Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vita hii haitatoa mshindi, cha msingi si muda mrefu wote wawili watakaa mezani wayamalize kiadabu kwa pande zote mbili.
 
Million 20 wapi mkuu,Dunia mzima?Maana overall in their plans wanataka kubakisha only 500 million humans Duniani by 2030.Herd culling ni extremely intense mkuu na inaendelea as we speak.

Kila agent amepewa target yake. Corona agent imepewa target ya 20 million. WW3 imepewa target ya 230 million (3% of the world's population kama ilivyokuwa WW2).

Then kuna agents zingine harsher zaidi kadiri siku zinavyoyoyoma.
 
Vita hii haitatoa mshindi, cha msingi si muda mrefu wote wawili watakaa mezani wayamalize kiadabu kwa pande zote mbili.
Masharti yetu sisi warusi weupe na weusi yanajulikana
DPR na LPR haya tayari yashakua mataifa huru na lazma KIEV itambue hili suala kwenye katiba yao
MAURIOPOL KHARKIV ZAPORINZHE namaeneo mengine yatakayotwaliwa yatakua sehemu ya RUSSIA FEDERATION
Pia wasisahau kuandika katiba yakwamba hawatajiunga na upande wowote wakijeshi kutokea MAGHARIBI nakwengine
Pia wasisahau jeshi lao la KIEV litatakiwa lijengwe chini yaungalizi wa KREMLIN
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila agent amepewa target yake. Corona agent imepewa target ya 20 million. WW3 imepewa target ya 230 million (3% of the world's population kama ilivyokuwa WW2).

Then kuna agents zingine harsher zaidi kadiri siku zinavyoyoyoma.
Sina hakika ya figures zako,na nikiri kwamba sijawahi kuziona,ila kama una source naomba na mimi nizione.🙏
 
🇷🇺🇺🇦⚡ A strike of high-precision weapons in the Odessa region destroyed storage facilities with ammunition for weapons supplied by the United States and Europe - Russian Defense Ministry
Kuna nani yule member alisema anakoshwa vilivyo na habari hizi za kudunguliwa na kuharibiwa kwa silaha za NATO! HAHAHAHA
 
Nukta nyingine muhimu ya shogaism na bashaism hujaitaja mkuu. Samahani kwa usumbufu lakini. Najua Pro-Putin mlivyo busy sana kwa sasa 🙂
 
its true.. kama angekuwepo angel markel madarakani asingemuwekea vikwazo Russia ata kidogo yule bibi alikuwa mzalendo wa kweli kwa nchi yake akifikiria hatua ya uchumi iliyofikia germany leo hii waje wa risk kwa ukraine uchumi wa germany kwa 30% unabebwa kwa cheap energy ya Russia kama unakumbuka kipindi kile 2014 Russia walivyoichukua Crimea matekani alipiga sana kelele germany amwekee vikwazo Russia yule bibi aligoma
 
Mrusi anapigwa weweeee. Acha hizooo
warusi wa bongo wakikusikia mtabishana hadi asubuhi, hawataki kabisak kusikia kwamba Putin ana upungufu wa silaha hasa hizi za kisasa na sasa anatumia zile za kisovieti ya kale ambapo accuracy yake ni very poor ndiyo maana zinaishia kupiga makazi ya watu badala kulenga maeneo yaliyokusudiwa ya kijeshi.
 
Yule bibi ana akili sana siyo I left I zoba lililipo
 
NATO wakamsaidie UKRAINE[emoji4][emoji4][emoji4]
Maana RUSSIA hana silaha zakutosha ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiduku sio mwanaume tu ni mwanaMuMe
 
Uwezo wa kuipiga Ukraine ata kwa dk60 tu russia anao sema anataka mteseke wote kama mnavyoteseka muda huu vilio kila kona ulaya uko mafuta bei juu gesi imepelekea mpaka ndugu zenu poland wameanza kuokota kuni yani sikuwai kufikiria kama kuna siku uerope watafikia hatua kama wanayopitia muda huu tuliaminishwa ulaya kuna watu smart wanamipango ya miaka 50 mbele mara hoo wale watu ni magenius mainstream media zilitu brainwash sana tunamshukuru Russia kutuonesha uhalisia wa wazungu .....Viva putin nasisi pro russia tunataka vita iende mdogo mdogo alafu tuone nani atahumia zaid
 
Mkubwa ni mkubwa tu, taratiiibu wanaanza kujirudi wenyewe😂😂😂 njaa Haina mbabe


‼️ 🇪🇺 🇷🇺 The European Union is going to allow partially unfreezing the finances of Russian banks that have fallen under sanctions to allow transactions for food trade, European media report‼️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…