Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh....statistics za Russia zikoje kwa mtiririko huo huo uliouonesha kwa Ukraine!?!?! Kumbuka Russia haijafanya mobilization yoyote kwani hii kwao bado ni special military operation...unadhani Russia ikitangaza vita Mambo yatakuwaje?!?!
Huo ni msemo tu mkuu,
Maana ya vita ni nini.?
Hiyo ni njia ya kumuogopesha adui yako.
 
Winter ya huko kwao mwaka huu itakuwa sio kama ya miaka iliyopita maana kama ndio wanalilia joto ni Kali,
Tusubiri maana muda ni daktari mzuri.
 
Fikria uonavyo but Russia hawezi ingia vitani na Israel kina kumlinda Iran
Hujui chochote kuhusu dunia hii. Hebu kwanza soma historia ya Israel uielewe. Na soma historia ya Jews na movement ya kutafuta nchi. Soma historia ya vita vya kwanza na vya pili.

Kisha soma mawaziri wakuu wa mwanzoni na maraisi wa mwanzoni wa Israel walitoka nchi gani. Kisha ulete utumbo wako hapa.
 
Historia ni ipi I'm eager to know
Nakupa kitu kidogo. Kisha nitaanza kukupatia kidogo kidogo.

According to a 2011 Government Social Survey of Israelis over 20 years of age, 49% report Hebrew as their native language, Arabic 18%, Russian 15%, Yiddish 2%, French 2%, English 2%,[3] 1.6% Spanish, and 10% other languages (including Romanian, German and Amharic, which were not offered as answers by the survey). This study also noted that 90% of Israeli Jews and over 60% of Israeli Arabs have a good understanding of Hebrew.
 
Wewe jamaa yangu hua unaandikaga mambo mazito sana.
Yenye elimu kubwa sana ndani yake.

Nadhani Russia kaona vikwazo ni uonevu TU.
Kaamua kuwaunga mkono na kiwatia moyo wahanga wenzake wa vikwazo.
 
Upuuzi wa Majeshi ya Zelensky kuweka Silaha kwenye maeneo ya raia Kama vile shule, hospitals n.k ndo unasababisha yalipuliwe.

Na hii ni kwakua Russia ana kila nyenzo kitechnology kutambua, Basi hulipua silaha hizo na kuharibu mipango ya Zelensky na US.

Huu mkataba wa juzi Putin kawa hurumia watoe nafaka zao, wao wakapeleka machumachuma ya US ili wayatumie kijeshi, jamaa akaona ayalipue. Sasa wanalalama tu.

Wanaendeleza tabia hizi [emoji116]
Watalipuliwa kila sekunde. Russia real super power
 
Ngoja tusubiri tuone huo mzigo kama utaperfom show vizuri,
Ukiona zinafeli usishindwe kuleta mrejesho mkuu kwa bashasha kabisa kama hili uliloreta leo.
 
🇷🇺🇺🇲🇺🇦 American mercenary Luke Luchyshyn Eliminated near Seversk by a well-aimed shot of our tankers.

Another mercenary who served alongside Luchyshyn said on Good Morning America that US mercenaries faced overwhelming Russian firepower in the Donbas.

"Mostly it was 24/7 artillery. They could shoot at us, but we couldn't even see them."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…