Sasa kama ni sanctions violations si watume jeshi la Umoja wa Mataifa kuipiga North Korea kama wana jeuriUN yalalamika kuwa kutumia wataalamu wa North Korea kwenda kuijenga Donbas ni ukiukwaji wa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya North Korea
Mwambieni UN aache kulialia, Urusi (Super Power) imesharidhia jambo hilo.
View attachment 2296052
| UPDATE 12:51 PM EDT -- Concerning the "ULTIMATUM" reported above, Russia's Ministry of Foreign Affairs has confirmed Kiev is REFUSING to negotiate at all with Russia. |
| UPDATE 2:05 PM EDT -- With regard to GAZPROM's declaring a "force Majeure" this is now explicitly CONFIRMED. The company has thus decided to void itself from all contractual obligations. Gas will stop flowing to Germany through Nord Stream 1 indefinitely. |
Parameters hapaUN yalalamika kuwa kutumia wataalamu wa North Korea kwenda kuijenga Donbas ni ukiukwaji wa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya North Korea
Mwambieni UN aache kulialia, Urusi (Super Power) imesharidhia jambo hilo.
View attachment 2296052
Ukweli ni extremist. Why kushikia bango tabia mbayqYes yes isome halafu itafsiri kwa umakini, neno kwa neno... Sentence kwa sentence.
Russia kumejaa homophobia, of course na baadhi yetu tunajivunia hilo.
Endelea kua updated
View attachment 2295974
Wakati huo tulikuwa tuna tawaliwa kwa hiyo walifanya walivyotaka,lakini sasa tuko huru,kwa hiyo maamuzi tunayo sisi kama waje au wasije.Naona kuna kila dalili historia kujirudia 😄😄😄😄😄, safari hii haturudii makosa View attachment 2296072
Haki za mashogaMkuu umebugi kukaa upande wa dikteta uchwara njoo marekani sehemu haki za binaadamu zinapozingatiwa!
Sisi waafrika tupotupo Tu.Russia Announces Civilian Drills for NUCLEAR ATTACK
Moscow is announcing to its citizens the city will be conducting NUCLEAR ATTACK CIVILIAN EVACUATION DRILLS, complete with Outdoor SIRENS, TV and Radio Interruption Warnings, instructing citizens to proceed to nuclear attack shelters.
The dates of these "Drills" are not yet known, but the citizenry is being told the Drills will be upcoming and there will be SEVERAL of them.
Citizens are also being advised to have an evacuation bag with some clothing, medicines, money, ID, and hygiene products in it, so they can grab-and-go.
More details as I get them . . .
Wakija tuwe tunawagonga, tuwape mimba ili black race iongezekeNaona kuna kila dalili historia kujirudia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1], safari hii haturudii makosa View attachment 2296072
Yaani mmeshasahau juzi tu Trump alimtumia Putin kudukua taarifa za uchaguzi wa Marekani na kubadili matokeo ili apite??Hakuna kitu kama iko izo ni story za mtaani wote top5 wenye nguvu za kijeshi duniani hakuna anayeweza kumpandkiza spy ndani ya izo nchi mpaka kufikia kupewa cheo kikubwa kama waziri mkuu , siyo russia kwa Uk na wala siyo Uk kwa Russia jambo ilo ni gumu wote awa wana strong intelligence iyo ni story kama zilivyo story nyingine
Hivi baadhi ya viongozi hawa wa EU wanaelewa somo kweli au wapo wapo tu, bendera fuata upepo wanaendelea kucheza blindly ngoma za Biden na Boris Johnson wamesahau kabisa kwamba Uingereza ilijitoa EU muda mrefu tu, kwa hiyo UK hana interest za EU at heart wao wanafungamana zaidi na Wamerikana kwenye so called special relationship - hapo unategemea nini kama sio Waingereza kutumiwa na Wamerikani kuwapotosha EU dhidi ya Urusi wakati Uingereza wala si member wa EU,alisha jiondoa kwa hiari yake mwenyewe bila ya kulazimishwa na mtu. Sijui EU watajitambua lini kwamba wanatumiwa na US na UK for Geopolitical reasons specifically trying to contain Russian influence Globally,wapo radhi kufanya lolote kutimiza/tekeleza malengo yao ovu.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2295555
Waliowekewa vikwazo maana yake mmewatenga Sasa wao wamekubaliana kufanya kazi pamoja waacheni kama vip watoleeni vikwazo muwe kundi moja kwenye maendeleoUN yalalamika kuwa kutumia wataalamu wa North Korea kwenda kuijenga Donbas ni ukiukwaji wa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya North Korea
Mwambieni UN aache kulialia, Urusi (Super Power) imesharidhia jambo hilo.
View attachment 2296052
Hapo ndiyo muamini kuwa mrusi yuko na akili nyingi sana[emoji1787][emoji1787]raia wa kiduku wote ni wanajeshi kamili tena siyo walio kunywa maji ya bendera bali walio kunywa damu ya bendera kabisa [emoji1787][emoji1787] hapo kuna akili chini ya kapeti sasa miji iliyo tekwa na urusi italindwa na mr Kiduku wakati majeshi ya urusi yanateka miji mipya ....ndiyo maana siku zote nasema NATO NA USA wakiendelea kuleta upuuzi basi mrusi atafanya kitu ambacho USA anakiogopa kuliko vyote ....yani kumpatia KIDUKU MR KIM MABOMU YA NYUKILIA YENYE NGUVU KAMA 500 HIVI ....Hapo lazima marekani amrambe miguu putini asifanye hivyo ...hizi ni dalili ya kupatiwa kiduku mifumo hatari ya urusi ya nukeKtk kuimarisha mahusiano baina ya North Korea na Jamuhuri mbili za Watu wa Luhansk na Donetsk huko Donbas, Kim atatuma wataalamu wake wakafanye kazi ya kuzijenga jamuhuri hizo zilizochakazwa na vita vya Ukombozi.
View attachment 2296047View attachment 2296048
Khatma ya hizo jamhuri zishajulikana zipo huru nawanauwezo wakuamua mambo yao yandaniSo jambaz amevamia kwako afu anasema utoke mikono mituou kweli na wewe unatoka?
Ukraine Isha weka wazi Russia itoe majeshi yake ndipo mazungu mzo yaanze.tatizo lipo wap hapo? Kuhusu Donbas na luhask ni mambo ya ndani ya Ukraine yanatakiwa ya malizwe ndani ya Ukraine Kwa Usimamizi wa Umoja wa mataifa.Embu fafanua mkuu
Ndio muda wa kutafuta sifa huu.Ktk kuimarisha mahusiano baina ya North Korea na Jamuhuri mbili za Watu wa Luhansk na Donetsk huko Donbas, Kim atatuma wataalamu wake wakafanye kazi ya kuzijenga jamuhuri hizo zilizochakazwa na vita vya Ukombozi.
View attachment 2296047View attachment 2296048
This is comes right ......Kwenye hii article kuna sehem kuna maneno haya
View attachment 2295969
So hao Magasho na wao wanataka waingie vitani wakichape na Mrusi [emoji2960][emoji23]
Kwamba huelewi kiswahili?Kuna maswali hapo huja jibu?Mkuu umevuta marijuana ya wapi?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ktk kuimarisha mahusiano baina ya North Korea na Jamuhuri mbili za Watu wa Luhansk na Donetsk huko Donbas, Kim atatuma wataalamu wake wakafanye kazi ya kuzijenga jamuhuri hizo zilizochakazwa na vita vya Ukombozi.
View attachment 2296047View attachment 2296048