Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama wewe ni mtoto wa kiume bhs una walaakini “kijifaragua” hili neno mtoto wa kiume hatumiii kama ni mwanamke sawa.
Na hakuna sheria ya kutofautisha jinsia ya kutumia hilo neno tafsir zako bako nazo mwenyewe.

Japo kwamba umkuu wa vikosi lakni usijifarague kwakusema urusi anapigana na nato.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kuna S-300 yenu uko imewaka. Air defence systems ni poor
Na ndio maana ikadizainiwa latest yake kwa sabab hiyo inamadhaif,

Ufafanuz wote unaotutoleaga kuhusu silaha unashindwa kujua km kutokana na madhaif ya s300 ndio maana ikadizainiwa s400???

Au mastres ya ewura yanakufanya ughafirike[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Yet another commercial break
HOHOLS AND UKRONAZI SUPPORTERS KATIKA UBORA WAO



Your browser is not able to display this video.

россия не зимбамбве
rossiya ne zimbambve
 

Hasara yote mlioingia leo mnasema hamkutaka kuiteka Kyev, limsafara lilienda royal tuwa likapigwa za uso....ha ha ha...
Halafu hapo ndio mnajitutumua eti mnaweza kupigana na NATO wakati hawajatia mguu hapo Ukraine, wabeba javelin tu ndio wanawaliza
 
S-400 zipo kuanzia Crimea uko haziko kwenye battlefront na bado miji ya Russia inashambuliwa. Unalenga kusema Russia imeleta S-300 zenye madhaifu ikaacha zenye ubora kwake kule, kwanza sio dhaifu ila ni somehow outdated
 
Kujifariji inarusiwa
 
Hii ndio taarifa wanataka kusikia
 
Special operations ni masaa kadhaa haiwez kudumu miezi ni mjinga pekee atakaye amini ni special operations Ile ni total war
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…