Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Usikute alikuwa na full support ya Mrusi. Siyo bure.Nakumbuka kipindi fulani Kagame aliwaliza sana nchi yote alipoingia bifu na Kikwete, nilikua nawauliza Wabongo jameni kainchi saizi ya mkoa wenu kanafanya muongee siku inaisha.
Nani aliyekwambia ukubwa wa eneo ndio unadetermine competence ya jeshi?Huo Ujinga ulijifunzia wapi?Ni aibu sana kwa Tanzania isumbuliwe akili na Rwanda kiasi hiki anachoteswa Urusi.
Nani aliyekwambia ukubwa wa eneo ndio unadetermine competence ya jeshi?Huo Ujinga ulijifunzia wapi?
Somo la TACTICAL nakupa A+[emoji41][emoji41][emoji41]Naona hapa pointi yake ni kwamba why mnyama simba apambane usiku kucha kumuua swala?
Jibu lake ni kwamba katika medani za kivita inaitwa TACTICAL ASSAULT. It means ni mbinu ambapo unamshambulia adui kimkakati ukiwa na lengo la kujichoresha kwa maadui wengine visabengo ili wadhani KAMA FULANI KAPANGUA HIVI, NAMI NAWEZA KUMBE--then wakija na kujaa wagaragazwe na kuguyuguzwa mazima.
Huyu ni moja ya wazaliwa wa USSR. Anaongea Kirusi vizuri sana. Kwa kifupi huyu waziri wa fedha wa Israel ni mrusi. Ngoja tuanze kutoboa dumu. Watu wajue Israel ni nini.Waziri wa fedha wa Israel (Lieberman) kamkosoa vikali na kumuonya Waziri mkuu wake (Lapid) kuwa asikurupuke kutaka kutunishiana misuli na Putin, ataharibu zaidi maslahi ya Israel kwa Urusi.
View attachment 2304137View attachment 2304139
Aisee,hivi ni Ujinga kweli au unaigiza?Maana kama kweli ni Ujinga basi your case is worse!So ina maana kubwa jinga Urusi hana lolote, kwa hivyo na nyie wajinga mnamshobokea.
Litoboe mnama tuone yaliyomo[emoji41][emoji41][emoji41]Huyu ni moja ya wazaliwa wa USSR. Anaongea Kirusi vizuri sana. Kwa kifupi huyu waziri wa fedha wa Israel ni mrusi. Ngoja tuanze kutoboa dumu. Watu wajue Israel ni nini.
wanajua bila kupata kibali kutoka Russia wasingerusha hata mkuki kwenye anga la SyriaWaziri wa fedha wa Israel (Lieberman) kamkosoa vikali na kumuonya Waziri mkuu wake (Lapid) kuwa asikurupuke kutaka kutunishiana misuli na Putin, ataharibu zaidi maslahi ya Israel kwa Urusi.
View attachment 2304137View attachment 2304139
Ni aibu sana kwa Tanzania isumbuliwe akili na Rwanda kiasi hiki anachoteswa Urusi.
πππππππ€NATO ile ni kama group therapy ya vibaka na mateja. Na pia wanapenda kuvizia mtu dhaifu lakini inapotokea mbabe anakatisha wanakimbilia mafichoni na kuishia kutukana
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
According to usa na west sioMm ni pro Russia. But economically USA ni US $ 25 trillion while Russia ni US $ 1.8 trillion.
Uko vizuri mwambawanachekesha sana awa mwanzoni wakati Op inaanza walikaa kikao na Head boy wao USA akawaambia msijali kama gesi mimi ninayo nitawauzia mimi acheni gesi yake cha kushangaza ata siku 2 azijapita vijana wanamsemo wao wanasema yani "nyau nyau" yaani bila bila poland ndio akawa kiongozi kwenye mgomo baada ya mambo kuanza kuaribika akawa ananunua gesi ile ile ya Russia kwa ujerumani Rais wa dunia putin alivyoona ivyo akampunguzia germany kiwango cha gesi anayompa akampa ile inayomtosheleza yeye tu kwa maitaji yake poland kuona vile akaona amna namna akarudi Head quarter ya natural resource ya uerope kuja kununua.. yani nchi inayotia huruma ni germany Russia akikata gesi uchumi wake nao ndio bye bye viwanda vyote vinafungwa ...Pro nato nimewapa notes izo mezeni ili kipindi cha winter kinachokuja ziwasaidie kuwakumbusha kuwa Super power ni mmoja tu RUSSIA[emoji419]
Unaongelea England hii hii iliyochachafwa na Argentina Hadi inasaidiwa na Marekani?Usiwachukulie poa England ni Giant, ulaya wote wanaelewa
In morden history England hakamatiki, alikuja Napoleon akapotea, akaja Hilter akayeyuka, something is on their favor. Mimi sijui maybe her Royal highness, or queen factor
Aisee,hivi ni Ujinga kweli au unaigiza?Maana kama kweli ni Ujinga basi your case is worse!
Ardhi haipigani vita,wanaopigana vita ni watu!Kwanza uelewe Urusi kavamia Ukraine,hiyo inaipa Ukraine advantage katika battle field!Ndio maana Ukraine akizidiwa,wakati anaretreat anaacha amefukia mabomu ardhini!Mabomu mengine yanawalipukia raia na hata wenyewe Kwa bahati mbaya!Hiyo mbinu ya kuacha umezika mabomu inafanya mvamizi achelewe kuadvance maana lazima atangulize timu ya kutegua mabomu,kazi ambayo sio nyepesi na inachukua muda!
Jambo lingine,Ukraine anasaidiwa na mataifa 30,hii ni kuanzia intelligence,silaha, training na hadi manpower!
Jambo lingine ni kuwa Russia kapeleka sehemu ndogo tu ya jeshi lake huko Ukraine,hivyo Kwa upande ya idadi ya combatants basi Ukraine inao wengi kuliko Russia!
Kama Ukraine angekuwa peke yake bila msaada,hii operation ingekuwa imekwisha!
Kama hujaelewa na hapo,basi nenda kaogeshwe maji ya mtoni!
Watakwambia eti industrial-military complex ni ya Marekani, so hakuna hasara kwa vile dola zao zinazunguka mulemule.Trump: Biden kapeleka dola bilioni 60 za walipa kodi wa USA nchini Ukraine, kununua silaha ambazo zaishia kuharibiwa vibaya na Urusi
Rais mstaafu wa Marekani Donald Trump kamkemea na kumkosoa vikali rais Biden kwa kutumia vibaya pesa za walipa kodi wa Marekani dola bilioni 60 kununulia silaha na kuzipeleka Ukraine, ambapo silaha za mahela yote hayo zinaishia kuharibiwa vibaya na kuangamizwa na majeshi ya Urusi. Wakati huo huo...www.jamiiforums.com
uyu anaongelea EPL labda[emoji16][emoji16]Unaongelea England hii hii iliyochachafwa na Argentina Hadi inasaidiwa na Marekani?
Kwamba ije ipambane na Urusi kiboko ya Hitler ktk WW2?
Umetisha le/la boss.Somo la TACTICAL nakupa A+[emoji41][emoji41][emoji41]