Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unazungumzia hili chuma au
 
Huyu ni @k254 karudi kivingine 🤣🤣🤣
 
Mrusi atamaliza vita hii akiwa amechoka mno - tayari kashaanza kuomba msaada wa IRAN,, sasa ndugu yangu IRAN naye ana silaha za maana kweli dhidi ya hizo za US na washirika wake.
The end justify the means.....Kama atashinda vita, na hicho ndicho kilichopo, suala la kuchoka halipo...unadhani baada ya vita Ukraine as a nation and state itakuwepo?! Umesikia kinachotokes Sasa huko Ukraine?! Wasaidizi wake wakuu wa huyo Zele wanatimuliwa. Askari in hundreds ' wanatoroka' vita. Sitashangaa Kama jenerali mmoja wa Ukraine ataandaa maasi ya jeshi siku si nyingi zijazo...au 'msaliti' mmoja anaweza kujitokeza na kumfanyizia huyo comedian...let us wait and see....things are not good for Zele and his nationalists
 
Zelenski ana washauri wa michongo yaani amfukuza kazi mkuu wa usalama wa nchi wakati wa vita!!

Hata hivyo jamaa hakuwahi kuwa jasusi ila alikuwa ni mfanyabiashara na rafiki yake mkubwa Zele.

Ila hivi vitendo vya sasa vya bwana Zelenski vinatia wasiwasi kuhusu mstakabali wa Ukraine kivita.

Tatizo kubwa ni kwamba Russia ina majasusi wengi sana na wapo katika nchi karibia zote zinoizunguka.
 
Wana wa Israel ni watu wote waaminiao katika bwana

Hivyo basi kuna waisrael kutoka Russia England Argentina Togo Singapore china burundi Yugoslavia Tanzania Botswana Finland N.k

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Usitegemee ushindi wa mezani. Kwa taarifa yako, Zelensky analindwa na makomandoo 34 wa US na NATO. Ndiyo maana haogopi kwenda frontline, na wala Russia hamfanyi kitu.

Kwamba wanajeshi wa Ukraine wanatorokea kwa Warusi, hizi ni propaganda za kitoto sana. Crimea soon inarudi. Donbas mmeshindwa kuichukua.
 
Wana wa Israel ni watu wote waaminiao katika bwana

Hivyo basi kuna waisrael kutoka Russia England Argentina Togo Singapore china burundi Yugoslavia Tanzania Botswana Finland N.k

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
But Wayahudi (aka wana wa Israeli) walimsulubisha Kristu. Hatari!
 
Ulitaka afanyaje?

Huyo mkuu wa ukachero wa Ukraine alikuwa anawasiliana moja kwa moja na askari wa Russia na kuwapatia locations na plans zao.

Askari wengi wa Ukraine waliokataa kujisalimisha kwa Russia walichomewa na jamaa wakauawa ama kukamatwa.

Ameshiriki katika black market, ubadhirifu wa fedha na vifaa vya misaada, na pia kupanga njama za kumwondoa Zelensky.

Ameshiriki kuratibu silaha za NATO kutelekezwa kwa askari wa Russia kwa mapatano ya kufidiwa yeye binafsi na watu wake wa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…