Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahahhahah huyu muhuni asije akatuma vikosi kwa ajili ya kuwachapa Ukraine kwa mlango wa ukandarasi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ simuamini kiduku akili zake za hovyo sana!
 
Naona kuna kila dalili historia kujirudia ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„, safari hii haturudii makosa View attachment 2296072
Kama ni mademu kama hao waje tu. Kuna nyumba ya babu yangu na bibi hazina wakaaji pale kijijini. Tutawakaribisha nyumba zipo nami nitaenda likizo huko mwisho wa mwaka ili tukajumuike pamoja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ najua wengi watakuwa wajane
 
Hivi hata kama huna macho, hata ngurumo na kilio cha NATO husikii kua Russia anawachapa kotekote??

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Katoa aina gan za vifaru
Vya west au vya Urusi vilevile, wao sio wajinga, na hawawezi kuweka weapons zao superiour zikamatwe Urusi ijifunze design, hyo haipo
Mkuu, historia inaonyesha kwamba Taifa lilo kubuhu katika wizi wa design za silaha Zach kivita ni US sio Urusi - ninacho sifia media za maghabi zimefanikiwa sana kuwachota akili/brainwash watu wengi Duniani mpaka wana amini kwamba ground breaking designs za silaha za vita zinaundwa Merikani tu, mataifa mengine wanaziiba na kuzi-copy, hiyo si kweli hata kidogo ebu someni historia ya kweli kwanza sio propaganda.

Ngoja nitoe mifano michache kwanza: tuanze na jet fighters: Pioneers wa jet fighters ni Wajerumani Me-262, jet engines ni Wajerumani kampuni ya BMW, waingereza udai kwamba wao ndio wa kwanza kuunda jet engine by Frank Whittle,nilitembelea aliko zaliwa Whittle kuangalia na museum lakini wanakubali kwamba Wajerumani waliwatangulia waingereza katika mbio*NB kwa leo naishia hapa, ntaendelea kufafanua zaidi kesho.
Hali mbaya US ataki kukubali kama ameshapoteza kwenye hii vita swali linakuja je ni nchi gani ya uerope itakayokubali kuruhusu ardhi yake iwe war field kwa ajili ya USA?
Hali mbaya US ataki kukubali kama ameshapoteza kwenye hii vita swali linakuja je ni nchi gani ya uerope itakayokubali kuruhusu ardhi yake iwe war field kwa ajili ya USA?
World war zote zilianzishwa in Continental Europe, na hicho ndicho US anakitaka - kisaikolojia US wamekwisha kata tamaa, na wameanza kuona Mataifa mengi Duniani yameanza kuikacha US kimtindo - kwa bahati mbaya hulka za Uncle SAM hakubali kushindwa na kuadhirika atatanya lolote ili aonekane bado yeye ni zaidi - kutokana inept EGO ya watu hawa, binafi nahisi uwezekano wa kufumuka WW3 hupo sana na chanzo watakuwa Wamerika wenyewe, How I wish Trump was still in office, huyu jamaa mwingine siyo, mchezo wake, dharau na chuki binafsi na Putin ndio kitakuwa chanzo cha kuiangamiza Dunia nzima - wala hilo yeye halioni -yupo yupo tu na jeuri yake.
 
Mambo yanavyo onekana si ajabu Waziri mkuu wa hivi sasa akahachia ngazi, binafsi sioni kama ma major industrialist wa Ujerumani, mfano: Krupp, BASF,VW,Mercedence Benz,BMW etc watakubali kufunga viwanda na watu kukosa ajira ili wamfurahishe Biden - wenye viwanda watashinikiza Waziri mkuu aondolewe madarakani fasta ili kunusuru uchumi wa Ujerumani - my opinion.
 

Mkumbushe pia kwamba Marekani haibi ubunifu tu. Ana mkakati very comprehensive & pervasive wa kuhamishia kwake wataalamu bora wote duniani. Huu ni utumwa wa kiwango cha Bahari Pasifiki.

Anadidimiza siasa na uchumi wa taifa fulani kwa makusudi akijua kwamba wasomi na wafanyabiashara hawatapata humo mazingira rafiki na tulivu ya kufanya maendeleo. Option? Kukimbilia Marekani na ukweni kwake Ulaya.

Wasomi na experts wabobezi wa fani zote wa Ghana, Kenya, Tanzania, Uganda, Nigeria, Misri, Yemen, China, Israeli, Palestina, Pakistani, Yugoslavia, Chechnya, Brazil, Uturuki, Zanzibar, Kuwait, Venezuela, Morocco, India, South Africa, Korea (N & S), Vietnam, Sri Lanka, na hata Rwanda na Burundi. Thousands and thousands of brilliant minds wananyonywa na Mmagharibi.
 
Labda kama JB akiamua kuwatuliza kwa kuwalipa wote fidia. Maana kwa kuhonga naye hajambo.
 
Hizo dakika 20 zilizosalia usikute MNATO akazitumia vizuri. Nasikia Marekani kawaida ni gamechanger. Ngoja tungoje.
Game changer kwa vibaraka wake sio kwa mcheza Chess nguli toka Kremlin...Anasukuma kete tu Gayden anazidi kwenda chaka mwishowe atakimbilia mkoba wa Nuclear ndio atajua hajui ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Labda kama JB akiamua kuwatuliza kwa kuwalipa wote fidia. Maana kwa kuhonga naye ajambo.
Pedeshee Papaa wa Ngwasuma Biden mzee wa Toliki ngayo na nzambe, amwage midolali tu vita iishe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ vinginevyo kazi iko pale pale na sahizi naskia jibaba medvedev amesema kikosi kiwakunyuge Gaykrains kwa mtindo wa "Surgical Strikes" yani mashambulizi ya upasuaji wa miili ya Gaykrainians Troops. Watachanwa kama marimba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