Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Bahati nzuri jeshi letu nalo lina vinasaba vya hukohuko Uingereza.Usiwachukulie poa England ni Giant, ulaya wote wanaelewa
In morden history England hakamatiki, alikuja Napoleon akapotea, akaja Hilter akayeyuka, something is on their favor. Mimi sijui maybe her Royal highness, or queen factor
Why amwondoe huyu jamaa wakati kimwonekano yuko serious vizuri tu? Au aliuza HIMARS!?View attachment 2303733
According to Ukrainian sources Zelensky, has removed Major General Grigory Galagan from the post of Commander-in-Chief of the military operations command of the Armed Forces of Ukraine, and Viktor Khoronok will take this position instead.
Huyu Extrovert ingeruhusiwa kufanya SELF-LIKING, angekuwa anajilaiki mwenyewe. Na pia nadhani anaumia sana kwa nini developers hawakuweka option ya member yuleyule kulaiki the same message zaidi ya mara moja.Dah we jamaa kwa kutoa like unaongoza mkuu salute kwako.
Ni tactical removal [emoji41][emoji41][emoji41]Why amwondoe huyu jamaa wakati kimwonekano yuko serious tu vizuri? Au aliuza HIMARS!?
Nitajongea hapo kukaguaHuyu Extrovert ingeruhusiwa kufanya SELF-LIKING, angekuwa anajilaiki mwenyewe. Na pia nadhani anaumia sana kwa nini developers hawakuweka option ya member yuleyule kulaiki the same message zaidi ya mara moja.
Kuna uzi wake aliwahi kuandika why anapenda sana kulaiki kuliko hata kuzisoma message na kukomenti.
Anyways, ule mzigo wako umewasili, ukuje kesho uchukue.
Kichwa kinapata moto Sasa hivi huyu Zelensiky!Zelensky seeking asylum to Russia......hahahahahahahahhaaha I like it
alafu kuna kunguni wa pro nato anakuambia uchumi wa jimbo moja tu la Texas ni zaidi ya uchumi wote wa russiaRussia supplies about 40% of Europe's natural gas, mostly by pipeline. Deliveries last year were around 155 billion cubic metres (bcm).
= 155,000,000,000,000 litres
= *simtanks 15,500,000,000 (bilioni 15.5!)
*simtanks za ujazo wa lita 10,000
HOW MUCH MONEY DOES THE RUSSIAN COMPANY MAKE PER DAY?
PER YEAR?
Mm ni pro Russia. But economically USA ni US $ 25 trillion while Russia ni US $ 1.8 trillion.alafu kuna kunguni wa pro nato anakuambia uchumi wa jimbo moja tu la Texas ni zaidi ya uchumi wote wa russia
Huyo Napoleon na hiltler wote kiama chao kilikuja baada ya kuivamia russia......be aware of russian curse.Usiwachukulie poa England ni Giant, ulaya wote wanaelewa
In morden history England hakamatiki, alikuja Napoleon akapotea, akaja Hilter akayeyuka, something is on their favor. Mimi sijui maybe her Royal highness, or queen factor
Nasikia ndie aliyetoa punguzo ya 98% bila idhini ya ZeleWhy amwondoe huyu jamaa wakati kimwonekano yuko serious vizuri tu? Au aliuza HIMARS!?
Huu mwaka wa Ukraine wa kibera maji mtayaita mma. Mpaka ifike kipindi Russia kaishiwa silaha itakuwa 2070Sielewi nini umesema hapo, andika upya, huyo Urusi kwa ambavyo amechoshwa na hako ka-Ukraine ajaribu bahati yake kugusa kataifa kamoja ka-NATO.
Cheki hii ngombe so unabishana na Banki kuu ya Russia, uchumi wa Russia Ni sawasawa na uchumi wa Californiaalafu kuna kunguni wa pro nato anakuambia uchumi wa jimbo moja tu la Texas ni zaidi ya uchumi wote wa russia
Walishambuliwa na Ukraine. Au unasema Warusi ni matahahira hawajui kama wameshambuliwa ama sio. Bisha nikushangazeWameshambuliwa nanani MKUU
Maana kama mshambuliaji ni UKRAINE kama usemavyo kakataa
Kwahio walishambuliwa nanani tujue !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamba hii....weka data...Cheki hii ngombe so unabishana na Banki kuu ya Russia, uchumi wa Russia Ni sawasawa na uchumi wa California
Hapa unaeleweka ila sio yule aliyesema ni silaha za zamani. Silaha za zamani kama hazina matumizi kabisa zinakuwa decommissioned au zinawekwa storage facilities kugawa kwa masikini wasio na haja na teknolojia kubwa kupiganaKuotewa hata kwenye ngumi kawaida hivyo haishangazi sana