Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Aiseee[emoji41][emoji41][emoji41][emoji845][emoji635]π¨[emoji1109][emoji1109]πΉ[emoji1254] - Russian foreign minister Serguei Lavrov to visit African countries of Congo-Brazzaville, Egypt, Ethiopia and Uganda starting from July 24 ending in July 28[emoji845]
Tanzania tunakwama wapi??
Mkuu ndio maana nimesemaa ni unconfirmed reports.Watu wasiziamini kwanza mpaka ziwe confirmed.Kama sio kweli tutajua.
Kwenye vita mkuu Commander in Chief hatakiwi kuwa predictable,this is a war strategy.Katika watu hawaeleweki basi Putin ndiyo kiongozi wao, wakati dunia inaamini kabisa kuwa atafanya hivi lakini jamaa anakuja kufanya tofauti kabisa na matarajio ya wengi
Usiamini kila kitu unacho ambiwa mkuu, hasa katika Dunia ya leo,be diagnostic,cha kuambiwa ongeza na zako.Au kwa maneno mengine,usishikiwe akili.If anything, hii inasaidia kuwapembua wenye PROPAGANDA na wale ambao daima wamekuwa wakisema ukweli.
A simple, thoughtful question: Waliotudanganya kuhusu afya ya Putin wametuingiza mkenge mambo mangapi?
Kashalegea na watu wanateleza tuu km kawaidaHivi sakata la Lithuania liliishia wapi?
Is number 10 for me[emoji298][emoji298][emoji298] Part 2.
THEIR SINS
(which is not Russia's fault) π₯±
1. The fact that the European fools were cynically swindled by the Americans, forcing them to take on the most painful consequences of the sanctions strike on the population of the EU countries.
2. The fact that ordinary Europeans will be fiercely cold in their homes this winter.
3. The fact that Europe and the US have the highest food inflation in recent decades.
4. The fact that companies from the EU and the US have lost their multibillion-dollar investments in the Russian economy.
5. The fact that the Americans elected their president a strange grandfather with dementia, who, having forgotten about his duties, loves another country much more than his own.
6. The fact that the city lunatics, who called themselves the leadership of the EU, have completely lost touch with reality and are forcing the unfortunate Ukrainians to sacrifice their lives to join the European Union.
7. The fact that numerous political crooks are manipulating the topic of restoring the statehood of Ukraine within the former borders, counting on new military orders and cutting the cash flows allocated to the Kyiv regime.
8. That NATO continues, contrary to logic and common sense, to approach the borders of Russia, creating a real threat of world conflict and the death of a significant part of humanity.
9. The fact that after the 2014 coup, Ukraine lost its state independence and came under the direct control of the collective West, and also believed that NATO would ensure its security.
10. That as a result of all that is happening, Ukraine may lose the remnants of state sovereignty and disappear from the world map.
11. The fact that Ukrainian criminals will definitely be tried for the atrocities committed against the people of Ukraine and Russia.
Hao wote ni wanufaika wa vita vya Ukraine--directly or indirectly. Imagine Russia inahitaji turbines ili Germany apate gesi ambapo sasa atakuwa kiroho safi kuendelea kumpatia Ukraine military and economic aids zinazokusudiwa kumdhoofisha Russia again.Hiki kitisho cha Germany kina-fikirisha, kuna siku hapa niliuliza kwanini kwenye huu mzozo UK, US na Canada ndio nchi zilizo simamia makucha na zipo kama zinawapa amri wengine kutekeleza yale ambayo wao wanahisi yanatakiwa yafanywe.
UK, US na Canada kuna nini?
Mfano hapo kwanini Germany asiitishie Canada kama Canada bali anaitishia Canada kwa Ukraine? Nini Canada wanapata Ukraine ambacho ni Vital kiasi kwamba kiwe worth kupigiwa mkwara? Kuna nini π
Katika vita hii, tunafichwa taarifa nyingi sana na Vyombo vya Magharibi. Ingekuwa kuna uhuru wa vyombo vya habari na taarifa zinatolewa kwa uwazi, vita hii ingekuwa imemalizika kitambo.Majeshi ya Russia yajongelea kituo cha pili kikubwa cha nyuklia kilichopo sehemu iitwayo Vuhlehirska. Kituo hicho kipo kilomita 50 (maili 31) kaskazini mashariki mwa jimbo la Donetsk.
Kituo hicho kipo katika mpango mzima wa kijeshi wa Russia (military plan) kukamata miundombinu muhimu katika miji muhimu ya Kramatorsk na Sloviansk.
Wakati huohuo mashambulizi ya anga yamelenga mji wa Kharkiv huku gavana wa jimbo hilo bwana Igor Telekhov akiwasihi raia kutafuta maficho kujikinga na mashambulizi hayo.
Katika jimbo hilo la Donetsk majeshi ya Russia tayari yameshambulia na kuharibu majengo mbalimbali kama mashule katika miji hiyo ya Kramatorsk, Kostiantynivka, eneo kubwa la viwanda la Kramatorsk na katikati ya mji wa Bakhmut.
Wizara ya Ulinzi ya Russia pia imetangaza kuwa majeshi ya Russia yameidungua ndege ya kijeshi ya Ukraine aina ya SU-25 ambayo inasaidikiwa ilikuwa ikipeleka mzigo wa silaha kupitia sehemu ya Kramatorsk.
