Anataka vijana wake wakishatua wachokozwe na Gaykrainians ili apate sababu ya kusema raia wake wananyanyaswa katika nchi huru 😂😂😂 atawajibu kwa kichapo tu![emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kukuta ndio mkakati huo
Hongera sana kwaoNaona raia wa Sri Lanka wameamua 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2297044
Alindwe kwa nguvu zoteYule mwanamama governor wa benki kuu ya urusi ni genius, akili zake sio za kawaida.
Hii ni hatari sana kwa Taifa letuSince 1978, wars are not our interest and priority. Afadhali kuachilia rasilimali zetu na utu wetu wote kuliko kwenda vitani. Hii ndiyo mind-set ya Bongo.
Hutaki unaacha, sio lazima. Unaniagiza nikupe ushahidi mimi mfanyakazi wako? Au uzi wako huu? Na hii ukataeView attachment 2297113
Hiyo ni mashine ya vita sawa na hii hapa namba RF-95070. Utajua mwenyewe ni nini mi nakupa before and afterIyo ni nini
Kwa hiyo wewe ndio unajua Sana reserve ya silaha za Germany kuliko Waziri wa Ulinzi wa Germany?Ujerumani huwa ina silaha kidogo na zenye ubora, bajeti yake imeongezwa mwaka huu, mara zote huwa wana bajeti ndogo. Nchi inayonunua silaha kwa fujo sasa hivi ni Poland ukilinganisha na uchumi wake.
Misaada iliyopelekwa Ukraine inaelekea $3 billion hivyo sio mingi hata. Silaha zimetolewa kwenye reserve ndio ikapewa Ukraine, sasa Ujerumani wana reserve ndogo
Huh halafu hii reply sikuiona.
Yes bro nadhani hiyo ni kwa mujibu wako. Em nenda huku ukawasikilize wenye Ukraine yao wanasemaje kuhusu hilo then urudi tuje tuendelee na mjadala wetu wa kichapo cha Gaykrain.
Information about Kharkiv | Kharkiv Ukraine
An english written website for travelers seeking information about kharkiv (Ukraine).www.kharkovinfo.com
Kwenye hiyo link ukifika hii sehem kaa chini uisome kwa umakini usipepese jicho ukakosa point muhim.
View attachment 2297100
Kingine nasikia uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba washabiki 60k. Jiji la Kherson lina idadi ya watu kama 290k (Acc. to Sensa ya 2017). That means viwanja vitano tu kama vya Taifa stars ile sehem ya mashabiki unakalisha wakazi wote wa Kherson.
Sasa kama Kherson (Ambayo yenyewe ni jiji) ina "Kharkov city" ndani yake (Yani jiji ndani ya jiji) dah Shukran sana bro kwa elim hiyo.
Wapi nilisema najua sana silaha za Ujerumani?Kwa hiyo wewe ndio unajua Sana reserve ya silaha za Germany kuliko Waziri wa Ulinzi wa Germany?
That will be nato suicide...unachagua mahala pa kupigana na mamba iwe mtoniWengine wanadai kwenye winter hapo ndio muda mwafaka wa kumwinda na kumgaragaza Mrusi because atakuwa amechoka kiasi cha kuhurumiwa.
Kwamba Ukraine wametumika kama chambo tu ili kumnasa, na pia kuandaa njia front line ili wababe waje kufunga kazi.
Ni majigambo tu ama kuna ukweli umefichika hapa? MUDA UTASEMA.
Hapa wajomba nina swali.Waporish nao wamemwaga uchunguzi wao kupitia tiss yao
[emoji1200][emoji1255] Assessment by the Polish intelligence services of the situation in Ukraine
The Intelligence Agency (AW) of the Republic of Poland has prepared a report analyzing the current situation in Ukraine. According to the document, a catastrophic situation has developed in the formations of the Ukrainian Armed Forces.
The number of irretrievable losses is more than 300 people per day, and this figure is underestimated by the office of the President to reduce the likelihood of a public outburst and create panic among civilians and the military. The Psheks emphasize that the systematic strikes of the Russian Armed Forces on command posts and training centers of the Armed Forces of Ukraine have led to the death of about 4,600 of the most trained military personnel over the past three months, including senior officers, instructors and mercenaries.
The report notes that unprepared formations are sent to the Donbass, the professional level of officers from the battalion commander and below is weak, the functions of commanders in the troops are often performed by fighters of the national battalions. Since May of this year, almost all control functions in the planning and conduct of hostilities have been taken over by foreign advisers from the United States, Great Britain and Canada. At the same time, the fact of their presence at command posts is kept secret in order to prevent the entry of NATO military personnel into the captivity of the Russian Armed Forces.
It is emphasized that Zelensky's office has set the task of keeping the Slavyansk-Kramatorsk-Toretsk line at any cost until the end of August this year.
It is indicated that at present, accelerated training of Ukrainian military personnel is being carried out in the west of the republic and on the territory of Great Britain and Germany. By the end of August - beginning of September, it is planned to create an additional grouping of 30 thousand people, the basis of which will be four new brigades.
It is noteworthy that the Polish special services are skeptical about Kyiv's statements about the preparation of these four formations in Ukraine. Warsaw does not rule out that the command of the Armed Forces of Ukraine is misleading the allies in order to obtain new weapons.
According to AW, the leadership of Ukraine also counts on the introduction of two Polish brigades into the western regions of the country - 6 air brigade and 25 air brigade, which, according to the Ukrainian General Staff, will release additional combat-ready units and formations of the Armed Forces of Ukraine in August to be sent to the eastern front.
