
Eti kikoba cha duniaIkitokea mrusi akasarenda kituo kinachofata kitakua beijing.
Kwa mazingira hayo urus anauhakika wa msaada toka beijing wa kiuchum na kisiraha ukizingatia china ndio kikoba cha dunia
Na huko sahihiMimi ninachofahamu kuhusu ukweli wa hii vita (operesheni ya kijeshi ) ni uchumi. Karibu vita vyote duniani vimehusika kwa namna moja au nyingine kuhusiana na uchumi.Siku zote shughuli za kiuchumi hufanyika katika ardhini kwa sehemu kubwa.
Shughuli nyingi za kiuchumi hutumia nishati kwa sehemu kubwa sana kama siyo zote.Kwa maana hiyo msingi mkuu wa shughuli za kiuchumi ni nishati ambayo kwa sehemu kubwa inapatikana kwenye ardhi.
Vita kubwa kwa sehemu kubwa zimehusiana na umilikaji na utawaliwaji wa nishati.Ukimiliki na kuitawala nishati utakuwa na sauti na nguvu kubwa kwenye uchumi ambayo itakupa vilevile nguvu ya kisiasa.
Russia (Urusi) ni nchi iliyojaaliwa na kubarikiwa kwa kumiliki na kutawala rasilimali za asili zenye kuhusisha nishati.Hali hii imeifanya kuwa na sauti na nguvu kwenye bara la ulaya kama siyo duniani kwa ujumla.Wewe mwenyewe utakuwa shahidi kwa kinachoendelea sasa hivi duniani kuhusu nishati.
Hali hii iliwakera na kuwauma watu wa Magharibi wakiongozwa na kiranja mkuu Marekani.Wamagharibi kwa miaka mingi walitamani huu utajiri wa rasilimali waumiliki na kuutawala wao peke yao.Mikakati ilipangwa na kupangwa lakini ikashindikana!!!
Wakajiuliza karibu nishati ya dunia nzima tunaimiliki sisi kwa nini hii itushinde???Nishati ya Mashariki ya kati,Afrika,Amerika kwa asilimia kubwa tunaimiliki na kuitawala sisi huyu ni nani mpaka atubabaishe na kutupora sauti na nguvu yetu kwenye nishati??Zikafanyika tafiti na tafiti kuhusu nishati huko huko Ulaya.
Tafiti zikaonyesha kuwa upande wa Mashariki wa Ukraine kuna hazina kubwa sana ya rasilimali za asili ambazo kwa asilimia kubwa zinahusiana na nishati!!Wamagharibi wakafurahi sana !! Tukiibeba Ukraine yote basi Urusi atapoteza sauti na nguvu (soko) kwenye nishati kwao Wamagharibi na dunia nzima kwa ujumla.!!!
Warusi wakapata taarifa (ujasusi) kuwa nguvu yao kuhusu nishati inaenda kupotea kutokana na ugunduzi huu!!! Wakati wanatafakari kibaraka wao waliomuweka hapo Ukraine akaondolewa kwa maandamano ya wanaotaka demokrasia!!
Baada ya Wamagharibi kupeleka kete ya kwanza, warusi nao wakapeleka kete yao ambayo ni kulibeba jimbo mojawapo ndani ya Ukraine.!!!Wamagharibi wakajua kuwa ngoma imeanza na inabidi waicheze!!Tunaichezaje?? Piga vikwazo na tulitengeneze na kuliboresha jeshi la Ukraine liwe la kisasa halafu tujiandae na kinachofuata!!!
Warusi wakaunda vikundi vya kijeshi kisha wakapeleka kete nyingine ambayo ni kuyabeba majimbo yote yanayohusiana na huu ugunduzi wa rasilimali!!! Hahah!!! Zikaanza kupigwa baina ya vikundi vya Kirusi dhidi ya vikundi vya Kimagharibi.Vikundi vya kirusi vikaonekana kuzidiwa na Ukraine ikafanikiwa kuyarudisha majimbo yaliyogunduliwa hizo rasilimali!!!!
Warusi wakajiuliza na kutafakari itakuaje kuhusu hatima yao mara baada ya haya majimbo kuchukuliwa!!! Wakaja na jibu moja 'kuwa tutakuwa hatuna tena nguvu na sauti'.!!!! Nini kifanyike?? Tulitumia vikundi vikafeli sasa ni lazima jeshi liingie!!!Sababu ipi zipi zitakuwa na mashiko???
Wakati huhuo vyombo vya kijasusi vya Kimagharibi vikapata harufu ya nini kinachofuata!!!
- Tunajilinda dhidi ya Nato.
- Tunalinda maisha ya jamii za Kirusi zilizo hatarini huko Ukraine.
- Kuna Wanazi huko Ukraine.
- Kuna maabara ya silaha za kikemikali huko Ukraine.
Ikatangazwa operesheni(vita??) ya kuipunguza nguvu za kijeshi ukraine pamoja na kuwaondoa Wanazi (Demilitarization and Denazification)!!!!!Hahaha!!!!
Swali: Nani ataibuka mshindi kati ya anayetetea sauti na nguvu ya nishati (Urusi) na wanaotaka kuipora hiyo sauti na nguvu(Wamagharibi)??? Muda utaamua!!!!
Nb: Unaweza kuona na kuhisi vita ni siasa au dini ndiyo inasababisha lakini ukweli ni rasilimali asili kwa kiasi kikubwa sana ndiyo msingi mkuu na siasa au dini ndiyo hutumika kama kichocheo.
Ni mtazamo wangu binafsi!!!!
Aache kuzuga
Achana na hizo fake accounts wewe...Ngoma nzito 2 submarines zimelimwa black sea