Hapo katikati ruble Serikali iliingilia Kati na kuirudisha nyumba mpaka 65 kwa Dola Ili kulinda soko la Russia Ili wateja wasije kushindwa kununua Kama ifanyavyo China lakini imepanda Tena.Maanake nini hapo mkuu. Kwamba rubo ndo yupo juu au ni nini hiko in terms ya economy?
Mkuu T14 Armata hasara ya vifaa jeshi ni kawaida sana kwenye vita. Hii ni kitu kilichotarajiwa. Kwetu sisi hasara ni vifo vya wanajeshi na majeruhi. Hayo mavifaru, magari vita, artilery yanetengenezwa kila siku yaani ni kama kufyatua todali. Wataalamu wapo wakutosha. Wanachoharibu ni vyuma tu. Taaluma ipo pale pale. Ndio maana israel huwa inadeal kuua wataalam wanaacha kushambulia plant.View attachment 2297090
Na nyinginezo
Uwezi kusikia media za magharibi wala jeshi la Zelensky wakilizungumzia hilo - masaa yote wanazungumzia uwezekano wa Putin na wasaidizi wake kuburuzwa mahakamani the Hague kujibu tuhuma za war crimes - wanajifanya kusahau mega war crimes commited by NATO/US over the years - wao wanajiona wapo juu ya sheria.Pata maendeleo ya mtanange.
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.
💥High-precision weapons strikes of the Russian Aerospace Forces against missile and artillery weapons depot of 14th Mechanized Brigade of AFU in Soledar in Donetsk People's Republic have destroyed 19 units of armoured equipment and up to 40 nationalists.
💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have destroyed US-made Harpoon missile launcher near Usatovo, Odessa Region.
💥High-precision, long-range sea-based weapons have hit temporary deployment point of 35th Marine Brigade in Dachnoye, Odessa Region, where reservists for the Ukrainian Armed Forces were being trained. More than 60 personnel have been destroyed, as well as more than 10 foreign-made military vehicles.
💥As part of counter-battery warfare, 5 platoons of Grad multiple-launch rocket systems of 48th and 58th motorized infantry brigades, 6 artillery platoons of D-20 howitzers and 9 artillery platoons of D-30 mounts in Kurakhovo, Novomikhailovka, Konstantinovka and Georgievka in Donetsk People's Republic have been neutralized.
💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have hit 7 command posts, including units of 63rd Mechanized and 61st Infantry Brigades near Yavkino, Bereznevatoe, Visunsk and Kaluga in Nikolayev Region, 128th Mountain Assault Brigade in Verkhnekamenskoye district in Donetsk People's Republic, and 92nd Mechanized Brigade in Dolzhik district of Kharkov Region.
▫️8 depots with missile and artillery weapons and ammunition have been destroyed near Paraskoviyivka, Kostyantinovka, Artemovsk, Novovorontsovka in Kherson Region and Ternovatoye in Zaporozhye Region, as well as 2 fuel depots of 54th AFU Mechanized Brigade near Kurakhovo in Donetsk People's Republic.
💥Russian Aerospace Forces' fighter aviation have shot down 2 Ukrainian air force aircraft in an aerial battle: 1 MiG-29 near Snigirevka, Nikolaev Region, and 1 Su-25 near Dobropol'e, Donetsk People's Republic.
💥Russian air defence means have shot down 4 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Blagodatovka, Yavorskoye, Kharkov Region, and Zugres, Donetsk People's Republic.
▫️In addition, 9 projectiles of Uragan multiple-launch rocket system have been intercepted near Vasilenkovo in Kharkov Region, as well as Novoraisk, Krasnosel'skoye, Stepnoye, and Taras Shevchenko in Kherson Region.
📊In total, 259 Ukrainian airplanes and 143 helicopters, 1,572 unmanned aerial vehicles, 356 anti-aircraft missile systems, 4,135 tanks and other armored combat vehicles, 760 multiple launch rocket systems, 3,166 field artillery and mortars, as well as 4,410 units of special military vehicles were destroyed during the operation.