At the same time, the report notes that the American 155-mm M-777 howitzers delivered to Kyiv are not always used for their intended purpose. Instead of conducting counter-battery combat, guns are often used to bombard cities. At the same time, military personnel of the Armed Forces of Ukraine, after accelerated training, are unable to independently maintain complex weapons and military equipment systems, therefore foreign instructors from among mercenaries are often in artillery positions.
Hutaki unaacha, sio lazima. Unaniagiza nikupe ushahidi mimi mfanyakazi wako? Au uzi wako huu? Na hii ukataeView attachment 2297113
Hii ni kherson oblast.ina wakazi zaidi ya milioniHuh halafu hii reply sikuiona.
Yes bro nadhani hiyo ni kwa mujibu wako. Em nenda huku ukawasikilize wenye Ukraine yao wanasemaje kuhusu hilo then urudi tuje tuendelee na mjadala wetu wa kichapo cha Gaykrain.
Information about Kharkiv | Kharkiv Ukraine
An english written website for travelers seeking information about kharkiv (Ukraine).www.kharkovinfo.com
Kwenye hiyo link ukifika hii sehem kaa chini uisome kwa umakini usipepese jicho ukakosa point muhim.
View attachment 2297100
Kingine nasikia uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba washabiki 60k. Jiji la Kherson lina idadi ya watu kama 290k (Acc. to Sensa ya 2017). That means viwanja vitano tu kama vya Taifa stars ile sehem ya mashabiki unakalisha wakazi wote wa Kherson.
Sasa kama Kherson (Ambayo yenyewe ni jiji) ina "Kharkov city" ndani yake (Yani jiji ndani ya jiji) dah Shukran sana bro kwa elim hiyo.
Duniani kote benki kuu na hazina Huwa haziingiliwi na rais ila Huku kwetu ukimuondoa marehemu kibona na Havana Ben ndulu.wengine. walikuwa wanapokea amriNiliwahi sema muda sana humu. Waziri wa Fedha wa Urusi na Gavana wa benki yule Elvila Nabiullina wana uwezo mkubwa sana. Na bahati nzuri hizo sekta haziguswi kisiasa hata Putin hazichezei. Sio kama Roscosmos ambako Heads wake huwa wanabadilishwa mara analetwa former Prime Minister.
Na Putin asingemuondoa Waziri wa Ulinzi kabla ya Sergei Shoigu yule aliyeanzisha reforms basi mambo yangenyooka sana kuliko leo. Yule ndio alifanya Russia ianze hata kufanya outsourcing na hatimaye Rheinmetall ya Ujerumani wakatengeneza training facility mpya ndani ya Russia. UlarVagonzavod wakaanza modernization ya vifaru kwa kasi na ndege nyingi zikawa modernized. Alikuwa performance oriented akakwaruzana na walaji akaondolewa akapewa cheo gani sijui
Huh halafu hii reply sikuiona.
Yes bro nadhani hiyo ni kwa mujibu wako. Em nenda huku ukawasikilize wenye Ukraine yao wanasemaje kuhusu hilo then urudi tuje tuendelee na mjadala wetu wa kichapo cha Gaykrain.
Information about Kharkiv | Kharkiv Ukraine
An english written website for travelers seeking information about kharkiv (Ukraine).www.kharkovinfo.com
Kwenye hiyo link ukifika hii sehem kaa chini uisome kwa umakini usipepese jicho ukakosa point muhim.
View attachment 2297100
Kingine nasikia uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba washabiki 60k. Jiji la Kherson lina idadi ya watu kama 290k (Acc. to Sensa ya 2017). That means viwanja vitano tu kama vya Taifa stars ile sehem ya mashabiki unakalisha wakazi wote wa Kherson.
Sasa kama Kherson (Ambayo yenyewe ni jiji) ina "Kharkov city" ndani yake (Yani jiji ndani ya jiji) dah Shukran sana bro kwa elim hiyo.
Kama una matatizo ya macho hiyo ni juu yako, bahati nzuri umeona ni Su-34 ya Russian Airforce. Wacha nikupe na hii ili macho yako yasione zaidi. Kwahiyo sahivi umetoka kubisha ndege zimedunguliwa wapi na umefikia kubisha nimeonaje namba. NimechekaUmeisomea wapi iyo namba kwa hapo kama sio kuongopeana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].yani hapo unaweza kujua ni kitu gani au we mchawi mwenzetu
Hii kuhusu Oblast, Kherson kama Oblast sikupingi. Rejea kwenye kile kikichoulizwa kuhusu Kharkov na Kharkiv.Bro ninauwelewa vizuri sana kuhusu ivi vitu.kwanza unatakiwa kujua kuwa kuna KHARKIV CITY( mkoa au mji)
Alafu kuna KHARKIV OBLAST(JIMBO).kwa wenzetu oblast ni jimbo lenye mikoa zaidi ya hata sita.mfano mzuri kwarkiv oblast ina mikoa 7 na watu milioni 2 na nusu
Eiwaaa sasa hapa hapa ulipoingia ndio penyewe... endelea kushuka chini kwenye kipengele cha Administrative division ya Hii oblast ya Kherson. Kwenye hii list tutafutie Kharkov aliyo ulizia Bwana Utam unayo dai ipo hapa.Hii ni kherson oblast.ina wakazi zaidi ya milioniView attachment 2297137
Hiyo meza ni kutoka hapo wapi😁😁😁isije kuwa ni kutoka pale tuu madiziniHáhahahahaha Putin ana meza yake moja ndefe hapa na Manzese,wale wazinguaji wote hukaribishwa hapo
Nalog off Z
Wapi nimesema naonyesha Su-34, 11. Mnanilipa? Kama hamtaki si mnaacha