Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lakini tuliambiwa kwamba sisi ni tajiri na twaweza kuwa "donor country" na watanzania kama kawaida yetu" ignorance" ikatupotezea tunu yetu tulopewa.

Sisi Afrika na Russia ni chanda na kidole kwenye maeneo mengi tu ila baadhi ya "ruling elites" wetu wengi wanarubuniwa na west kwa ajili ya maslahi yao.

Hii vita ya Russia na Ukraine ni fundisho kubwa sana kwa Dunia kwamba nani na upi ni mfumo bora wa kuendesha nchi, bila kusikiliza mataifa mengine yanokuambia ni vipi uendeshe nchi.
 
View attachment 2299976

⚔️⚔️⚔️A large number of Ukrainian militants were captured by "O" forces near Seversk⚔️⚔️⚔️
Hivi ni macho na ubongo wangu ndio vinanisaliti katika kutafsiri picha za mwonekano wa wanajeshi wa ukraine wanaoshikwa na majeshi ya Rusia?
Kwenye movie za mbao takatifu (Hollywood) wanajeshi wa marekani/ulaya huwa wana miili mikubwa ya kimazoezi, jasiri na wasiokata tamaa hadi dakika ya mwisho wa uhai wao,lakini hawa wanaoshikwa kila siku na wanajeshi wa Rusia wanaonekana kama wamedhoofu miili na sidhani kama walikuwa wanapata hata muda wa kufanya push up kambini kwao. Ni kama wanajipeleka makusudi mikononi mwa warusi.
 
4. The fact is companies from the EU and the US have lost their multibillion-dollar investments in Russia

5. The fact is Americans elected a strange grandfather with dementia as their president,who forgot his main duty and loves another country much more than his own.
 
6. The fact is the city lunatics, who are calling themselves the leaders of the EU, have completely lost touch with reality and are forcing poor Ukrainians to sacrifice their lives so they can join the European Union.

7. The fact is numerous political crooks are manipulating the subject on a promise of restoration of Ukraine within the former borders, counting on new military aid and launder the funds allocated to the Kiev regime.
 
8. Fact is NATO continues, contrary to any logic and common sense, to expand to the borders of Russia, creating a real threat of world conflict and possibility of the death of a significant part of humanity.

9. The fact is after the coup in 2014, Ukraine lost independence ( sovereignty) and came under the direct control of the collective West, believing that NATO would ensure its security.
 
10. Fact is as a result of the current events, Ukraine may lose the remnants of state sovereignty and disappear from the world map.

11. The fact is Ukrainian criminals will definitely be tried for the atrocities committed against the people of Ukraine and Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…