Cut the crap miss OP, usihame huku mara huko...
Nikukumbushe hii ndio ilikuwa point yako
Na ukasema uwezo wa kuitetea unao...
Sasa kwanini usifanye kutoa maelezo yaliyo nyooka badala ya blah blah ya mbinu za kimedani. Mmh?
Noooo sijasema huyo ni wewe wala kudai kia mtu profile aliyoweka inamulika uhalisa wake. Nimemtumia kukupa mfano hai may be you can grasp the context ambayo unajipea ukakasi.
Walihitaji data, Yes DATA, Na unapozungumzia data sio tarakimu tu kwamba zipo katika range y 1 hadi 9 kisha zinajirudia.
No when some1 asked kuhusu data maana ake alihitaji taarifa, of course ni taarifa za ziada za kuchagiza hoja husika kama alizozileta grand master.
So hapo kuna mawili Miss OP, either ukiri hukuelewa context, hukuelewa wanahitaji nini hivyo ukawa OP π kuwaona walivyo OP kuziomba hizo data.
Au, itetee hoja ya mathanzua kwa maelezo yaliyo nyooka kama ya Grand Master, wajione walivyo OP hawajielewi. Yah yani simple like that.
Ops, you get to know something is fake pale unapokuwa na genuine info for references. Huezi kutoa au ku-judge kitu flani hivi ama vile kama huna back up data/taarifa za ku-support madai yako.
Na of course kwa mtu asiyejua hujawa na hasira kisha kutukana watu wanao mpa challenge ya kile alichokitoa. I call it higher degree of immaturity.
Huu ni ulimwengu wa hoja... Toa hoja tetea hoja full stop.
Sio wanatoa darasa ila kuuongelea ukweli huwa ni rahisiPro Russia mnatoa darasa kubwa sana humu kiasi kwamba inatakiwa mlipwe
Yap yap kama hivi, facts nyepesi mtu anazungumza unaelewa kalenga wapi.Kuna mawili:
1. Kuna watu wanaochagua kwa utashi, hiba na huba zao ili kuelewa mambo OBJECTIVELY, na wengine SUBJECTIVELY. Nadhani member husika yuko subjective. Kwa vile anaiwamba ngoma, basi kaamua kuivutia kwake.
2. Anapodai kwamba wote wako sahihi, maana yake anakana waziwazi umuhimu wa hesabu za probability. Nimkumbushe tu kwamba kwenye kila ukadiriaji na ukisiaji, kuna error margin inayoruhusiwa.
Ikitokea ikawa kubwa au ndogo sana, utafiti wako unakuwa invalidated na kuwa nullified.
Naungana asilimia 100% na mtazamo kwamba Russian data ziko chini MNO kuliko reality--na bila shaka wamefanya hivyo kimakusudi ^car-bee-sir!^
πππHoja gani Mangi mbona kama umekechi hivii.
Kila kitu kiko wazi huo ubishani ulipoanzia nilitoa fact zangu nikaonyesha kwamba figure ni kubwa sasa unataka nirudie kitu kilekile ilhali mwisho wa siku jibu ni moja kubwa au ndogo uhalisia wanaujua wao huko field.
Na ndio maana kwa ujasiri nikasema nimefurahi kuona mtazamo unaoonwa wa maana na mimi ndio ivyoivyo ila kwa ukubwa zaidi.
NB.
OP (opposite point) sio tusi ni maneno yanayotumika kwenye mijadala.
Ruge kuna msemo wake anasema anaogopa internet na Mungu.(RIP)Na of course kwa mtu asiyejua hujawa na hasira kisha kutukana watu wanao mpa challenge ya kile alichokitoa kama alivyofanya mzee wa watu. I call it a higher degree of immaturity.
Huu ni ulimwengu wa hoja... Toa hoja tetea hoja full stop.
Ngoja waumane wenyewe kwa wenyewe,hatimaye wata malizana without Russia firing a short.Moscow to Kaliningrad [emoji579][emoji635][emoji635]View attachment 2290781View attachment 2290782
]
Ndio unajua leo ?Kwa hali hii nina wasiwasi na zile picha nyingi za vifaru vya urusi vilivyodaiwa kulipuliwa zilizokuwa zinazagaaza sana mitandaoni huenda vile vifaru vilikuwa ni vya ukraine na sio urusi
Wanafanya kazi kubwa sana maana kama sio wao na wengine baadhi maeneo tofautitofauti ya dunia, basi waongo na wenye nia ovu wangefaulu katika kuwalisha wakaazi wa dunia propaganda zao.Sio wanatoa darasa ila kuuongelea ukweli huwa ni rahisi
Hoja gani Mangi mbona kama umekechi hivii.
Kila kitu kiko wazi huo ubishani ulipoanzia nilitoa fact zangu nikaonyesha kwamba figure ni kubwa sasa unataka nirudie kitu kilekile ilhali mwisho wa siku jibu ni moja kubwa au ndogo uhalisia wanaujua wao huko field.
Na ndio maana kwa ujasiri nikasema nimefurahi kuona mtazamo unaoonwa wa maana na mimi ndio ivyoivyo ila kwa ukubwa zaidi.
NB.
OP (opposite point) sio tusi ni maneno yanayotumika kwenye mijadala.
πKumbe uzi huu utumike kama source ya ajira sasa. Ndiyo maana tukasema Tanzania iwe jimbo mojawapo la Russia.
ππππ Anyway mi na mtazamo wangu ambao hauamini katika data tena kwenye mambo ya kimedani.Dada hizo facts ni data, faham Data ni facts. Naona mnapishania hapo, maana ya data ni facts inaipa nguvu hoja ya Galip Vrl kua hawakuwa out of point kuzitaka.
What is the meaning of Data?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anyway mi na mtazamo wangu ambao hauamini katika data tena kwenye mambo ya kimedani.
NB.
Ngoma ikirudi kwenye izo figure si tutakesha hapa.
Naombeni mneilewe tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] kwamba fikra zangu hazikua BURE ndio nilichokua napambania.
I mean when you hear a word "data". Kipi kinakuja akilini mwako? My observation kwenye majadiliano yenu. Galip hajabase kwenye usahihi wa data. Amekwambia utetee hoja ya "Walio ulizia data wako OP".What is the meaning of Data?