MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Nani alikwambia Waganda Wana uzalendo wa nchi yao?Ndio kinachomkuta Urusi, hauwezi ukaingia kwa nchi ya watu bila ridhaa yao utegemee kuwapiga, hata Tanzania ilipovamia Uganda walifanya hivyo kwa ushirikiano wa maelfu wa waasi wa Uganda na pia Waganda walikua wamemchoka Id Amin, hivyo Waganda waliruhusu nchi yao na bendera ya kukojolewa, ila leo jaribu kuivamia Uganda ambayo wananchi wake wana uzalendo na nchi yao.
Urusi kwenye huu ugomvi ameingia cha kike, hajui ageuze vipi bila aibu.
Kwenye mafuta tungeruhusu lobbying tu bila nchi kujionesha tuko upande gani?Hata mafuta tungepata Kwa Bei rafiki yeye anakimbilia kuchukua mikopo ya karatasi zilizochapwa na epson
Mama si aupige mwing kama watu wanavyosema amtume hata makamu wa raisi au wazir yoyote⚔️⚔️⚔️Lavrov arrived on a working visit to Uganda
This is the third country in the Russian Foreign Minister's tour of Africa⚔️⚔️⚔️
Nani alikwambia Waganda Wana uzalendo wa nchi yao?
Toka Kigagati mpaka Mbarala wanaamini walitakiwa wawe Watanganyika
Huwezi kuwa kwenye Taifa lenye strong ethnicity na Tribal identity kama Uganda then ukaamini wako pamoja.
Naomba nikuulize swali? Kwa nini kiswahili kimeshindwa kupenya kati kati mwa Uganda?
Inategemea ni 20% ya kitu gani. Imagine:Usijali nani anaitwa super power au nini . . . Ila takwimu zako unatumia namba za ajabu . . . Walikamata takriban asilimia 14 tangu kuanza vita hii. Maana kabla ya vita Urusi ilitawala takriban asilimia 7 za Ukraine (Krimea na maeneo wanayoita "jamhuri" za Donbass)
"On May 24, Forbes Ukraine reported that Russia occupies 125.000 km2, which is 20.7% of Ukrainian territory. On June 2, Ukrainian president Zelenskyy said that the Russians occupy about 20% of Ukrainian territory in total."
Piga hesabu: 20 % chini ya Urusi kwa jumla, kasoro 7% walizoshika kabla ya vita = 14% walizofaulu kuteka hadi sasa.
Hata ukipata 20% kwenye mtihani wowote, siyo ni "F"??
Bi Mkubwa alipaswa kumkaribisha Putin kabisa. Naanza kuamini ule msemo kwamba Tanzania tunakuwa wa mwisho almost kila jambo--isipokuwa ujinga, maradhi, na umasikini.Hapo ujue Wagner group wanaingia,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] halafu tusikie wale M23 wanaunguruma.
Ila Uganda wanatuzidi nini?
Kiasi Cha Lavrov kuchagua Uganda instead ya kutembelea Baba wa Waswahili wote duniani,
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] msichukulie maneno yangu serious maana leo nimeamua kumwagilia moyo baada ya kufika huku nyanda za juu kusini ambapo Kuna baridi Kali sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo la viongozi wasio na maamuzi. Sijui wako Ikulu kufanya nini? Royo Tuwa?Hata mafuta tungepata Kwa Bei rafiki yeye anakimbilia kuchukua mikopo ya karatasi zilizochapwa na epson
Tricky sana..we are not behindTatizo la viongozi wasio na maamuzi. Sijui wako Ikulu kufanya nini? Royo Tuwa?
Tatizo lako katika medani za vita linaitwa TACTICAL IGNORANCE. Hii ni kawaida sana ya kupinga ukweli na uhalisia hata kama uko wazi kiasi gani, na hutokea pale unapokuwa umebebeshwa kichapo cha mwaka na adui yako.Sasa shida yote ya nini, uanzishe vita wewe mwenyewe kisha uanze usanii wa kutaka uonekane big
Tutakuja kukumbuka shuka kukiwa kumeshapambazuka. Katika suala la kujenga uchumi wa maana na kuleta maendeleo katika nchi, ukiendekeza woga imekula kwako.Tricky sana..we are not behind