Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mambo yanazidi kuwa mambo

🇺🇦Kiev is running out of money. Due to the growth of military spending, Ukraine's financial resources may run out this fall, writes the Financial Times.

"If they burn their reserves, they will have to decide whether to pay them soldiers or nurses. They will have problems with the management of schools and hospitals," the investment director of the British management company Abrdn said in an interview with the publication.

Support from abroad is not going fast enough, of the $38 billion promised by foreign governments and funds, only $12.7 billion has been provided.

Subscribe to @Sputnik
 
So ina maana kubwa jinga Urusi hana lolote, kwa hivyo na nyie wajinga mnamshobokea.
Just tell me who is brighter? Unamwekea adui yako vikwazo ili aangamie economically, but then vina-backfire kwako wewe mwenyewe.

Kama mna jeuri hiyo, acheni kabisa kutumia gesi & mafuta ya Putin. Endapo mnamwita kwamba yeye ni gaidi, unadhani nani hapo ni MFADHILI wa gaidi?
 
Wakuu wa vikwazo wameishiwa vikwazo huku Russia akisema tunahitaji vikwazo zaidi.🤣🤣🤣

🇪🇺The EU has stated that it has exhausted the possibilities of sanctions against Russia.

This is reported by Le Monde with reference to an unnamed European diplomat.

It is noted that the seventh package of sanctions adopted by the European Union, unlike the previous six, does not involve any serious measures.

So 27 European countries do not intend to voluntarily deprive themselves of Russian gas.

"They are already trying to cope with disruptions in Gazprom's supplies. And although Poland and the Baltic states would like to take this step, they are not going to subject themselves to such punishment," the newspaper writes.

Subscribe to @Sputnik
 

Hamnaaa!! Urusi tumekua tunaambiwa wana vyote, silaha za kila aina na ndio maana waarabu wa Bongo huwa mnawaabudu mkidhani wanaweza kukomoa Marekani. Wana ardhi kama yote, wana idadi ya watu wengi ukilinganisha na hako ka-Ukraine, lakini wametolewa mpwito mpwito pale Kyev hadi raha na bado mziki unaenelea
 
Al Shabbab vp,mmeimaliza na kurudi nyumbni,au bado mko Somalia mnasumbuliwa akili na panya rodi

Hatupigani na Somalia, tunapigana na ndugu zenu wa dini wanaopigana kama waoga kwa kujificha ndani ya raia. Kama ambavyo wale wa Msumbiji waliingia Tanzania na kuchinja wanavijiji na kurudi kwao, ingekua kwa kenya lazima tungewafuata huko huko....soma walichokifanya huko kwenu hao wafuasi wa dini ya mwarabu https://www.bbc.com/swahili/live/habari-54641755
 

Vikwazo havija backfire, tafuta mchumi akueleweshe namna haya mambo yalivyo, ukikaa hapo kijiweni kwa wauza dagaa utapotoshwa.
 
Ukisikia majibu ya kanga Kwa hoja zenye maana basi ndio haya!Hebu soma basi nilichoandika na huu utopolo uliojibu!Rejesha basi mshipa wako wa aibu na jadili facts na sio kutujazia maneno ya kanga hapa!
 
Ukisikia majibu ya kanga Kwa hoja zenye maana basi ndio haya!Hebu soma basi nilichoandika na huu utopolo uliojibu!Rejesha basi mshipa wako wa aibu na jadili facts na sio kutujazia maneno ya kanga hapa!

Hehehe na mtakoma yaani tu
 
So ina maana kubwa jinga Urusi hana lolote, kwa hivyo na nyie wajinga mnamshobokea.
Dah...wewe Mkenya nadhani umetumwa humu kuwavuruga watanzania...una vitu vingi mno vya kuudhi...matusi, kejeli na sumu ya udini na ukabila...ni mtu hatari mno kwa jamii ya watanzania...nashangaa inakuwaje mpaka Sasa unaendelea kudumu humu...
 
Vikwazo havija backfire, tafuta mchumi akueleweshe namna haya mambo yalivyo, ukikaa hapo kijiweni kwa wauza dagaa utapotoshwa.
Basi vile vilio vyenu vya mchana kutwa na usiku kucha huko Ulaya & Marekani ngoja tuviite tu TACTICAL EVASIVE CRIES--mbinu mojawapo katika medani za kivita ambapo unajifanya unaumia sana almost sawa na adui yako unayezipiga naye ili tu ionekane katika ugomvi huo baina yenu, wote mnapoteza na wala hakuna anayefaidika.

Hii humfanya adui atulie na kuridhika na kipigo anachopata bila kufikiria wazo la ku-react too negatively kwenu ama suicidal kwake yeye mwenyewe.

Anyways, tukutane kwenye winta.

#More Sanctions to Russia!
 
Nan a Ndugu zetu? Umerogwa ww,tangu lini Al Shabbab wakawa jirani,au ukaribu na Al Shabbab!? Alafu,nani kasema mnapigana na Somalia,mm nimesema mnapigwa na panya rodi 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…