Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Unfortunately most bourgeoisies from the West (those warmongers & war stakeholders) don't think through their brains anymore--MONEY & EGO come first.My Analysis
The situation now look like Europeans are losing interest in the Ukrainian crisis, becoming more and more concerned about personal problems.
Soon it may turn out that Ukraine will be alone with its problems.
Or let United State, herself play to the last.
I have some news that the United States is ready to provide fighter jets to Ukraine, Biden's decision on this issue is expected. US Air Force Chief of Staff Charles Brown said there are American planes, there are Gripen from Sweden, there is Eurofighter or Rafale. So there are a number of different platforms that could go to Ukraine.
I can't say exactly what it will be.
Day to day it becomes obviously this is the war of United State against Russia Federation. It become obviously we are after Russia, but not Peace to exist between these two neighboring countries. It become obviously we are forcing Ukraine to fight a war they don't want to.
Earlier, Bulgarian Military reported that a group of Ukrainian military personnel sold French CAESAR self-propelled artillery mounts for $120,000 per unit, with the real cost of one howitzer being about $7 million. That's like saying they sold each unit at a discount of 98.7% OFF.
My take!
I think it's the right time for us to act properly with respective of the situation. We should accept the fact that there will be no Unipolarity in the modern world. There's no way, there's no miracles we can do to prevent multipolarity from existing. We need to prepare to live that way.
We need to save faces while we can before it's too late.
From Humble Westerner
Grand Master [emoji3533]
Putin anachomoa betryTherefore, it is no longer IS and terrorism! Maajabu hayeshi!
🤭ABC News: About 15,000 Russians killed in Ukraine war, CIA believes.
About 15,000 Russians killed in Ukraine war, CIA believes
Russia classifies its military deaths as a state secret but the CIA estimates that although both sides have suffered significant casualties, Ukraine has had fewer troops killed.www.abc.net.au
HII NDIO KITU AMBAYO HUNILETA KWENYE HII THREAD👇Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.
Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.
Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.
Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.
Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.
Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.
TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.
IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)
Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.
Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.
Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.
Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Mkuu nakuongeza kwenye list ya watu makini, ufafanuzi kama huu msiache kuwapa wadogo zenu kwenye jamii zinazo wazunguka. Msiwafundishe nani yupo sawa kwenye jambo flani. Wapeni uwezo wa kupambanua, wafunzeni uwezo wa kuelewa. I do believe that, the ability to understand someone possesing is most essential katika safari yake ya mafanikio.Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.
Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.
Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.
Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.
Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.
Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.
TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.
IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)
Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.
Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.
Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.
Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Naona Pro NATO unajiandaa na kipindi kigumu cha baridi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Warusi weusi mnaendeleaje
Kuni tunazo za kutosha mkuu, kuhusu winter hatuna hofu.Naona Pro NATO unajiandaa na kipindi kigumu cha baridi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2298652
Inapendeza sana tunapobishana kishkaj tofaut na kudhalilishana.Kuni tunazo za kutosha mkuu, kuhusu winter hatuna hofu.
Hawawezi. hivi tukisema Rusia sio Iraq huwa mnaelewa maana yakeWengine wanadai kwenye winter hapo ndio muda mwafaka wa kumwinda na kumgaragaza Mrusi because atakuwa amechoka kiasi cha kuhurumiwa.
Kwamba Ukraine wametumika kama chambo tu ili kumnasa, na pia kuandaa njia front line ili wababe waje kufunga kazi.
Ni majigambo tu ama kuna ukweli umefichika hapa? MUDA UTASEMA.
Tanzania ni nchi isiyofungamana na upande wowoteKwani huoni mabadiliko mujarabu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama?
Kimya kingi kina kishindo kikuu. Kivita, hii tunaiita TACTICAL SILENCE, ili kum-confuse adui.Hivi kwanini sizisikii tena ile mikwara ya Marekani, Uingereza na European Union? Ama ndo Zele ameshatelekezwa hivyo? Maana naona siku hizi kila mtu anatafuta namna ya kujikomboa na mfumuko wa bei, upatikanaji wa nishati ya gesi, nafaka na mbolea.
Nadhani waasisi walikosea: It should have been nchi INAYOFUNGAMANA NA PANDE ZOTE. Because vya China tunataka. Marekani ndiyo usiseme. Urusi bado tungali na masalia makubwa ya UKOMUNISTI & UJAMAA.Tanzania ni nchi isiyofungamana na upande wowote
Sema hawa Pro-Someone wamezidisha sifa sana. From next week hawatokaa waamini macho yao.Inapendeza sana tunapobishana kishkaj tofaut na kudhalilishana.
Humu wengine ndio kijiwen kwetu na ndio maana halipit lisaa bila kuchungulia kuna lipi jipya.
Pamoja sana washkaj wa Putin wenzangu.
Nyinyi wanato mtaelewa tu mdogomdogo
Mimi ni nani hata nimpinge Grand Master ?Mkuu nakuongeza kwenye list ya watu makini, ufafanuzi kama huu msiache kuwapa wadogo zenu kwenye jamii zinazo wazunguka. Msiwafundishe nani yupo sawa kwenye jambo flani. Wapeni uwezo wa kupambanua, wafunzeni uwezo wa kuelewa. I do believe that, the ability to understand someone possesing is most essential katika safari yake ya mafanikio.
Wewe ni Jasmoni Tegga uteguliwe mkuu. Nipinge inapowezekana.Mimi ni nani hata nimpinge Grand Master ?