Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Basi hatuna budi Tiss kutunza amani ya nchi yetu ili nasi tusiwe wakimbiziView attachment 2301472
A Ukrainian refugee in Switzerland received a car fine along with a bonus wish from an unknown well-wisher.
Nyerere alipoivamia Uganda,haikuwa Nchi huru?-Uhuru unaondoka usipojua mipaka ya Uhuru wako ndicho alichokifanya Ukraine.Sababu za wewe kuunga mkono uvamizi wa nchi huru ni nini?
Je unaunga mkono Idi Amin kuvamia Tanzania na Hitler kuvamia dunia nzima?
AhaahaahVladimir haeleweki kama tupu ya binti, yani akisimama iko mbele akiinama iko nyuma 😂😂😂
Hizi TACTICAL jumla zipo ngap naona kila uchwao inakuja mpya[emoji41][emoji41][emoji41]Hiyo sifa bandia ya UN kwa Russia inaweza kumponza vibaya sana Putin soon. Kimedani hii inaitwa TACTICAL PRAISE. Yaani, unamsifu adui ili ajaye vizuri, then unamchotea juu kwa juu.
It's a matter of time.
Ngoja tungoje!
Tactical attackHizi TACTICAL jumla zipo ngap naona kila uchwao inakuja mpya[emoji41][emoji41][emoji41]
Colonel Macgregor aichana Ujerumani kuwa wajerumani wanaenda ku-freeze ktk winter. Anasema wajerumani walijitia kuwafuata wamarekani kibubusa (pasi kutumia akili) kupeleka silaha Ukraine kupigana na Urusi. Colonel Macgregor anasema Putin akasema, fine. Sasa ameamua kuwakatia gesi ya kupashia joto nyumba na majengo yao kipindi cha winter kama adhabu kwao....lazima wataganda. Na hakuna Plan B.
'Winter' la Ulaya sio lelemama...kwa wale waliokwishaliishi wataelewa zaidi.
========
View attachment 2301861View attachment 2301862
Duh....statistics za Russia zikoje kwa mtiririko huo huo uliouonesha kwa Ukraine!?!?! Kumbuka Russia haijafanya mobilization yoyote kwani hii kwao bado ni special military operation...unadhani Russia ikitangaza vita Mambo yatakuwaje?!?!Tujipe muda tu hiyo hesabu yako itakufunga
Nakuhakishia huyo kamwe hawezi kuelewa somo ulilompa..Mimi naomba kupingana na wewe.
Mwaka 2014, Raisi wa Ukraine ambaye alikuwa na Pro-Russian (hivyo kuhakikisha usalama wa Urassia kutoka EU) alipinduliwa, na kusemekana kwa msaada wa Marekani. Hiyo ndiyo sababu ya Crimea kuchukuliwa ili kuhakikisha usalama wa Russia kwa kuwa Raisi mpya alianza kuwatenga na kuwauwa (inasemekana) watu wanao ongea ki Russia.
Eneo la Donbas ambayo ni Doneski na Luhaski waka jitoa Ukraini na kutaka uhuru.
Mwaka 2015, Russia, Ukraine na Germany wakafanya makubaliano yanayoitwa Minsk Agreement kwamba Ukraine itaacha kuipiga Donesk na kukubali uhuru wa Donesk na Luhask. Kumbuka haya maeneo yote yametengena na Russia.
Russia alikubali kwa kuwa shida yake ilikuwa usalama wake maana Ukraine baada ya mapinduzi walianza mchakato wa kutaka kujiunga na EU na NATO kitu ambacho Russia hataki kupakana nao.
Lakini mpaka 2022 bado Ukraine aliendelea kupiga Donbas na alikuwa kashaanda wanajeshi zaidi 60,000 ili kuivamia na kuimaliza Donbas kabisa.
Kama angefanikiwa, ina maana, Russia Angekuwa amepakana moja kwa moja na taifa linalotaka kujiunga na EU na NATO. Taifa ambalo lilikuwa limekubali kuwa neutral ili Russia na NATO wasi pakane.
Hapo ndipo Russia alipoanza kupeleka majeshi yake mpakani. Mazungumzo ya amani yaka feli, EU na NATO wakazidi kumpa kichwa Ukraine ambaye naye akazidi kuleta vitisho.
Russia akaingia kulinda eneo la Donbas. Na ndiyo mapigano yaliyopo sasa. Na siyo eti kutaka kuirudisha Soviet.
Nadhani somo limeeleweka.
Have you checked yours?What Inglish is that?
Huyo huyo MKUU [emoji23][emoji16][emoji16]Huyu jamaa kapotea sana, si ndiye huyu alituambia anaishi russia kabisa..
Na anawaelewa warusi vizuri na their weak military tactics.
Nadhani atakuwa chimbo akituandalia madini mujarabu[emoji23]
No one can fight Israel,umeona Jana Israel kapiga drone plant factory ya Iran,drones alizokuwa anataka kumpa Russia hamna aliyemgusa wala kuongea🤣🤣Juzi Iran alimwambia Russia ^Ukitaka urafiki nami ukolee, mchukie Mwisraeli!^
Siasa banaa!
Acha propaganda za Zionists. Unajua nchi ya Israel iliundwa na nani!?No one can fight Israel,umeona Jana Israel kapiga drone plant factory ya Iran,drones alizokuwa anataka kumpa Russia hamna aliyemgusa wala kuongea🤣🤣
Mtumwa wafikraNo one can fight Israel,umeona Jana Israel kapiga drone plant factory ya Iran,drones alizokuwa anataka kumpa Russia hamna aliyemgusa wala kuongea[emoji1787][emoji1787]
Tactical scream na tactical praise nimezipenda sanaTactical attack
Tactical withdraw
Tactical suicide
Tactical surrender
Tactical scream
Tactical praise
Tactical post abandonment
Tactical shooting yourself in legs/lungs
Tactical cowardice
Tactical.....
Tactical....
Tactical....
Zingine pro west watusaidie
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hizi TACTICAL jumla zipo ngap naona kila uchwao inakuja mpya[emoji41][emoji41][emoji41]
Sina propaganda no one wants to go in war with Israel even USA want to fight with by his sideAcha propaganda za Zionists. Unajua nchi ya Israel iliundwa na nani!?
Tactical Sprint from Ceasfire 😂😂😂Tactical scream na tactical praise nimezipenda sana