Mashambulizi yote haya yanofanywa na Russia yalenga kudhoofisha uwezo wa Ukraine kujibu mapigo na pia kuharibu silaha ambazo zahifadhiwa katika majengo na miundombinu mbalimbali kama mashule, maduka makubwa, viwandani na sehemu zenye maghala ambazo zote zilikwishaandaliwa na Ukraine kwa kipindi kirefu.
Chanzo: Telegram.
Kharkiv muda wake umefika Odessa atie maji Drinipo na Zaporozhye ngoma inogille URAAAHKatika vita hii, tunafichwa taarifa nyingi sana na Vyombo vya Magharibi. Ingekuwa kuna uhuru wa vyombo vya habari na taarifa zinatolewa kwa uwazi, vita hii ingekuwa imemalizika kitambo.
Walipigwa mkwara wa kwanza, ile kabla hawajashushiwa kitu kizito kichwani wakawa wamelegea na kunywea mazima. Nasikia wako huko Mkuranga wanabangaiza maisha.Hivi sakata la Lithuania liliishia wapi?
Wakati wafanyabiashara wa mkumbo walipofunga biashara zao na kuondoka Russia ile Februari-Machi, Putin alishukuru akidai hiyo nayo ni fursa nzuri kwa nchi yao wenyewe.Ogopa sana kushindana na mtu mwenye akili afu Smart utaishia kutia AIBU ndo yanayomkuta US na ndugu zake West. Kila mbinu wanayotumia ili kumuangusha Russia mwezie tayari alishawasoma anapangua anapiga next move anawasikilizia.
Usishangae kuona mataifa hayo ambayo tunaambiwa yana intelligence ya hali juu yanazidiwa na intelligence ya taifa moja. Kinachotokea nchi zao zinazid kuwa na hali mbay kiuchumi bado kisiasa[emoji1316][emoji1316].
Ukisikiliza kwa makini speech za Putin utajua hawa jamaa walijipanga hawabahatishi wanajua nini wanafanya. Next move zao ni kama kete kwenye draft na kila kete wanayocheza ni ya moto.
Hivi wale watu ambao walikua wanasema Russia vikwazo alivyopewa hatoboi mwezi sahivi wako wapi? wananini cha kusema kipya?? waliosema Putin atapinduliwa?? aibu ni kwamba kila siku warussi wanazidi kumuunga mkono kamanda wao. Lakini upande wa pili tunaona serikali zao zinavozodi kuanguka.
Russia anaishi kama hana vikwazo na uchumi unazid kupaa nadhani mataifa mengi yamepata somo kumbe unaweza ishi bila vikwazo na uchumi wako ukatulia, Russia ushawishi wake na mataifa mengine unazidi kuongezeka na wengi wanajiuliza inawezekanaje upewe vikwazo na uendelee kudunda?? lahashaa!! Tumejua Russia ni Superpower ni tegemeo la dunia nzima.
Embu assume vikwazo alivyopewa Russia angepewa US hali ingekuaje kwa hili taifa?? Muda sana uchumi wao ungekua ulishakufa sahivi dollar ingekua sawa na Tshs
Ndomana sikuzote huwa nasema ogopa sana kushindana na mtu aliyekuzidi akili utaishia kuaibika tu maana wewe utakwenda kwa Pupa na hata ukienda kwa akili mwenzako bado atatumia akili zaidi maana kakuzidi.
NB: ulishawai jiuliza ikitokea Russia Kaondolewa vikwazo vyote uchumi wake utakuwaje??
^unconfired^UNCONFIRMED REPORTS : ZELENSKY ALLEGEDLY IN INTENSIVE CARE
The global intelligence community is awash with UNCONFIRED claims that Ukraine President Volodymyr Zelensky is in a hospital Intensive Care Unit. No word where, no on what the problem may be.
AGAIN,THIS IN NOT CONFIRMED.
More news if I get it.
Which means hata wewe nakuweka kapuni, sivyo? I get your point, anyway.Usiamini kila kitu unacho ambiwa mkuu, hasa katika Dunia ya leo,be diagnostic,la kuambiwa ongeza na zako.Au kwa maneno mengine,usishikiwe akili.
Nani mwingine ambaye amegundua kwamba Warusi Inglishi yao ni ya hadhi ya Roscosmos--way better and more excellent than that of US and other European countries combined?According to Medvedev
β‘β‘β‘ Part 1.
OUR SINS
(which is Russia's fault) π
1. In the crazy rise in the price of gasoline at all gas stations in the United States and its close allies.
2. Rising prices for all food products in all stores on all continents.
3. In the stupefying heat at European resorts, from which all living things suffer.
4. In provoking the introduction of "hellish sanctions" against Russia, which hit defenseless European companies.
5. That Joseph Robinette Biden, Jr. periodically confuses words, cannot find a way out of the room and reads technical notes on the text of the prompter.
6. That in America you can vote by mail.
7. That Olaf Scholz was called "offended liver sausage".
8. In the resignations of European leaders since the arrogant creation of the Russian Empire by Peter I to spite everyone.
9. In manipulating public opinion at the expense of works of Russian classical literature and symphonic music, which are uncritically consumed by gullible Europeans.
10. In the villainous assassination of the progressive European politician Gaius Julius Caesar by a gang of terrorists Publius Servilius Casca, Mark Brutus and other Russian mercenaries in order to split the Western world and promote anti-liberal values.
No comment. Ngoja tungoje.β‘β‘β‘ Part 2.