#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Nitakuwa wa mwisho kuamini. Sasa, kama ni kweli basi itabidi wafwate matakwa ja Russia.West wamekubali kula matapishi Yao. Russia sio Libya
⭕️گلوبال تایمز: اتحادیه اروپا از تحریم روسیه عقبنشینی کرده است
🔰یک روزنامه چینی بر اساس تحلیلهای کارشناسان گزارش کرد که اتحادیه اروپا فهمیده که تحریمها علیه روسیه دیگر کارساز نیست برای همین قصد ندارد دیگر مسکو را تحریم کند.
⭕️Global Times: The European Union has withdrawn from the sanctions against Russia
🔰Chinese newspaper reported based on the analysis of experts that the European Union has realized that the sanctions against Russia are no longer working, so it does not intend to sanction Moscow anymore.
🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
Sio Kwamba Ni Superior kiasi Kwamba hazitaharibiwa Wala kukamatwa?Katoa aina gan za vifaru
Vya west au vya Urusi vilevile, wao sio wajinga, na hawawezi kuweka weapons zao superiour zikamatwe Urusi ijifunze design, hyo haipo
Kukomesha upuuzi huu wa USA na like mind wenzake,binafsi napendekeza Urusi ijitose moja kwa moja ie afanye full mobilization na kutangaza vita kamili wahachane kupigana vita kindugu ndugu wakihofia kuwaua waslav wenzao.Mrusi katema mkwara mkali Sana
🇷🇺🇺🇦⚡If the West supplies Kyiv with long-range weapons, the geographical objectives of the special operation in Ukraine will move even further - Lavrov
Smg haifiki kg 5 mkuuThis is comes right ......
Hivi wanajua SMG tu in wastani wa kilo 5 hahaaaaaaaa.....Yaani hapo warusi watatumia makofi na fimbo to STRAIGHTEN them. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hollywood movies zilitu brain wash eti komandoo mmoja wa USA anapiga kambi nzima peke yake[emoji16][emoji16]
Kazi iendlee
[emoji845][emoji635][emoji1255] Foreign Minister Sergey Lavrov: the geographical tasks of the special operation have changed, now it is not only the LPR and the DPR, but also a number of other territories[emoji845]
Bahati nzuri Putin, Maria Zakharova, na Medvedev ni members humu JF. I hope they are taking notes. Japo sie Pro-Somebody tusingependa ^car-bee-sir^ wapate hizi taarifa nyeti.Kukomesha upuuzi huu wa USA na like mind wenzake,binafsi napendekeza Urusi ijitose moja kwa moja ie afanye full mobilization na kutangaza vita kamili wahachane kupigana vita kindugu ndugu wakihofia kuwaua waslav wenzao.
Putin akiwa na huruma huruma za Kipadri/Askofu Waamerika wataitumia Ukraine kikamirifu kuihujumu Urusi kiuchumi na kuhidhoofisha kijeshi - USA wako determined kweli kweli kuimaliza Urusi kwa kupitia mbinu za ku-wage proxy war kwa muda mrefu.
As I said, Putin na jeshi lake wapigane kwa kasi na nguvu zaidi wakiwa na lengo la kuiondoa madarakani Serikali ya Zelensky. Repeat, Putin akifanya makosa ya ku-delay kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake basi washauri wa Zelensky watamwambia ili kuwakomesha Warusi itabidi ashambulie St. Peterburg, Moscow na Crimea kwa kutumia roketi/makombora ya masafa marefu na kwa kuwa Zelensky akili zake ziko fyatu kidogo atakubaliana na mapendekezo hayo hatarishi ambayo yanaweza yakawa chanzo cha WW3 - my opinion.
Narudia kuwa kumbusha watu kwa mara nyingine tena kwamba kwa usalama wa Taifa la Urusi na Dunia kwa ujumla, Putin na jeshi lake wafanye juu chini kumuondoa madarakani Zelensky na Serikali yake.
Khaaa! Yaani it means ndiyo kwanza SMO imeanza, au siyo?Kazi iendlee
‼️🇷🇺🇺🇦 Foreign Minister Sergey Lavrov: the geographical tasks of the special operation have changed, now it is not only the LPR and the DPR, but also a number of other territories‼️
Siyo vita tena, umegeuka mtanange? Mlivyokolezwa na hivi vita naona sasa imekuwa sifa! Waacheni Ukraine aisee kipigo kimetosha hicho.Pata maendeleo ya mtanange.
