Kwa Russia m nilisema ni kubwa kwa kuzingatia 18% ya nguvu zao na Kissinger akasema wanategemea full war in mid August so kwa makisio ya wamarekani wanauhakika ni more than hiyo asilimia ivyo ndio maana wamepata ujasiri wa kutangaza ivyo.
Aaaaah shangazi leo una nini kipenzi chetu? Mbona hii si kawaida yako.
Ona Urusi yasemekana kapeleka wanajeshi kati ya 150,000 hadi 250,000. (Hizi taarifa wamezisema west)
Ukubwa wa jeshi la Russia ni jumla ya kama 1,350,000. (Kiufundi Sasa hii ndio tunaita Data in term of figures, ambayo ndio basic ya reasoning juu ya kile kilichosemwa)
Kauli ya 18% imetolewa Urusi, na baadhi ya wataalamu wa mambo ya kivita walilisema hilo.
Tukitafuta 18% ya 1,350,000 ni 243,000.
243,000 ni jibu linalozijibu hoja zote 2, ya west kua Urusi wamepeleka wanajeshi kati ya 150,000 hadi 250,000. Vile vile inajibu ama kushahabiana na kile urusi wana dai kwamba wametumia 18% ya nguvu la jeshi lao.
Sasa shangazi huoni kama madai yako ya kusema 18% ni uongo hayana msingi wowote? Ni madai ambayo yamejaa hisia za kudanganywa ila sio kweli?
Issue ya jana ya kaka Mathanzua, kitendo cha kusema kua hizo data katika figures sio sahihi maana yake alikuwa na data(facts) ambazo alizitumia kama msingi wa madai yake.
Sasa hapo shangazi huoni kama kusema wako nje ya point wale walio-omba basic reference (facts) zake ndugu Mathanzua hauko sawa?
Na mimi niseme ni miongoni mwa watu tunao fatilia mazungumzo yenu na
Galip Vrl
Alicho kiona
Grand Master ni sawa na kile nachokiona baina yenu. Data ni facts na statistics ambazo hutumiwa kwa lengo kubwa la kufanya analysis ama references.
Hizo facts na statistics are not merely kwamba ni figures (number). Mfano mtu anakwambia sim yako imedukuliwa data. Maana yake ni kua imedukuliwa taarifa zako.
"Figures" zinaweza kua kijisehem katika hizo taarifa. Figures ni moja y aina za Data.
So na mie naungana na wale kusema kua walioomba data walikuwa sahihi, hawakua OP.
Hapa naona kama wenzangu, nyie wawili kila mmoja ana maana yake kuhusu data. Lakini mtambue mwenye maana sahihi ya data ndie aliye sawa kwenye hoja zenu.
Maana ya Data (Nje ya itumikavyo katika technology) ⚡Things known or assumed as facts, making the basis of reasoning or calculation.
Jana Kaka Mathanzua alichemka kwenye kujitetea hilo halina ubishi. Na hadi sasa hakuna aliye tetea hoja yake zaidi ya kuhamisha magoli.
Ajabu upande ulio hamishiwa magoli unapwaya, hizo 18% jana niliziona ingawa sikutaka kulisemea. Na leo umeirudia lakini sio hoja yenye mashiko. Inajibika saaana tu kama mtu yupo more detailed unless not.
Naungana na wengine kuwapongeza kwa mjadala wenu! Muendelee hivi hivi hakika inapendeza. Mtu akisema ndio atoe sababu, na akisema hapana atoe sababu. Inaongeza sana uwezo wa kufikiri.