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.
💥High-precision weapons strikes of the Russian Aerospace Forces against missile and artillery weapons depot of 14th Mechanized Brigade of AFU in Soledar in Donetsk People's Republic have destroyed 19 units of armoured equipment and up to 40 nationalists.
💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have destroyed US-made Harpoon missile launcher near Usatovo, Odessa Region.
💥High-precision, long-range sea-based weapons have hit temporary deployment point of 35th Marine Brigade in Dachnoye, Odessa Region, where reservists for the Ukrainian Armed Forces were being trained. More than 60 personnel have been destroyed, as well as more than 10 foreign-made military vehicles.
💥As part of counter-battery warfare, 5 platoons of Grad multiple-launch rocket systems of 48th and 58th motorized infantry brigades, 6 artillery platoons of D-20 howitzers and 9 artillery platoons of D-30 mounts in Kurakhovo, Novomikhailovka, Konstantinovka and Georgievka in Donetsk People's Republic have been neutralized.
💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have hit 7 command posts, including units of 63rd Mechanized and 61st Infantry Brigades near Yavkino, Bereznevatoe, Visunsk and Kaluga in Nikolayev Region, 128th Mountain Assault Brigade in Verkhnekamenskoye district in Donetsk People's Republic, and 92nd Mechanized Brigade in Dolzhik district of Kharkov Region.
▫️8 depots with missile and artillery weapons and ammunition have been destroyed near Paraskoviyivka, Kostyantinovka, Artemovsk, Novovorontsovka in Kherson Region and Ternovatoye in Zaporozhye Region, as well as 2 fuel depots of 54th AFU Mechanized Brigade near Kurakhovo in Donetsk People's Republic.
💥Russian Aerospace Forces' fighter aviation have shot down 2 Ukrainian air force aircraft in an aerial battle: 1 MiG-29 near Snigirevka, Nikolaev Region, and 1 Su-25 near Dobropol'e, Donetsk People's Republic.
💥Russian air defence means have shot down 4 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Blagodatovka, Yavorskoye, Kharkov Region, and Zugres, Donetsk People's Republic.
▫️In addition, 9 projectiles of Uragan multiple-launch rocket system have been intercepted near Vasilenkovo in Kharkov Region, as well as Novoraisk, Krasnosel'skoye, Stepnoye, and Taras Shevchenko in Kherson Region.
📊In total, 259 Ukrainian airplanes and 143 helicopters, 1,572 unmanned aerial vehicles, 356 anti-aircraft missile systems, 4,135 tanks and other armored combat vehicles, 760 multiple launch rocket systems, 3,166 field artillery and mortars, as well as 4,410 units of special military vehicles were destroyed during the operation.
#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Kazi iendlee
[emoji845][emoji635][emoji1255] Foreign Minister Sergey Lavrov: the geographical tasks of the special operation have changed, now it is not only the LPR and the DPR, but also a number of other territories[emoji845]
Wanaoendelea kung'ang'ania Magharibi the likes of sisi Wabongo naona itakula kwetu. Huu ndio muda mwafaka wa kumtambua supapawa ili njia ya maendeleo ifunguke.Russia started construction of the first nuclear power plant in Egypt
Ukweli ni ukweli tu, na wala haupingiki. Kukiri ukweli ni uungwana na busara na ukomavu (especially kwetu sie huku Bongo ambao hatuwezi kusema kwamba tunakataa kuukiri kimkakati, kama wale walio active vitani).Mkuu T14 Armata hasara ya vifaa jeshi ni kawaida sana kwenye vita. Hii ni kitu kilichotarajiwa. Kwetu sisi hasara ni vifo vya wanajeshi na majeruhi. Hayo mavifaru, magari vita, artilery yanetengenezwa kila siku yaani ni kama kufyatua todali. Wataalamu wapo wakutosha. Wanachoharibu ni vyuma tu. Taaluma ipo pale pale. Ndio maana israel huwa inadeal kuua wataalam wanaacha kushambulia plant.